Nini kilicho nyuma ya ma-producer wa Bongo kutokea kwenye familia za kishua/zenye unafuu kiuchumi?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi

lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu

1642173664016.png

1642173699907.png

1642173733126.png

1642173762651.png
 
Kwa miaka ya zamani. Ilikuwa u producer lazima ukajifunzie majuu.. sasa maskini majuu unaendaje?

Pili baada ya mafunzo ilikuwa lazima uwe na vifaa vya productions. Sasa maskini unavipata wapi hivyo vifaa?
 
Mada imeisha.
 
Back
Top Bottom