sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 Jan 14, 2022 #1 Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Jan 14, 2022 #2 Mimi sio wa kishua lakini napiga beats kali za hapa town
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Jan 14, 2022 #3 Kwa miaka ya zamani. Ilikuwa u producer lazima ukajifunzie majuu.. sasa maskini majuu unaendaje? Pili baada ya mafunzo ilikuwa lazima uwe na vifaa vya productions. Sasa maskini unavipata wapi hivyo vifaa?
Kwa miaka ya zamani. Ilikuwa u producer lazima ukajifunzie majuu.. sasa maskini majuu unaendaje? Pili baada ya mafunzo ilikuwa lazima uwe na vifaa vya productions. Sasa maskini unavipata wapi hivyo vifaa?
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,303 Reaction score 14,983 Jan 14, 2022 #4 FRESHMAN said: Kwa miaka ya zamani. Ilikuwa u producer lazima ukajifunzie majuu.. sasa maskini majuu unaendaje? Pili baada ya mafunzo ilikuwa lazima uwe na vifaa vya productions. Sasa maskini unavipata wapi hivyo vifaa? Click to expand... Umemaliza Mleta mada umesikia Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
FRESHMAN said: Kwa miaka ya zamani. Ilikuwa u producer lazima ukajifunzie majuu.. sasa maskini majuu unaendaje? Pili baada ya mafunzo ilikuwa lazima uwe na vifaa vya productions. Sasa maskini unavipata wapi hivyo vifaa? Click to expand... Umemaliza Mleta mada umesikia Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 14, 2022 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...
Feisal2020 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2018 Posts 1,113 Reaction score 2,656 Jan 14, 2022 #6 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Ameshapewa muongozo post #3
Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,019 Reaction score 10,455 Jan 14, 2022 #7 FRESHMAN said: Kwa miaka ya zamani. Ilikuwa u producer lazima ukajifunzie majuu.. sasa maskini majuu unaendaje? Pili baada ya mafunzo ilikuwa lazima uwe na vifaa vya productions. Sasa maskini unavipata wapi hivyo vifaa? Click to expand... Mada imeisha.
FRESHMAN said: Kwa miaka ya zamani. Ilikuwa u producer lazima ukajifunzie majuu.. sasa maskini majuu unaendaje? Pili baada ya mafunzo ilikuwa lazima uwe na vifaa vya productions. Sasa maskini unavipata wapi hivyo vifaa? Click to expand... Mada imeisha.