G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Umalaya uliokithiri😅Ukiona hujali tena jua umalaya umekuzidi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umalaya uliokithiri😅Ukiona hujali tena jua umalaya umekuzidi mkuu
Basi tuambie kuhusu first boiflendiSjawah kuwa na frst lavu......
Kuhonga sio shida tatizo serikali haitoi ajira na mitaji mikubwa nayo hatuna 😅!!!Mi nimekuelewa vizuri 50,sio mchezo ilikuwa nyingi Sasa...wewe Ni mwanaume wa mfano,,,,hivi Hawa wenzio vipi?si wajifunze jamani?
Kwa hiyo unaijua moja tu?Mzembe weweTulioolewa na first lover huu uzi hautuhusu.
Lakini story yake ameanza kuhonga darasa la Sita.. vipi wewe umemaliza mpaka degree huna mbinu za kupata chochote jamani?Kuhonga sio shida tatizo serikali haitoi ajira na mitaji mikubwa nayo hatuna 😅!!!
Wanaohonga sana ni wenye mitaji mikubwa kama akina DeepPond hao lazma waonekane wa maana.
Mbinu ninazo ila ninachokipata hakitoshelezi kuhonga😅Lakini story yake ameanza kuhonga darasa la Sita.. vipi wewe umemaliza mpaka degree huna mbinu za kupata chochote jamani?
Ya uchungu ~ marioAlikua ananipenda sana.
Alipoanza chuo mala ya kwanza kwanza akaninunuliaga na smartphones
Alipofika mwaka wa pili akawa ameshaanza kuijua UDSM Vizuri
Basi hapo ndio na mimi nkaanza kusikiliza nyimbo za marioo
Aiseeh hiyo quotation uliyomaliza nayo nimeielewa sana.Ogopa sana Rafiki mwanaume wa Mwanamke wako trust me ipo siku atamlaa tuu, First love wangu tukapendana sana mpaka tukawa tunashare passowrd za fb sasa tokana nikawa namuamini sana nikawa hata siingii kwenye acc yake.
Nimemaliza form four enzi hizo nipo likizo nikaanza kuhisi kuna kitu hakipo sawa nkasema nilogin kwente Acc yake aisee nikakuta mwanaume ambae alikuwa anasema ni kama kaka na rafiki ake anamtumia mpaka Picha za dudu.
Yule binti alikuwa mpendwa sana hata sikuamini aisee niahisi nimelewa ila ndio ukwelii kumbuka enzi hizo 2012 sijui hata mambo ya kutumiana mapicha ya uchi sio common.
Kesho yake nikachat nae kumbana anambie ukweli akasema anashindwa kuchagua kati yangu na jamaa tunamchanya, Nikasema bhasi mimi ntaacha kukuchanganya niliumia sana mpaka Mama alijua.. nililiaa sana yani mnooo kesho yake nikaenda kuchoma Macard yote na picha zakee zote kiufupi sikubaki na kumbukumbu yoyote na namba nkabadilisha.
Miaka ilienda akajaga kunitafuta tena ubaya mimi nilishasahau na nimepata mtoto mpya mkalii so hata kwa unafiki nlishindwa kurudiana nae jamaa ake akamlaga akambwaga.
Toka enzi zile nasema ukweli sijawahi kuumizwa tena na mapenzi labda nipate mshtuko tu.
First love break up turn good man into Monsters.
Acha weee.Aiseeh hiyo quotation uliyomaliza nayo nimeielewa sana.
Ahahaha sina maana hiyo ila ukiachana na uliyewahi kumpenda na kumuamini sana kwasababu za kiusaliti, definately you'll become a monster haswa kwetu wanaume.Acha weee.
Kwa hiyo unaanza kuwa monster?
Niliachwa kwa kuwa me n kikondee, kabla hata ya kunjunjana🤣🤣🤣🤣Basi tuambie kuhusu first boiflendi
Na mpaka sasa bado ni kikondee?😅Niliachwa kwa kuwa me n kikondee, kabla hata ya kunjunjana🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie bwana alinichana live tuu " mzabzab huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni"
Yaani baadae unakaa chini ukiwaza ndio ungundua kweli mche wa sabuni hauna mbe wa nyuma🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole ndio mana mi nikikasirikaga huwa simjibu MTU kitu chochote hadi hasira yangu iisheYaani baadae unakaa chini ukiwaza ndio ungundua kweli mche wa sabuni hauna mbe wa nyuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie wanawake mna maneno makali sana, kwa kweli mtu unaweza shikwa hasira ukamuua mtu. Nashukuru mie ilitumwa kwenye text
Tatizo sio nilimfanya nini tatizo ni kwamba nilikuwa sina ndalama bwana. Mwanaume ukikosa ndalama mwanamke anakuona kama mbwa tuuPole ndio mana mi nikikasirikaga huwa simjibu MTU kitu chochote hadi hasira yangu iishe
[emoji23][emoji23][emoji23] ulimfanya nini hadi akakuambia hivyo?
Jitahidi kuzitafuta siku ukizipata utaitwa majina yote mazuriTatizo sio nilimfanya nini tatizo ni kwamba nilikuwa sina ndalama bwana. Mwanaume ukikosa ndalama mwanamke anakuona kama mbwa tuu