Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

My first love alikuwa na his first love ,kwahiyo nikampa ukumbi tu waendelee na yao
 
Mi nimekuelewa vizuri 50,sio mchezo ilikuwa nyingi Sasa...wewe Ni mwanaume wa mfano,,,,hivi Hawa wenzio vipi?si wajifunze jamani?
Kuhonga sio shida tatizo serikali haitoi ajira na mitaji mikubwa nayo hatuna 😅!!!

Wanaohonga sana ni wenye mitaji mikubwa kama akina DeepPond hao lazma waonekane wa maana.
 
Kuhonga sio shida tatizo serikali haitoi ajira na mitaji mikubwa nayo hatuna 😅!!!

Wanaohonga sana ni wenye mitaji mikubwa kama akina DeepPond hao lazma waonekane wa maana.
Lakini story yake ameanza kuhonga darasa la Sita.. vipi wewe umemaliza mpaka degree huna mbinu za kupata chochote jamani?
 
Lakini story yake ameanza kuhonga darasa la Sita.. vipi wewe umemaliza mpaka degree huna mbinu za kupata chochote jamani?
Mbinu ninazo ila ninachokipata hakitoshelezi kuhonga😅
 
Alikua ananipenda sana.

Alipoanza chuo mala ya kwanza kwanza akaninunuliaga na smartphones

Alipofika mwaka wa pili akawa ameshaanza kuijua UDSM Vizuri

Basi hapo ndio na mimi nkaanza kusikiliza nyimbo za marioo
Ya uchungu ~ mario
 
Aiseeh hiyo quotation uliyomaliza nayo nimeielewa sana.
 
Pole ndio mana mi nikikasirikaga huwa simjibu MTU kitu chochote hadi hasira yangu iishe

[emoji23][emoji23][emoji23] ulimfanya nini hadi akakuambia hivyo?
 
Pole ndio mana mi nikikasirikaga huwa simjibu MTU kitu chochote hadi hasira yangu iishe

[emoji23][emoji23][emoji23] ulimfanya nini hadi akakuambia hivyo?
Tatizo sio nilimfanya nini tatizo ni kwamba nilikuwa sina ndalama bwana. Mwanaume ukikosa ndalama mwanamke anakuona kama mbwa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…