Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Pole ndio mana mi nikikasirikaga huwa simjibu MTU kitu chochote hadi hasira yangu iishe

[emoji23][emoji23][emoji23] ulimfanya nini hadi akakuambia hivyo?
Hasira yako inachukua muda gani kuisha! Naomba kujifunza kwa nia njema
 
Duh pole sana maisha ndivyo yalivyo utampata right person
 
Aliniacha akaenda kwa monitor wa darasa tukiwa darasa la 5 aliona Mimi sina madaraka akafata wenye madaraka watu wa serekali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Vipi kuhusu mwanao kwa Sasa yuko wapi
 
Duh asee unamoyo sana mm mtu akionesh dalil nisizozielew nawah kujiengua nakufuta Namba yake
Binadamu tuna tofautiana sana mm huwa najipa mda nikiamin ipo siku atagundua kosa lake na kujirekebisha
 
Nilijibiwa hivo, Tena binti Yuko uso mkavu kabisa.

Hii ilinipata baada kuulizia mrejesho baada ya kuona kimya hajaijibu ile barua yangu nzur ya kimahaba nilomwandikia iliyokua na hongo sh. 50 kabisa[emoji4].
Na kwenye barua hiyo ukaweka dedication song ya MY HEART WILL GO ON by Celine Dion
 
Mlioanza mapenzi Primary na hadi leo Hamjaoa au kuolewa,Nyie ni Viburi Mlio kubuhu.

Primary hadi namaliza sina uwezo wa kusimama hata na kadada,ukiniitia mdada natoa mbio

Up to Date asili haiachi asili kuwa domo zege kupo kupo nakuona kabisa,ni basi tu huu mserereko naoupata

Ka mpenzi kangu ka kwanza daaah,Tuacheni masihara simkumbuki ni yupi,au mwalimu badlisha title labda

ntaweza ng'amua, maana wengine tulianza na double double, halafu House girl hv anaweza kuwa mpz wako

wa kwanza au hawa kina house girl tuwatoe kwenye kundi la (mpenzi) wa kwanza,maana wengine Ndio tumejifunzia humo Tabia mbaya.
 
Kwan wao sio binadamu?
 
Tunafanana aisee,
Mimi alienda kwa Kiranja mkuu[emoji4]

Nikapigwa kitu kizito
Kaka Mkuu wa shule yetu alikua anawafaida sana,yule jamaa alikua mkubwaa

halafu ana ndevu,vidada vyote vizuri ni vyake,ukvgusa tu utavskia vnaenda kukusemea kwa kaka edward,

Edward (kaka mkuu) akija huko ni atakudekisha vyoo vya shule nzima,utafagia madarasa yote, ki ufupi

Kuwa kaka mkuu Primary n bonge 1 ya title,ubaya lile jamaa halfu haliku na akili linaigia hilooo....
 
Kwan wao sio binadamu?
Ila yale tunayaitaje mapenzi wakat hata kupeana ni kwa kuiba usiku Tu,tena bila kuombana

sikumbuki kama wakat naanza yale matabia mabaya hata kama nlikuaga na piz,mi nlikuaga nkchoka tu natoa nalala,imeisha hiyo.

HG sio mpenzi Hapana mi nimegoma.
 
Ila yale tunayaitaje mapenzi wakat hata kupeana ni kwa kuiba usiku Tu,tena bila kuombana

sikumbuki kama wakat naanza yale matabia mabaya hata kama nlikuaga na piz,mi nlikuaga nkchoka tu natoa nalala,imeisha hiyo.

HG sio mpenzi Hapana mi nimegoma.
Ukuwai kukutana na unae muelewa tu ila wapo tuliowai angukia huko had leo tunajutia kuwapoteza
 
Ukuwai kukutana na unae muelewa tu ila wapo tuliowai angukia huko had leo tunajutia kuwapoteza
Hapa tunaongelea "mpenzi wa kwanza" mkuu sio vinginevyo,

Sina maana HG hawezi kuwa mpenzi,ila kumuita First Love ni uongo.
 
Kumbe mlikuwa mnanikubali mm edward mtumbadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…