CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
unajua hata hiyo shule ni ipi aseeePole sana dogo ,mi ndo mtaalamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua hata hiyo shule ni ipi aseeePole sana dogo ,mi ndo mtaalamu
Mbona inawezekana. Kabla ya kukutana nae nilikuwa ni mtu wa kuchukulia wanawake ni wakupiga na kuacha ila nilipokutana nae ndio nilijua nn maana ya kupenda na kupendwa na yeye ndio alikuwa mapenzi wangu wa kwanzaHapa tunaongelea "mpenzi wa kwanza" mkuu sio vinginevyo,
Sina maana HG hawezi kuwa mpenzi,ila kumuita First Love ni uongo.
Tulia dogo utaosha lami skuiz mi ni ocdunajua hata hiyo shule ni ipi aseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka Mkuu wa shule yetu alikua anawafaida sana,yule jamaa alikua mkubwaa
halafu ana ndevu,vidada vyote vizuri ni vyake,ukvgusa tu utavskia vnaenda kukusemea kwa kaka edward,
Edward (kaka mkuu) akija huko ni atakudekisha vyoo vya shule nzima,utafagia madarasa yote, ki ufupi
Kuwa kaka mkuu Primary n bonge 1 ya title,ubaya lile jamaa halfu haliku na akili linaigia hilooo....
🤣🤣🤣🤣KhaYaani baadae unakaa chini ukiwaza ndio ungundua kweli mche wa sabuni hauna mbe wa nyuma🤣🤣🤣🤣
Nyie wanawake mna maneno makali sana, kwa kweli mtu unaweza shikwa hasira ukamuua mtu. Nashukuru mie ilitumwa kwenye text
Ndio hivyo...nyie niwakatili balaaa🤣🤣🤣🤣Kha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu tusimulie kidogo.Ile Sunguratope Ile!Iache iende tu kwa kweli haibebeki hata kwa blanket
Nimechoka,nitakupa mkanda wa sungura tope kesho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu tusimulie kidogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Movie za X ziliniponza,
Nilianza mapenz nikiwa Form 3 kipindi hiko nshaangalia sana Muvi za X nkataka mambo ya kwenye X niyahamishie kwa Dem wangu. Siku ya siku ndo tunakutana kwa Mara ya kwanza nkajifanya fundi kuzama chumvini. Loooh kumbe kuzama chumvin kwenyewe nakosea demu namnyonya kisimi nachanganya ulimi na meno. Demu analalamika adi anatoa machozi mi najua anaskia utamu kumbe anaumia balaa halafu anashindwa kuniambia.
Kuja kustuka kisimi kimekuwa chekunduuuu hatari nkajua yeees hapa tayar maandalizi yamekamilika nimtie... Napo nkaishia kupiga tako nne tu bao hili hapa.
Kesho yake tupo school naona Dem anatembea anachechemea, kumuuliza tatizo Nini hakujibu. Jioni nkatumiwa bonge la barua kwamba hanitaki tena mtu gani sijui mapenz nataka kumkeketa kwa meno. Ikawa ndo nimepigwa kibuti Ivo, niliumia kwa ushamba wangu Ila sio kuachwa.
Ester popote ulipo bado nakukumbuka sana mama na asa ivi chumvini napajulia vizuri ikitokea tumekutana tena sitakuangusha.
Siuwe na mimi sasaSijawai enjoy mapenzi hadi sasa.
Wa kwanza kuwa nae kwenye uhusiano niliachana nae baada ya kuanza kuona hasomeki.
Fu@k it man, I couldn’t marry the girl i love because i was BLACK!!I moved on, I moved on and married a person I love to death.
I learned how to love and believe me I am over the moon! Living happy life, enjoying every bit of it.
Precisely, I married a girl with Arabian origin just like her. Life is crazy my friend.
So you can learn how to love again, should you fail, let me know and I will teach you!
''nilikua radhi nikaejuani ila anione acha tu'' hakukuuliza kaka kwani we mjusi? kwa jinsi ulivyompenda pasi na shaka ungemjibu kuna saa nawapendaga sana mijusi..Daah unanikumbusha mbali yaani enzi hizo huyu dem nilimpenda sana ila nilikuwa siwezi kumwambia katu nakumbuka tulikuwa na mazoea wanaume kucheza rede na wanawake basi hata kama nimechoka nitacheza tu kila nikimwangalia nafurahi.
Mama alikuwa nananichunga sana yani full kukaandani, ila we haiwezi pita siku sijatoroka nikacheze kwao nyumba ya nyuma tu nakumbuka alikuwa anaitwa SHANI
Nakumbuka siku moja nilikula dili na kaka yake tubadilishane kwa kuwa na mimi nina dada akaanza yeye bwana kaenda kamtongoza akakubaliwa mimi naenda kwa shani nikakuta anaoga kaka yake akamwambia demu Binadamu Mtakatifu anakuita Demu aliitikia kwa bashasha zote anusubiri natoka kweli hakuchelewa akatoka we kumuona moyo PAAAAAh mdomo hauna nguvu we amini siku mtongoza mpaka anaondoka nilikua radhi nikaejuani ila anione acha tu 😍😍😍😍😍😍😍
😂😂😂 Ningejibu nasaka senene au mijusi wajomba zangu nipo nawasalimia''nilikua radhi nikaejuani ila anione acha tu'' hakukuuliza kaka kwani we mjusi? kwa jinsi ulivyompenda pasi na shaka ungemjibu kuna saa nawapendaga sana mijusi..
ulikua unampenda sana.. yupo wapi sikuhizi? ameolewa? huwa mnawasiliana? ulishawahi kumwambia hiki kituko?😂😂😂 Ningejibu nasaka senene au mijusi wajomba zangu nipo nawasalimia
Hata sijui yupo wapi unafikiri ni mda saana miaka yenyewe ya kuku hiiulikua unampenda sana.. yupo wapi sikuhizi? ameolewa? huwa mnawasiliana? ulishawahi kumwambia hiki kituko?
Kwahiyo hukwenda jeahini😂Ebwaa e, mimi niliachwa kimasihara kabisa na yule kengemaji. Nilidumu nae kwa zaidi ya miaka minne akiwa na bikra yake tukiwa na lengo la kuitoa akimaliza cha sita.
Nakumbuka nikiwa tayari na form ya kwenda JKT na nina kama wiki ya kujiandaa nakamuita ili nimuage.
Aliniambia kimasihara kabisa kwamba, "sikuwahi kuwaza kuolewa na mwanajeshi na haitakaa itokee ila nakuomba nitolee bikra niliyokutunzia kwa muda mrefu then kila mmoja aendelee na maisha yake"
NB: MIMI SIO MWANAJESHI.
Mkuu labda hujasema hizo pesa ni kiwango ganiMkuu sio wote wanaangalia hela mi ukishanicheat nikajua hata uwe na hela kiasi gani itakua ndo mwisho wa kila kitu
siwezi kujilinganisha na pesa hata siku moja