Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Hapa tunaongelea "mpenzi wa kwanza" mkuu sio vinginevyo,

Sina maana HG hawezi kuwa mpenzi,ila kumuita First Love ni uongo.
Mbona inawezekana. Kabla ya kukutana nae nilikuwa ni mtu wa kuchukulia wanawake ni wakupiga na kuacha ila nilipokutana nae ndio nilijua nn maana ya kupenda na kupendwa na yeye ndio alikuwa mapenzi wangu wa kwanza
 
By then Niko form three yeye Yuko class seven mwezi wa sita saa moja jioni ndio siku niliyoanza nae mahusiano.
She was my first lady in my life, nilimpenda Sana,
But, nilipokuwa nae alikuwa ukaribu na wavulana was chuo kilichokuwepo karibu na shule yetu,
It was a vocational school, so nilimwambia akasema hana uhusiano nao,
Ipo siku kulikuwa na graduation kwenye hicho chuo nokaenda mida ya saa moja jioni nikamkuta amekaa zero distance na njemba moja
Aliponiona akakimbia kutoa hapo walipo kuwa hapo hapo moyo wangu daah..nikajua hapa Sina demu.
Nika mute tu .sikusema kitu.
Siku tuliyokutana nae Mimi kimya alitegrmea nitamwambia chochot aawh wapi..
Nikamsalimia nikasepa zangu.
Next day akamtuma rafiki yake aje kuniuliza kwanini sitaki kuongea nae..rafiki yake kanipa taarifa nikamjibu asijal Mimi Sina shida yoyote kuna mambo tu yamenichanganya.
Baadae nikakutana nae for sex then nikamwambia awe busy na masomo Kwanza mapenzi tutaendeleza baadae because she was very bright in the class,
She was scoring no.one in the class.
Basi ikawa hivyo but lengo la kumwambia hivyo nilitaka nijue what is going on behind the scenes,
Bas nikakaa just a single week nikaambiwa na rafiki zake your girl is not whom you expected..hajatulia.
Most her friends walikuwa Ni wahuni Sana so, nayeye started to involve in that group.
Tujuavyo ndege wafananao huruka pamoja nilipojua hivyo sikutaka Tena uhusiano nae japo sikumwambia kitu, nilikaa kimya.
Alipo join form one, I hadn't any feelings na yeye despite I loved her so much but ilibidi niache iwe..nika move on.
Kulikuwa na rafiki yake alikuwa jirani yangu nilimtongozaga by telling her I love you.
Hivyo tu..nikakaa kimya.
Zikapita siku Niko kwenye getto la my friends akaja Wala sikuwa na time nae..alipofika akamwita friend wangu akamwambia I need to meet with J4 mgongoni (nilikuwa na tshet imeandikwa j4 mgongoni) jamaa akasoma mchezo akajua huyu sister hakuja kwa story (Rafiq mtu) wakaniachia getto dah nikamla kimasihara ikawa mwanzo wa penzi jipya na ikawa mwisho kabisa wa penzi la my first lady of my life.
Baadae alimaliza shule akakubuhu kwenye uhuni akajapata ujauzito wakati wa kujifungua wakamchelewesha hospital akafariki kwa kuacha watoto mapacha.
But, mpaka mara ya mwisho miezi michache tulikuwa na mawasiliano Bado ya kawaida.
Mf. Ikitokea anashida ya fedha namtumia anakidhi shida yake.
So I decided to make a friend ship for benefits with her, coz I didn't want to hurt her much.
STILL I REMEMBER YOU MY LOVELY FIRST LADY OF MY LIFE, I LEFT YOU FREE SO THAT YOU STUDY HARD AND PERFORM NICELY IN YOUR STUDIES BUT UNFORTUNATELY YOU QUOTED ME WRONG AND START ENGAGING IN BAD COMPANIES. (LOVED YOU MUCH LADY 3)
MAY THE ALMIGHT LORD KEEP YOU IN A PIECE PLACE AT IN HEAVEN.


R.I.P MY FIRST MISS LADY OF MY LIFE.

BY J4, mgongoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani baadae unakaa chini ukiwaza ndio ungundua kweli mche wa sabuni hauna mbe wa nyuma🀣🀣🀣🀣

Nyie wanawake mna maneno makali sana, kwa kweli mtu unaweza shikwa hasira ukamuua mtu. Nashukuru mie ilitumwa kwenye text
🀣🀣🀣🀣Kha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fu@k it man, I couldn’t marry the girl i love because i was BLACK!!

I appreciate her because she had the balls to tell me right to my face, and she told me that earlier so we dated in a contract, in our Uni years.
 
''nilikua radhi nikaejuani ila anione acha tu'' hakukuuliza kaka kwani we mjusi? kwa jinsi ulivyompenda pasi na shaka ungemjibu kuna saa nawapendaga sana mijusi..
 
Kwahiyo hukwenda jeahiniπŸ˜‚
 
Mkuu sio wote wanaangalia hela mi ukishanicheat nikajua hata uwe na hela kiasi gani itakua ndo mwisho wa kila kitu

siwezi kujilinganisha na pesa hata siku moja
Mkuu labda hujasema hizo pesa ni kiwango gani

Everybody has a price
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…