Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Usaliti...alianza kutembea na rafik zang nilipogundua nikamuacha ila nikaona maisha bila yeye hayaendi, akarudi kuomba msamaha nikamsamehe.

Baadae nilikuja gundua kampa mimba kabinti kengine nikaondoka kimoja hadi leo.
 
1St love wangu tulikua ktk mahusiano wakat huo tupo O level, ila hatukuwahi kufanya matusi couz wote tulikua tunasoma boarding school shule tofaut, ko kukutan ni likizo tyuuh.

Wazazi wetu walikua wafanya kazi pale sehemu, tulidumu kwa mwaka m1, baadae wazazi wake na yeye walihamia mkoani kwao, ko tangu hapo hatukuwahi kuwa na mawasiliano tumekuja kukutana chuoni kila m1 akiwa na mahusiano yake mengine.

Umbali ndio sababu.
 
Mwanaume wewe una matatizo
 
Bwana wee. Smart911 kumbe ndio maana?
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆ
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆ
Usije ukanisingizia kuwa Zabron Hamis ndiyo nimemtuma, mi sipo ila nina mkakati wa kumrudisha kundini cocastic ambaye anajifanya ni mwenzenu bila K!
 
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wakati ule wa mapenzi shatashata ulikuwa husikii wala huoni. Ikawaje tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…