Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Ha ha ha ha....
Zamani ilikua Ni ngumu Sana Kumpata mrembo,

Skuhizi maisha yamebadilika, Kuna warembo wanawatongoza wanaume.

Hiyo kitu zaman ilkua Ni ndoto kabisa[emoji4]
eehh ukimpenda mwamba ukaona anabaabaa unamvaa tu atakupenda mbele kwa mbele...
 
Dah! m nilimpataga tulikua shule moja sema kwao mawe yalikuwepo ko akapelekwa boarding m nikabak St kayumba.

Ilipofika likizo nikajipa iman kwamb dem wang anarud sasa nitakua nae,, bwana wee nilipomfata kwao alinitukan san tena kwa kiingereza af m enz hizo amna kitu.

Nahis alikua kashapata waingerez wenzake huko.

Niliumia sana ila maisha lazm yaendelee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]! Acha kabisa nilikua natoroka hostel moro sec hadi chuoni SUA kwa mwamba!
Ha ha ha.....
Umechelewa Sana aisee.

Sema kwa mwanamke sio mbaya Sana[emoji4]
 
eehh ukimpenda mwamba ukaona anabaabaa unamvaa tu atakupenda mbele kwa mbele...
Zaman Ni kitu Cha ajabu kabisa,

kwanza kijana kukutana na mwanamke Mara kwa Mara ilkua ni issue sana.

Tofauti na mazingira ya shuleni na vichakani ilkua ngumu sana.

Enzi hizo Hakuna Simu, Ni mwendo wa barua na ishara tuu.
 
Demu wa kwanza ngumu kuachana nae mnapeana nafasi tu ila mnakula kama kawaida mkimisiana
Inategemea,

Mimi wakwangu nilikuja kumuona mwaka Jana kwenye tv, aliingia kwny ishu za umodo, kajikondesha sana kawa mbaya kabaki kichwa na mifupa tuu.

Kiasi kwamba hafiki hata nusu ya standards za mwanamke ambae nilimuona nahamasika uku chini.
 
Kuna rafiki yangu mpuuzi alituchonganisha, binti akaniacha bila kunambia sababu enzi nipo form 5.

Tukaja kukutana baada ya chuo ndo akanielezea alichoambiwa nikamthibitishia kuwa haikuwa kweli. Alilia sana hadi nikashtuka nikamuuliza kwanini alilia sana kiasi kile, akanambia, "I am pregnant".

Nikamuuliza mimba ya nani alichonijibu nilitamani kuhama nchi ikizingatiwa nilikuwa bado nampenda.

Alikuwa na mimba ya mtoto wa baba mkubwa (literally, a brother)

Hadi leo huwa naumia nikimuona.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa nyimbo za Marioo mie hoi!!

Endelea tu kucheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana yakikukuta hutakumbuka kucheka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom