Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Hamjakumbushia kidg,
maana wee nae ushakua Ni bazazi kwelikweli[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah jamaa yuko ktk mahusiano na mwingne, na mie nipo na jamaa mwingne, Sema kawa km mshikaji wangu iv. Uwiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]! Acha kabisa nilikua natoroka hostel moro sec hadi chuoni SUA kwa mwamba!
Shos wee n nomaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah! m nilimpataga tulikua shule moja sema kwao mawe yalikuwepo ko akapelekwa boarding m nikabak St kayumba. Ilipofika likizo nikajipa iman kwamb dem wang anarud sasa nitakua nae,, bwana wee nilipomfata kwao alinitukan san tena kwa kiingereza af m enz hizo amna kitu. Nahis alikua kashapata waingerez wenzake huko. Niliumia sana ila maisha lazm yaendelee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Demu wa kwanza ngumu kuachana nae mnapeana nafasi tu ila mnakula kama kawaida mkimisiana
Kumbuka kuna dem wa kwanza kumla na kuna dem wa kwamza kumpenda (kupendana).

Mm wa kwanza kumla sahv namsalimia shikamoo nikikutana nae. Na wa kwanza kumpenda/kupendana nae alishaolewa na mm nishaamua kujiweka mbali nae japo mtoto bado anatuonganisha ila daima huwa naona ndio mwanamke bora kwangu(sababu nitaelezea siku nyingine)
 
Kuna rafiki yangu mpuuzi alituchonganisha, binti akaniacha bila kunambia sababu enzi nipo form 5. Tukaja kukutana baada ya chuo ndo akanielezea alichoambiwa nikamthibitishia kuwa haikuwa kweli. Alilia sana hadi nikashtuka nikamuuliza kwanini alilia sana kiasi kile, akanambia, "I am pregnant". Nikamuuliza mimba ya nani alichonijibu nilitamani kuhama nchi ikizingatiwa nilikuwa bado nampenda.

Alikuwa na mimba ya mtoto wa baba mkubwa (literally, a brother)[emoji24]

Hadi leo huwa naumia nikimuona.
Akome kukurupuka. Sipendi mabinti wanaojifanya wapo haraka kufanya maamuzi as if wao hawana akili ya kutafakari mara mbili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 4m 5 mbna afadhar, mie ilibidi 4m 1 nianze kuinamia mkunyenge sema ndo vile mazingira hayakua rafiki kwetu, hahahah
Ha ha ha ....wee nae Jifisi TU huna tofauti na Mimi[emoji2]
 
[emoji28][emoji28] Kumchekea chekea, I mean...unakuta anajenga mazoea zoea ya hovyo na kila boy ambaye atapita kwenye cycle yake! In short, unashindwa kujua position yako kwake whether she's treating you as everyone else or you're special....

Utakufa na wivu kuna watu ni nature yao kuwa hivyo labda umbadilishee
 
Deeppond,,una matukio mengi yaani michepuko,,std6 unatoa posho ya mezaa,,inabid Utengenezewe sanamu lako[emoji1787]
Hazikua posho za meza kivile,

Ila zilikua hongo ndogo kumuweka sawa mpenz wangu. Maana bila pesa kua romantic ilkua ngumu Sana

Afu kingine nakumbuka enzi hizo nlikua mwandiko mbaya sana darasani, nikiandika barua ya kimahaba haivutii. kwaiyo barua nyingi za mahaba nilikua naandikiwa na jamaa yangu mmoja anaitwa JOSEPH alikua vizur Sana darasani ila nae alkua mhuni TU Kama Mimi, kwa malipo ya sh. 2 kwa kila barua.

Kwaiyo jamaa nilikua Nampa wazo langu na posho yake,kisha yeye anaenda kutulia,kudraft na kuniandikia Maneno matamu kwenye barua[emoji4]

Akimaliza anaenda kuipeleka kwa mhusika, Sema Sasa kipind flani 2010 nikaja kutana nae mahali tukapiga stories za miaka Iyo akanambia Kuna baadhi ya Ela alikua hapeleki zote. Zinaenda nusu.

Kwamfano akiwa Hana Ela, ukimpa sh. 20 anapeleka sh.10
Namimi kipind kile hata sikuwai kufatilia maana nilikua namuamini Sana.

Ila Aya maisha bhana, binadamu tunatoka mbali sana aisee[emoji2][emoji109]
 
Back
Top Bottom