Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Nini kilikufanya uachane na mpenzi wako wa kwanza (first love)?

Ndula baba dah nlkua na bonge buti mzee alinunulia lilikua lina kisgino(yale ya Mondi anavaa siku hizi achana na jeje lakin....yale mengine ya ajab ajab)yan kama joker dem akanambia kwa iko kiatu uwez ukatoka na mm msafi wa shule

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Uliachwa kisa kiatu [emoji23][emoji23] sababu nyepesi sana hii pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ogopa sana Rafiki mwanaume wa Mwanamke wako trust me ipo siku atamlaa tuu, First love wangu tukapendana sana mpaka tukawa tunashare passowrd za fb sasa tokana nikawa namuamini sana nikawa hata siingii kwenye acc yake.

Nimemaliza form four enzi hizo nipo likizo nikaanza kuhisi kuna kitu hakipo sawa nkasema nilogin kwente Acc yake aisee nikakuta mwanaume ambae alikuwa anasema ni kama kaka na rafiki ake anamtumia mpaka Picha za dudu.

Yule binti alikuwa mpendwa sana hata sikuamini aisee niahisi nimelewa ila ndio ukwelii kumbuka enzi hizo 2012 sijui hata mambo ya kutumiana mapicha ya uchi sio common.

Kesho yake nikachat nae kumbana anambie ukweli akasema anashindwa kuchagua kati yangu na jamaa tunamchanya, Nikasema bhasi mimi ntaacha kukuchanganya niliumia sana mpaka Mama alijua.. nililiaa sana yani mnooo kesho yake nikaenda kuchoma Macard yote na picha zakee zote kiufupi sikubaki na kumbukumbu yoyote na namba nkabadilisha.

Miaka ilienda akajaga kunitafuta tena ubaya mimi nilishasahau na nimepata mtoto mpya mkalii so hata kwa unafiki nlishindwa kurudiana nae jamaa ake akamlaga akambwaga.

Toka enzi zile nasema ukweli sijawahi kuumizwa tena na mapenzi labda nipate mshtuko tu.

First love break up turn good man into Monsters.
 
Ogopa sana Rafiki mwanaume wa Mwanamke wako trust me ipo siku atamlaa tuu... First love wangu tukapendana sana mpaka tukawa tunashare passowrd za fb sasa tokana nikawa namuamini sana nikawa hata siingii kwenye acc yake.. Nimemaliza form four enzi hizo nipo likizo nikaanza kuhisi kuna kitu hakipo sawa nkasema nilogin kwente Acc yake aisee nikakuta mwanaume ambae alikuwa anasema ni kama kaka na rafiki ake anamtumia
Uzuri pia wakati huo ata mambo ya threesome yalikuwa hayajashika moto lah sivyo huyo binti alikuwa anapigwa threesome
 
Ogopa sana Rafiki mwanaume wa Mwanamke wako trust me ipo siku atamlaa tuu... First love wangu tukapendana sana mpaka tukawa tunashare passowrd za fb sasa tokana nikawa namuamini sana nikawa hata siingii kwenye acc yake.. Nimemaliza form four enzi hizo nipo likizo nikaanza kuhisi
Mie ndio ngachoka hapo wanawake wenyewe wanasemaga hamna urafi wa mwanaume na mwanamke but yet anadiriki kumtambulisha jamaa kwako kuwa he is just a frend🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom