Na hii ndio inauma zaidi.Bora iwe kwa jirani, unaweza kusimangwa na ndugu yako toka nitoke kutokana na sababu ya kula kwake.
😂😂😂kyimundoooo
Kwa hiyo yasingekuwepo masimango ungeendelea tu kufinya misosi kwa majirani?Binafsi masimango ndio sababu iliyonifanya niache kula kwa majirani
Utaje hapa niupitieWengine tunaogopa kurogwa
Hata msibani sasa hatuli maana mlituogopesha na ule uzi.
Tena unyonyaji mbaya...Kula kwa majirani ni unyonyaji kama unyonyaji mwingine