Nini kilikufanya uache kula kwa majirani

Nini kilikufanya uache kula kwa majirani

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Mda mwingine unaona njaa itaniua unaamua kugusa gusa (kula) kwa majirani, baada ya hapo masimango ya kuwa "mpaka hapo ulipofikia bila sisi ungekuwa umeshakufa uwe unatushukuru kila kukicha😬" na kadhalika.

Binafsi masimango ndio sababu iliyonifanya niache kula kwa majirani
 
Kuna jirani tunaitana kaka na Dada,dogo nilimuambia kula kwa jirani ni tabia mbaya!,sasa kuna siku nimepita nae na wakawa wanapata msosi,akakalibishwa,akabwatuka na kunipiga swali baba kula kwa watu si tabia mbaya eehšŸ˜€šŸ˜€...
 
Kuna jamaa alikua anapenda sanaa ubwabwa... Na hajui kutafuta hela pia ana mke na watoto kama watano hivi...

Nyumbani kwake alikua anaacha unga na maharage au mboga za majani..

Sasa jirani yake mmoja alikua single mama na biashara zake za kuuza mchele... Kwahiyo jamaa alikua anatabia za kumvizia akitoka kwenye biashara anampokea mzigo then anazama ndani kusubiri ubwabwa uive als aende kwake...

Kuna siku yule mama baada ya kula chakula akafunga mlango akamwambia umezoea kula vyakwangu bure sasa ni zamu yako kuchakata mbususu hii.... Shida jamaa alikua mlokole wacha aanze kupiga kelele majirani njoeni hahaha..

Majirani nao wakamwambia umezoea kula ubwabwa wa bure haya chakata hiyo mbususu sasa hakuna cha bure... Basi ikawa fedheha kwa jamaa mtaa mzima...

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Jamani mm binafs nilikula kwa rfk yangu bila aibu ingawa niliona aibu sna mke wake. Aliweka chuki binafsi isitoshe Ni mua ndio kamuoa ais

Yule jama angu kila siku ananipitia tuende kwake kwa kuwa mm sijaoa bas anapenda San niwe nae nyumban kwake usku kucheki hbr hat mchan tukitoka ktk mizunguko bas tunaenda kwake mke wake. Alinichukia sna nikijaribu kumkwepa mwan akwepeki duh aise nimekula kwa kweli kwa yule jamaa nhad na kukimbia kbsa
 
Back
Top Bottom