Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

We jamaa comments zako ni hatari sana unacheka huku unapata points.
 
Ilikuwa house party mkuu hahaha
 
Ahahaha mkuu unanichekisha mbaya eti diaspora mbna wanasema mkirene Simon Ni mtu kutoka Libya ya sas kumbe ni muethiopia

Bas bhan nadhani alikuwa Ni mtu mwenye kutake risk kutoka afric kwenda Israel kutafuta maisha na kayapata had kupewa heshima kubeba mslana na askri wa kiyahud wakatili kumruhusu abebe inaonekan jamaa alikuwa anapesa Hadi maskari wakamgwaya
 
Mavaz ya yesu tu yalikuwa ya garama na mitume wake embu fikiria uwa maintain wanaume kum na mbili wale na walale juu yako wew alikuwa na pesa siyo kitoto
Tajiri yes alikuwa akingia mjini mji unasimama wkt fln na hutumwa watu wenye akili kubwa kuja kumuoji na kumuliza maswali ya kimtego tajiri alingamua hila zao faster na kuwajibu dry. Kam ambvyo matajiri wengi Leo hii wafanyavyo kujibu maswal
 
kweli kabisa yaani tajiri yesu alikua na majibu ya mkatomkato tuu.Kiukweli hakuna masikini anaeweza kukataa pesa, Yesu kukataa ela ya kaisari inaonesha kabisa alikua tajiri
 
Umestuka na Nini??[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alikuwa analisha maelfu kila alipoenda alivyokuwa Tajiri hadi akasema ninyi wengine mnanifuata kwa ajili ya chakula tu msiangalie chakula tu kinachooza

Makutano Walikuwa wanajua mia kwa mia Yesu akiwepo mahali lazima bufee ya chakula iwepo Tajiri Yesu akaingia mjini au mtaani au kijijini au kando ya bahari au mkutanoni kama hujala bufee na kuku choma au mbuzi choma na vipapatio ndio siku ya kula Yesu akija.Bosi tajiri kaja

Akasema mnafuata chakula tu kinachooza yasikilizeni maneno yangu hakuacha kuwapa chakula japo aliwasimanga kidogo!! Aliwasimanga kidogo ila BUFEE ya Tajiri Yesu waliila akawapa.

Najisikia raja sana maisha yangu kuwa Mkristo mfuasi wa Tajiri Yesu. Hajawahi niangusha maisha yangu hata siku moja huyu Tajiri
 
Kwahiyo unataka kusema yesu alikuwa marioo?
 
🤣🤣🤣 you almost killed me by laughter. Jf bhana
 
🤣🤣🤣 you almost killed me by laughter. Jf bhana
Ya ya ya Yesu sababu benki hazikuwepo alikuwa aki deposit pesa zake kwenye kwenye matumbo ya samaki wa eneo lile ukivua samaki yeyote ukimvua eneo lile huhitaji kwenda kuuza samaki upate pesa samaki yeyote ukimvua mpasue tu kwenye tumbo kukutana na dola mamia au pound za uingereza mamia au pesa za kiyahudi kitu kidogo.Vua samaki yeyote eneo lile mzigo wa pesa huu hapa unautoa kalipie chochote utakacho au kununua iwe apartment ,benzi au kujenga maghorofa au kulipa kodi au kuanzisha biashara kubwa juu yako
 
YEHODAYA .. na matunduizi mbona mnaruka ule mstaruli Maskini Yesu anasema Mbweha wana Mapango.. ila yeye hana hata mahali pa kulaza kichwa..
Unaniangusha hili swali nililisubiri Muda Mrefu.

Yesu alikuwa anamjibu dry tu yule jamaa maana alikuwa anafuata Vitu na Yesu alitaka wafuasi waaminifu.

Yesu alikuwa anaishi mahala pazuri sana.


Ushahidi
Wanafunzi wa Yohana walimuuliza unaishi wapi? Akasema nifuateni walipomfuata kuona anapoishi Yesu hawakurudi tena. Wakahama kambi kabisa baada ya Kufika anapoishi Yesu. Hawakuwahi kurudi tena kwa Yohana.

Alafu makao yake ya kudumu ni Mbinguni. Kule anasema njia tu ni dhahabu safi. Dhahabu zote duniani ni chafu. Maana huwa zinabaki na impunity kidogo hata zichomwe vipi. 99.999 Percent dorebars. Kyle kwa Yesu hakuna kitu kichafu.


Sasa kama road tu ziko hivyo Mkuu tofari zake zitakuwaje Mkuu.

Yesu sio wakawaida
 
Good.
Nadhani alikuwa anampango pia wa kutajirisha wengine. Maana kama samaki mmoja aliuevuliwa na ndoano alikuwa na dinari moja.

Vipi wavuvi waliokuwa wakivua kwa Net Siku hiyo. Petro alizuiwa tu kutumia nyavu maana angrpata Pesa za hatari hata akamsaliti boss wake kabla ya jogoo lililowika kuzaliwa.
 
kwa ufupi sana eleza vyanzo. unaeleza matumizi lakini huonyeshi vyanzo vya fedha. Sipingi ila naomba kujua
 
Sema Petro alikuwa hataki kuwa Bilionea
Chombo chake kilivyokuwa kimejaa akaita vingine vya rafiki zake vikajaa samaki ange kodi vyombo vingine apige pesa alifanya uzembe Petro

Yesu alitaka kumpa ubiliionea Petro lakini aliridhika haraka alivyoona kapata mzigo mkubwa wa pesa nyingi akamwambia Yesu ondoka kwangu!!! Badala ya kwenda kukodi boti zingine kibao awe na monopoly biasharaa ya samaki as a big Fisherman businessman myahudi eti kwa vile visamaki viduchu anamwambia Yesu toka

Kanisani kuna issues kama za Petro mtu ananyanyuka kupitia pale ananasali kwa believers waamini Yesu Tajiri akipata kidogo tu magari au kajumba au kabaiskeli au kacheo anakimbia kanisa na wokovu ! Yeye Petro kapata sana!!! Roho ya Petro kwenye utajiri inatakiwa ikemewe kwa jina La Yesu

Wako viongozi na waumini kibao wamepata chochote majeuri hao wanadhani wamefika wanasahau agenda ya Yesu ilikuwa kufanya Petro bilionea akadharau opportunity!!
Kwa Sisi waamini Yesu tajiri kama mimi Petro alichofanya sio sahihi kumwambia Yesu ondoka baada ya kuvuna samaki wengi! Lofa mkubwa Petro sasa hivi tungekuwa anaongelea Bilionea mkubwa Petro.Lakini alivyomwambia Yesu toka utajiri mkubwa hakupata tena!!

Sisi waamini Yesu Yesu Tajiri hata tutajirike vipi hatumuachi Yesu wala kusema ondoka kwetu kama Petro alisema tunajua Yesu bado hajatufikisha atakapo kutufanya mabilionea au ma trionea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…