Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Nadhani ni michango ya waumini desturi ambayo hata kina paul, Petro, barnaba na wengine waliuendelezaI
I believe Bro.
Turudi kwenye mfuko wa fedha za Yesu ulikuwa unatunzwa na kijana wa mzee Iskariyote...
Pesa alizokuwa anazitunza aliItoalea wapi. Au zilitoka Mbinguni automatically