F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
ila habari za Mohammad zipo sio za kusadikika ?.Habari za uwepo za yesu ni za kusadikika,hamna hata mmoja anaye weza kuzithibitisha.Hivyo,hata swali lako limejengwa katika hoja za kusadikia,hata majibu ya wadau yatakiwa ya kusadikia pia na hata ukijitahidi miaka na miaka huta pata uthibitisho so kwa nini unajisumbua kwa mambo ya kusadikia??.
Wavaa vibaragashia utawajua tu. Wapo kwenye ule Uzi wa Russia na Ukraine na kwambia ni kumfagilia Putin si mchezo .
Kumbe wana reasons behind kwamba US na NATO wamewaua sana ndugu zao katka imaaan .