Makanisa ya Kikristo yamegawanyika sehemu mbili kuu
Ya kwanza ni yale yanayomfuata Yesu Maskini kwa sababu huamini Yesu alikuwa maskini na kuna yale yanayomfuata Yesu Tajiri sababu yanaamini Yesu alikuwa Tajiri na Tajiri yule alikuja kwa lengo moja kuwahubiria maskini habari njema.Habari nje kwa maskini ni kuondokana na umaskini si vinginevyo!!! Maskini ukimwambia Yesu alikuwa Maskini kwa hiyo amfuate maskini mwenzie hawezi kukubali kama kichwani akili zimo.Binafsi namfuata Yesu sababu ni Tajiri.Mimi mfuasi wa Tajiri Yesu
Luka 4:18
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru walioset