Hivi hizi missile enzi za Yesu si ilikuwa ndio mishaleBila andiko Yesu atakukatalia hata uje na Hypasonic Missiles umemuelekezea machoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hizi missile enzi za Yesu si ilikuwa ndio mishaleBila andiko Yesu atakukatalia hata uje na Hypasonic Missiles umemuelekezea machoni
Mkuu hii ya kawaida ila inawatoa wengi nje ya kasha.Hii thread iende Jamii Intelligence ndiko size yake huko. Umeongea vitu vigumu na vikubwa sana ambapo sisi watu wa kawaida inakuwa ngumu kukuelewa.
Maria Magdalena.Yesu alikuwa na Pesa nyingi sana kuliko watu wa dini wanavyotueleza.
Ushahidi.
1: Alikuwa na Muhasibu. MTU binafsi bila kampuni wala biashara kufikia hatua ya kushindwa kutunza kipato chako hadi Uwe na Muhasibu basi utakuwa na Pesa nyingi sana.
2: Aliwazuia mitume wasifanye biashara zao. Aliwakuta jamaa wakinapetro ni wakokozi na wavuvi nguli akawaambia waache alafu wamfuate.
Kulisha breakfast, lunch na dinner wanaume 12 wasio na Kazi miaka mitatu mfululizo inabidi Uwe na Pesa. Ushahidi Baada ya kufa Petro aliwashawishi warudi kwenye Biashara zao.
3: Hakuna kifungu Yesu kaishiwa Pesa au kashindwa kufanya muamala wowote kisha hana salio. Aliwahi kudaiwa kodi ya hekalu, akamtuma Petro akavue samaki aliyekuwa na Pesa tumboni.
4: Muhasibu wake alikuwa mwizi na mwenye uchu wa Pesa. Huku tunaona makampuni maduka Yenye wahasibu wezi huwa yanafirisika. Yuda hakuwahi kufirisi mkoba wa pesa za mwalimu wake Yesu.
Wakuu Yesu alikuwa yuko vzr kiuchumi.
Sasa najiuliza nini nilikuwa chanzo chake cha fedha ikiwa
Alikuwa hana biashara
Hakuwa na gawio LA sadaka masinagogini na hekaluni?
Je alikuwa anawafadhili?
Je alikuwa anakusanya Sadaka kwenye mihadhara yake?
Je Alikuwa anashushiwa kimiujiza.?
Ndio, lakini huo ndio ulikuwa mfumo wa maisha yake......Hapa nadhani ni pale alipotaka Punda kuingia Naye Yeriko Kifalme. Aliwaambia mumchukue mkimkuta mwenye Naye akiwauliza wamwambie Yesu anamtaka.
Hapa nadhani alimrudisha na hakuwa na haja ya kumiliki punda wakati kesho yake anaanza suluba.
Miaka zaidi ya 1000 kabla ya Yesu kuna mfalme mmoja wa Israel alibuni silaha za hatari sana. Japo vita vyao havikuwa vya masafa marefu ila enzi za Yesu Warumi walikuwa na silaha kalikali hapo sioadvanced kama hizi.Hivi hizi missile enzi za Yesu si ilikuwa ndio mishale
Hilo ni tukio moja tu, na alishtukizwa na ilikuwa agome Kutoa. Na inaonekana mlengwa alikuwa yeye na petro tu labda na Yuda myudea. Maana ile kodi walitoa waliozidi miaka 20. Wanafunzi wa Yesu wengi walikuwa mateens umasikini ambao wazazi wao hawakuwa na Pesa za kuwalipia kwenye Shule za kibishoo za wakina Shemmai.Sasa vyanzo vya mapato si samaki wenye pesa tumboni, unajijibu afu unauliza teena.
Nimeanzia kusoma chini kuja juu.Yesu hakuwa na pesa.
Kwanza pesa ya Nini?
Maana walikuwa wanatembea kwa miguu mwanzo mwisho.
Walikuwa wanakula kwa wafuasi ( kualikwa nyumbani kwa watu )
Ukitaka kujua hakuwa na pesa, Kuna siku Yesu alidaiwa Kodi akawa Hana na hata wanafunzi wake hawakuwa na kitu.
Akaamua kumtuma mwanafunzi wake aende mtoni akatupe ndoano, samaki was kwanza atakayetoa amcheck mdomoni atakuta sarafu. Hiyo sarafu ndio alilipa Kodi.
Hakuma sehemu inayoonesha kiwa Yesu alikuwa na wahasibu kwaajili ya kutembea na pesa
Ukumbuke Yuda walikuwa wawiliNimeanzia kusoma chini kuja juu.
Para ya chini inapotosha. Yuda iskariyote alikuwa mtunza fedha na alikuwa anabeba mkoba.
Angekuwa Yesu anaungunga bado angetembea na mkoba wa magombo ya Isaya.
Acha uongo ndugu yanguMiaka zaidi ya 1000 kabla ya Yesu kuna mfalme mmoja wa Israel alibuni silaha za hatari sana. Japo vita vyao havikuwa vya masafa marefu ila enzi za Yesu Warumi walikuwa na silaha kalikali hapo sioadvanced kama hizi.
Kuna Bomu flani ambalo linategeswa kwenye projectile flank likrushwa linatua na kuteketeza kabisa hilo eneo. Warumi walikuwa na hizo tech.
Pale enzi za Yesu walikuwa wanachungwa na Mikuki na Majambia sanasana. Hadi vita ndio mrumi alishusha vitu heavy.
Uongo au hujui. HahahaAcha uongo ndugu yangu
Nafuatilia story kwa umakini napata mambo mengi ambayo nilikua siyajui
Fuatilia Mkuu.Nafuatilia story kwa umakini napata mambo mengi ambayo nilikua siyajui
This was emergency.Matthew 17:24-27
The Temple Tax
After Jesus and his disciples arrived in Capernaum, the collectors of the two-drachma temple tax came to Peter and asked, “Doesn’t your teacher pay the temple tax?”
“Yes, he does,” he replied.
When Peter came into the house, Jesus was the first to speak. “What do you think, Simon?” he asked. “From whom do the kings of the earth collect duty and taxes—from their own children or from others?”
“From others,” Peter answered.
“Then the children are exempt,” Jesus said to him. “But so that we may not cause offense, go to the lake and throw out your line. Take the first fish you catch; open its mouth and you will find a four-drachma coin. Take it and give it to them for my tax and yours.”
ukicopy lifestyle ya Yesu huuko usukumani utaitwa mwizi au chuma ulete
Any organization.(taasisi) lazima iwe na utaratibu. Hivyo Yesu alikuwa complete ndiyo maana aliandaa na viongozi baada yake . Petro juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, Yuda ambaye ni mhasibu and etc. Kikundi kilikuwa kamili kanisa.Mkuu ubarikiwe sana.
Hili nilikuwa sijui.
Kumbe wazee wa upako wako sahihi kuchukua misaada yetu ya sadaka hadi wananunua maJet.
Ila walikuwa wanampe Pesa nyingi sana hadi kutembea na mtunza Pesa???
Alilishwa na watu na alilala popote alipokaribishwa.Kuna uwezekano wapo waliokuwa wanafinance huduma yake kwa kuguswa kwa mambo aliyokua akiyafanya.