Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
''Kamati kama hiyo iliundwa vilevile Tabora mwaka wa 1956, na Mzee Fundi Muhindi mwanasiasa mkongwe, muasisi wa African Association Tabora mwaka wa 1945 na muasisi wa TANU mwaka wa 1954 Jimbo la Magharibi alichaguliwa mwenyekiti wake wa kwanza.
mjumbe wake mwenyewe kwenda Baraza la Udhamini la Umoja wa Mataifa kudai uhuru wa Tanganyika.''

May Day,Hakuna chama kilichoasisiwa 1954.
May Day,
Tunaweza tukaacha hilo la kuasisi TANU 1954 tukaja kwa wanachama wa mwanzo wa TANU.
Abdul Sykes kadi ya TANU No. 3 na mdogo wake no. 2, Julius Nyerere no 1.
Hujiulizi kwa nini iwe hivi?
Kwa wasomaji wako ni kweli, kwa watu wenye akili na wanaojua kusoma maandishi kitabu chako kina lengo moja kumdunisha Nyerere. Ndiyo yale yale ya kumpokea Nyerere aliyekuja Dar es Salaam kuanzia 1948 na kuishi katika nyakati tofauti"Mohamed Said, post: 36230969, member: 12431"]
Mimi ningethubutu kumdunisha Mwalimu katika kitabu changu basi ningekiua hiki kitabu.
Hapana wala si la ajabu, nani asiyeijua Familia ya Sykes na umaarufu wake?Hamjui kabisa ile "life style," waliokuwanayo wazee wetu na ndiyo maana kwa Daisy kueleza kuwa alikuwa kila Mwalimu akija kwao yeye kazi yake ilikuwa kumtayarishia chai na mayai mnahisi haikustahili.
Kwa wasomaji wako ni kweli, kwa watu wenye akili na wanaojua kusoma maandishi kitabu chako kina lengo moja kumdunisha Nyerere. Ndiyo yale yale ya kumpokea Nyerere aliyekuja Dar es Salaam kuanzia 1948 na kuishi katika nyakati tofauti Hapana wala si la ajabu, nani asiyeijua Familia ya Sykes na umaarufu wake?
Hawa walimiliki majumba na biashara kubwa vipi yao liwe tatizo kwao! Hoja ni kuwa kutajwa kwa Nyerere kula mayai ni sehemu ya kuonyesha huyu mtu alikuwa dhalili kiasi gani. Sijui kama Abdul angefurahi kusikia fadhila zake zinawekewa mawaa . Mengi alimfanyia Nyerere kwa bahati mbaya sasa yanatumika kinyume na kusudio.
Leo kupitia MS wajukuu wa Nyerere wanajua babu yao kalishwa mayai na Familia ya Sykes
Hili si geni kwao, kwani kupitia Mohamed Said, Familia ya Mwl ilijua pia Nyerere alikuwa anakwenda sokoni bila pesa na Mshume Kiyate ndiye aliyeokoa siku.
Sasa tuache hayo ya mayai na senti za kunua ng'onda .
Turudi kwenye mada kwasababu unapenda kuyaendekeza ili kuondoka katika mada halisi.
Swali ni moja kuanzia 1929-1953 tuonyeshe kipande cha karatasi cha kurasa moja tu kilichoandikwa na Kleist au Abdul kikajulikana kama muongozo au katiba ya chama.
NKwa wasomaji wako ni kweli, kwa watu wenye akili na wanaojua kusoma maandishi kitabu chako kina lengo moja kumdunisha Nyerere. Ndiyo yale yale ya kumpokea Nyerere aliyekuja Dar es Salaam kuanzia 1948 na kuishi katika nyakati tofauti Hapana wala si la ajabu, nani asiyeijua Familia ya Sykes na umaarufu wake?
Hawa walimiliki majumba na biashara kubwa vipi yao liwe tatizo kwao! Hoja ni kuwa kutajwa kwa Nyerere kula mayai ni sehemu ya kuonyesha huyu mtu alikuwa dhalili kiasi gani. Sijui kama Abdul angefurahi kusikia fadhila zake zinawekewa mawaa . Mengi alimfanyia Nyerere kwa bahati mbaya sasa yanatumika kinyume na kusudio.
Leo kupitia MS wajukuu wa Nyerere wanajua babu yao kalishwa mayai na Familia ya Sykes
Hili si geni kwao, kwani kupitia Mohamed Said, Familia ya Mwl ilijua pia Nyerere alikuwa anakwenda sokoni bila pesa na Mshume Kiyate ndiye aliyeokoa siku.
Sasa tuache hayo ya mayai na senti za kunua ng'onda .
Turudi kwenye mada kwasababu unapenda kuyaendekeza ili kuondoka katika mada halisi.
Swali ni moja kuanzia 1929-1953 tuonyeshe kipande cha karatasi cha kurasa moja tu kilichoandikwa na Kleist au Abdul kikajulikana kama muongozo au katiba ya chama.
Nguruvi 3,Kwa wasomaji wako ni kweli, kwa watu wenye akili na wanaojua kusoma maandishi kitabu chako kina lengo moja kumdunisha Nyerere. Ndiyo yale yale ya kumpokea Nyerere aliyekuja Dar es Salaam kuanzia 1948 na kuishi katika nyakati tofauti Hapana wala si la ajabu, nani asiyeijua Familia ya Sykes na umaarufu wake?
Hawa walimiliki majumba na biashara kubwa vipi yao liwe tatizo kwao! Hoja ni kuwa kutajwa kwa Nyerere kula mayai ni sehemu ya kuonyesha huyu mtu alikuwa dhalili kiasi gani. Sijui kama Abdul angefurahi kusikia fadhila zake zinawekewa mawaa . Mengi alimfanyia Nyerere kwa bahati mbaya sasa yanatumika kinyume na kusudio.
Leo kupitia MS wajukuu wa Nyerere wanajua babu yao kalishwa mayai na Familia ya Sykes
Hili si geni kwao, kwani kupitia Mohamed Said, Familia ya Mwl ilijua pia Nyerere alikuwa anakwenda sokoni bila pesa na Mshume Kiyate ndiye aliyeokoa siku.
Bahatiasa tuache hayo ya mayai na senti za kunua ng'onda .
Turudi kwenye mada kwasababu unapenda kuyaendekeza ili kuondoka katika mada halisi.
Swali ni moja kuanzia 1929-1953 tuonyeshe kipande cha karatasi cha kurasa moja tu kilichoandikwa na Kleist au Abdul kikajulikana kama muongozo au katiba ya chama.
[/QUOTE]Mkuu nadhani humjui vizuri Mzee Mohamed Said wenzio washakimbia kitambo.
Na kushauri humuwezi, huyo 'Mume' ni mkubwa kwako.
Katafute kwanza kitabu chake usome kisha uje.
Hakuna chama kilichoasisiwa 1954.
Wee MZEE, leta katiba hapa wacha kuleta ushambenga wa Abdul SykesN
Nguruvi 3,
Bahati mbaya sana kuwa historia ya Abdul Sykes inapandisha ghadhabu za watu maaalum wakati wengine wananipongeza kwa historia hiyo hiyo.
Historia hii sasa wewe unajaribu kuibadili iwe kuwa imeandikwa kumtusi Nyerere.
Bahati mbaya sana kuwa umeathirika sana na suala la katiba na kunitaka nikupe kipande cha karatasi.
Zipo nyaraka muhimu sana kuliko hiyo katiba ambayo unanidai mimi.
Unanikumbusha deni la Shylock na pande lake la nyama katika ''The Merchant of Venice.''
Kuna nyaraka muhimu sana katika makaratasi ya Sykes ambayo mimi nimezisoma zote mwanzo wa jalada hadi mwisho wake.
Iko hii ripoti ya Abdul Sykes: ''Annual Report of the Secretary of Tanganyika African Association, 7 January, 1951,'' ambako ndani yake ameeleza mambo makubwa sana ila alificha kwa sababu za wazi, mkutano wake na Jomo Kenyatta na akina Peter Mbiu Koinange aliofanya Nairobi mwaka wa 1950.
Wakati huu Abdul alikuwa na miaka 26.
Kuna mapendekezo ya katiba ya Tanganyika iliyowasilishwa kwa Gavana Edward Twining mwaka wa 1950.
Mapendekezo haya yalisainiwa na Dr. Vedasto Kyaruzi, Abdulwahid Sykes, Hamza Mwapachu, Steven Mhando, Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Said Chaurembo na John Rupia.
Haya yaliyomo humo yalijadiliwa pia katika mkutano wa kuasisi TANU nwaka wa 1954.
Bahati mbaya wewe ndugu yangu umeshikilia mnofu wako wa nyama kama Shylock.
Hizi nyaraka muhimu sana lakini sikulaumu kwa kushikilia katiba ya African Association ya mwaka wa 1929 kwani hizi nyaraka nilizokutajia hapo juu wewe hujazisikia zikitajwa hata siku moja katika historia ya TANU kwa hiyo huzijui.
Siwezi kukulaumu kwa kukosa kujua.
Miaka mingi imepita zaidi ya 30 nilipokuwa natafiti maisha ya Abdul Sykes na siku zile bado hizi computer.
Hizi nyaraka ninazo Maktaba na ningependa sana kuziweka hadharani kwani inaelekea mko nyinyi ambao rejea (citation) katika ''footnote,'' hamziamini lakini kuzipata katika haya mafaili yangu ni kazi kubwa sana.
Nguruvi wakati mwingine huwa unanipa raha sana ndiyo maana siachi kukujibu kwani unaniuliza maswali ya maana sana.
Kuna mtu hapa nadhani umeona kuwa simjibu kwa kuwa yeye ananitukana.
Sijui kama kuna waliopata ghadhabu, mimi si mmoja wao"Mohamed Said, post: 36241603, member: 12431"]
Nguruvi 3,
Bahati mbaya sana kuwa historia ya Abdul Sykes inapandisha ghadhabu za watu maaalum wakati wengine wananipongeza kwa historia hiyo hiyo.
Hapana, kama Mayai Mwl kala, kama pesa za Mshume Mwl kachukua n.k. Ninachotaka kusema hapa ni kuwa hao waliotoa walifanya hivi kwa mkono wa shoto na wala hawakuta wa kuume uone, leo kilichofanywa kwa nia njema kimeeuka kuwa tenzi na tungo na kila anayetaka kuandika. Huyu Nyerere hana jema? Yeye ni kubugia mayai tu!Historia hii sasa wewe unajaribu kuibadili iwe kuwa imeandikwa kumtusi Nyerere.
Sijaathirika, bali nasimama na mada na hapa ndipo kiini cha mjadala wa katiba ya TANU ulipo.Bahati mbaya sana kuwa umeathirika sana na suala la katiba na kunitaka nikupe kipande cha karatasi.
Zipo nyaraka muhimu sana kuliko hiyo katiba ambayo unanidai mimi.
Nguruvi,Sijui kama kuna waliopata ghadhabu, mimi si mmoja wao
Hata hivyo nikiri kuwa napata ghadhabu kutokana na upotoshaji na uongo ambao katika mazingira ya kawaida si rahisi mtu kuusema na kubaki anaitazama hadhra isipokuwa tu kwa lengo maalumu na kwa hadhra maalumu.
Hapana, kama Mayai Mwl kala, kama pesa za Mshume Mwl kachukua n.k. Ninachotaka kusema hapa ni kuwa hao waliotoa walifanya hivi kwa mkono wa shoto na wala hawakuta wa kuume uone, leo kilichofanywa kwa nia njema kimeeuka kuwa tenzi na tungo na kila anayetaka kuandika. Huyu Nyerere hana jema? Yeye ni kubugia mayai tu!
Sijaathirika, bali nasimama na mada na hapa ndipo kiini cha mjadala wa katiba ya TANU ulipo.
Mohamed tofautisha kati ya nyaraka na katiba.
Katiba ni nyaraka na nyaraka si lazima ziwe katiba.Maongezi katika maandishi ni nyaraka
Mjadala wetu ni je, Nyerere ndiye aliyeandika katiba ya TANU baada ya miaka 24 (1929-1953) ya Tawala za Sykes zilizoendesha siasa kama suala la familia?
Ili tuweze kujua kama kuna ukweli au la lazima tuanze na katiba
Hoja yangu ni kuwa Nyerere alibadili mwelekeo wa chama kwa kutumia usomi wake. Alijua chama hakiendeshwi kienyeji kama familia ya Sykes ilivyofanya. Ndipo akaandika muongozo unaojulikana kama katiba ya TANU
Kabla ya hapo hakukuwepo katiba yoyote ya AA ya Kleist au TAA ya Abdul Sykes
Unaweza kuni prove wrong ikiwa na endapo tu utaonyesha nusu ukurasa wa kitu kilichojulikana kama Katiba
Kama huna basi tumalize mjadala wa Katiba kwa kusema '' Katiba ya TANU liandikwa na Nyerere''
May Day,Tofautisha kukimbia na kupuuza 'Mwenzangu'.
Mtu ambaye hajibu hoja za msingi na kuishia kurudiarudia yale yale hakika inachosha.
Sasa kwa kuwa wewe ni 'mke' mkubwa kwa nini usimshauri Mzee arekebishe hoja potoshi badala ya kukaa tu pembeni na kushangilia "mpashe huyo".
Hayo mengine yote ni nyongeza za historia ila hoja kuu hapa ni HAKUNA CHAMA KILICHOANZISHWA 1954 na MWALIMU HAKUPOKELEWA NA ABDUL DAR ES SALAAM.
Mimi nimemjibu huyo aliyeanza hapo juu anayejiita dosantos, #184...nadhani ungemuonya mapema aondoe hilo andiko lake.[/QUOTE]May Day,May Day,
Hakika historia ya Abdul Sykes inaghadhibisha wengi.
Ikiwa sasa tunaingi kwenye matusi bora tusimamishe mjadala.
Kitabu kinasomwa sasa mwaka wa 22 kuna haja gani ya sie kutukanana?
OK turudi nyuma, nimeeleza kuwa kama walinikili au la hiyo siyo hoja kwasasa. Nilisema ''the end justifies the means'' sasa nani alinakili hiyo katiba? Ilikuwa wakati wa uongozi wa nani?Nguruvi,
Katiba ya TANU walinakili kwa CPP ya Nkrumah.
Ikiwa unataka kuamini kuwa iliandikwa na Nyerere sawa hapana neno.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nguruvi,OK turudi nyuma, nimeeleza kuwa kama walinikili au la hiyo siyo hoja kwasasa. Nilisema ''the end justifies the means'' sasa nani alinakili hiyo katiba? Ilikuwa wakati wa uongozi wa nani?
Pili, je, tunakipande au hata nusu ukurasa wa Katiba iliyoandikwa na Kleist Sykes au Abdul Kleist Sykes katika miaka 24 ya utawala wa siasa za AA na TAA
Mohamed hapo kuna hoja mbili, tuzitazame hizo halafu tutaendelea
OK kwahiyo uandishi wa katiba ya TANU ni zao la urafiki wa Seaton na Sykes.Nguruvi,
Nimekueleza kuna mtu mmoja anaitwa Earle Seaton rafiki ya Abdul Sykes.
Kijana mwanasheria kutoka Bermuda.
Abdul alimtia katika TAA Political Subcommitee mwaka wa 1950.
Seaton haonekani lakini alikuwa msaada mkubwa kwa TAA.
Nguruvi...OK kwahiyo uandishi wa katiba ya TANU ni zao la urafiki wa Seaton na Sykes.
Unachotaka kusema hapa ni kuwa wazo la Katiba ya TANU ni la Abdul Sykes, Seaton ni mtekelezaji.
Tukukumbushe kuwa urafiki hautengenezi katiba na katiba si maongezi ni muongozo wenye ''kanuni''
Lakini basi kama Abdul alikuwa na ushirika na Seaton wa kuandika katiba, thibitisha kwa nyaraka
Tunakuja katika sehemu nyingine, katiba ya TANU ilipatikana chini ya uongozi wa nani?
Halafu, ni nani mtu wa kwanza kutangaza katiba ya chama cha siasa Tanganyika?
Halafu turudi nyuma, kabla ya mwaka 1954 TANU ilipotangazwa rasmi, katika kipindi cha 1929 wakati Kleist akiwa katibu wa AA hadi Mwanae Abdul anachukua uongozi na kushindwa na Nyerere mwaka 1953 kuna nyaraka gani, au kipande gani cha karatasi kilichonukuliwa au kuandikwa kama katiba ya AA na TAA
Mohamed hapa kuna hoja mbili. Hoja ya Seaton kunukuu katiba na ilikuwaje akiwa chini ya Sub Comm katiba hiyo haikuwahi kufanyiwa kazi hadi alipoingia Nyerere?
Hoja ya pili ni hii, wapi kipande cha karatasi kilichojulikana kama katiba kutoka kwa ima Kleist au Abdul?
Tusiwachanganye wasomaji, hatuhitaji political sub comm. na mengine yasiyohusiana . Tumalize hili la katiba kwanza.