Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Ni muhimu usemwe katika uchungu wake"Mag3, post: 36298808, member: 10873"]Na huo ndio ukweli mchungu kuwa...
Hakuna ! Abdul Sykes anayeelezwa na Mohamed hajawahi kuchaguliwa popote pale. Abdul alishika Ofisi kwa kuongoza genge la Wahuni wa mjini kwenda kuwabambua wazee wake kwa makofi na waliokaidi mateke!Hakuna ushahidi wowote kwamba Abdulwahid Sykes aliwahi kuchaguliwa kuiongoza TANU tangu kuasisiwa kwake hadi uhuru unapatikana.
Mohamed ameleta makabrasha ya special branch, secret service hakuna mahali Abdul alisimama nje ya Tandamti kuhutubia mkutano. Kama alisafiri hilo linawezekana kwenda kwa marafiki zake. Na huyu alikuwa kijana. Kusafiri si mkutano na hapa Mo hawezi kutofautisha , sijui kwanini inamtitatiza! huwezi kusafiri ukadai umefanya mkutanoHakuna ushahidi wowote kwamba Abdulwahid Sykes, aliwahi kusimama jukwaani akiinadi TANU tangu kuasisiwa kwake hadi uhuru unapopatikana.
Hakuna ! TANU iliongozwa na katiba baada ya Nyerere. Baada ya kushindwa uchaguzi wa Arnatoglu, that was ''the beginning of the end''Hakuna ushahidi Abdulwahid Sykes aliwahi kuwa kiongozi wa juu wa TANU katika ngazi ya taifa, Jimbo, Wilaya hadi Kata (pamoja na mtaa wa Gerezani)Ila ziko kumbukumbu ya Abdulwahid Sykes katika mambo matatu...
Inapotoshwa eti alimwachia Nyerere, ikiwa ni hivyo kwanini aliweka jina lake katika ballot box.Kama mtoto wa mjini kuwania uongozi wa TANU mwaka 1953 akipimana nguvu na wakuja na kugalagazwa vibaya na Mwl. Nyerere.
Mohamed kasema, Wazaramo na wenyeji wa Dar es Salaam waliwaita Wakuja na hawakuwataka, walisusia maulid yao.Kumlisha mpwa wake hizi porojo za kuwataka Watanganyika kuwaenzi hawa walowezi kwamba ndio waliopigania uhuru wa taifa lao.
Anajua hilo! anaurudia mara nyingi na wengi wanaanza kuona kama ni kweli.anafanya hivyo akiamini kuwa uongo ukirudiwarudiwa siku nenda rudi kuna siku (over our dead bodies) unaweza kugeuka ukawa ukweli na miongoni mwa wazee wake wazawa wa iliyokuwa Tangayika ni wachache sana.
Hili ndilo limeturudisha katika mjadala, kukemea uongo