Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

"Mag3, post: 36298808, member: 10873"]Na huo ndio ukweli mchungu kuwa...
Ni muhimu usemwe katika uchungu wake
Hakuna ushahidi wowote kwamba Abdulwahid Sykes aliwahi kuchaguliwa kuiongoza TANU tangu kuasisiwa kwake hadi uhuru unapatikana.
Hakuna ! Abdul Sykes anayeelezwa na Mohamed hajawahi kuchaguliwa popote pale. Abdul alishika Ofisi kwa kuongoza genge la Wahuni wa mjini kwenda kuwabambua wazee wake kwa makofi na waliokaidi mateke!
Hakuna ushahidi wowote kwamba Abdulwahid Sykes, aliwahi kusimama jukwaani akiinadi TANU tangu kuasisiwa kwake hadi uhuru unapopatikana.
Mohamed ameleta makabrasha ya special branch, secret service hakuna mahali Abdul alisimama nje ya Tandamti kuhutubia mkutano. Kama alisafiri hilo linawezekana kwenda kwa marafiki zake. Na huyu alikuwa kijana. Kusafiri si mkutano na hapa Mo hawezi kutofautisha , sijui kwanini inamtitatiza! huwezi kusafiri ukadai umefanya mkutano
Hakuna ushahidi Abdulwahid Sykes aliwahi kuwa kiongozi wa juu wa TANU katika ngazi ya taifa, Jimbo, Wilaya hadi Kata (pamoja na mtaa wa Gerezani)Ila ziko kumbukumbu ya Abdulwahid Sykes katika mambo matatu...
Hakuna ! TANU iliongozwa na katiba baada ya Nyerere. Baada ya kushindwa uchaguzi wa Arnatoglu, that was ''the beginning of the end''
Kama mtoto wa mjini kuwania uongozi wa TANU mwaka 1953 akipimana nguvu na wakuja na kugalagazwa vibaya na Mwl. Nyerere.
Inapotoshwa eti alimwachia Nyerere, ikiwa ni hivyo kwanini aliweka jina lake katika ballot box.
Kumlisha mpwa wake hizi porojo za kuwataka Watanganyika kuwaenzi hawa walowezi kwamba ndio waliopigania uhuru wa taifa lao.
Mohamed kasema, Wazaramo na wenyeji wa Dar es Salaam waliwaita Wakuja na hawakuwataka, walisusia maulid yao.
anafanya hivyo akiamini kuwa uongo ukirudiwarudiwa siku nenda rudi kuna siku (over our dead bodies) unaweza kugeuka ukawa ukweli na miongoni mwa wazee wake wazawa wa iliyokuwa Tangayika ni wachache sana.
Anajua hilo! anaurudia mara nyingi na wengi wanaanza kuona kama ni kweli.
Hili ndilo limeturudisha katika mjadala, kukemea uongo
 
Ni muhimu usemwe katika uchungu wake Hakuna ! Abdul Sykes anayeelezwa na Mohamed hajawahi kuchaguliwa popote pale. Abdul alishika Ofisi kwa kuongoza genge la Wahuni wa mjini kwenda kuwabambua wazee wake kwa makofi na waliokaidi mateke! Mohamed ameleta makabrasha ya special branch, secret service hakuna mahali Abdul alisimama nje ya Tandamti kuhutubia mkutano. Sasa kama alisafiri hilo linawezekana kwenda kwa marafiki zake. Na huyu alikuwa kijana. Kusafiri si mkutano na hapa Mo hawezi kutofautisha , sijui kwanini inamtitatiza! huwezi kusafiri ukadai umefanya mkutano Hakuna ! TANU iliongozwa na katiba baada ya Nyerere. Baada ya kushindwa uchaguzi wa Arnatoglu, that was ''the beginning of the end''Inapotoshwa eti alimwachia Nyerere, ikiwa ni hivyo kwanini aliweka jina lake katika ballot box. Mohamedkasema, hata Wazaramo na wenyeji wa Dar es Salaam waliwaita Wakuja na hawakuwataka hata kususia maulid yao.Anajua hilo! anaurudia mara nyingi na wengi wanaanza kuona kama ni kweli. Hili ndilo limeturudisha katika mjadala, kukemea uongo
Nguruvi...
Nasoma kejeli unazoandika "mikutano ya Mtaa wa Tandamti," "genge la wahuni,"nk.
Hizi ni dalili ya mtu aliyeghadhibika.

Baada ya TAA kuwa chini ya Nyerere 1953 kama Territorial Presideny chama kilidorora.

Sababu kubwa ni kuwa ule msukumo uliokuwapo wakati Abdul yuko kitini haukuweza kupatikana kutoka kwa Mwalimu.

Wajumbe wakawa hawahudhurii vikao.

Ndugu zanguni nyie mko mbali na hawa wazee mimi hawa baba zangu nimekulia ndani ya maisha yao hivyo nawajua walikuwa watu wa namna gani.

Sasa ndiyo utaona baada ya TANU kuundwa1954 Abdul hakuwa na cheo ndani ya TANU lakini jiulize kwa nini vikao vikifanyika nyumbani kwa Mama Daisy?

Kwa nini visifanyike ofisi ya TANU New Street?
Jiulize.

Abdul alibakia kuwa mmoja wa wafadhili wakubwa wa chama.

Iko siku nitakuandikieni makala ya sanduku la fedha la Bwana Abdul kama mkewe Mama Daisy alivyokuwa akipenda kuliita.

Tufanye tu mjadala wa kiungwana.

Mimi sina haja ya kufanya mabishano kati ya makabrasha na nyaraka binafsi wala na uzito wa taarifa za Special Branch.

Kila niliyemwonyesha hizi kashtuka ila wewe.
Zinakuchoma moyo.

Haukujua kama zipo.
Nakuomba utambue kuwa huyo unaemkejeli mimi ni baba yangu.

Soma hii:

#1:

TAHARUKI YA BI. MUGAYA NYANG'OMBE NA WANA TANU: NANI KAMLISHA NYERERE SUMU KUMUUA?

Ningependa kuchangia moja katika niyajuayo ya Bi. Nyang'ombe mama yake Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Mkasa huu amenihadithia Mama Daisy mke wa Abdul Sykes ambao ulitokea katika miaka ya mwanzo ya TANU baada ya Mwalimu Nyerere kurejea kutoka UNO mwaka wa 1955.

Ilikuwa kawaida ya TANU ikiwa wana jambo muhimu na kubwa wanataka kujadili kufanya kikao nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukukuu.

Pamoja na kuwa watakuwa na kikao walikuwa na kawaida ya kuwa katika nyumba ile na watu wao wa karibu.

Bi. Mruguru bint Mussa mama yake Abdul atakuwapo, Bi. Nyang'ombe mama yake Nyerere pia atakuwapo halikadhalika Mama Maria Nyerere atakuwapo hapo.

Inawezekana hawa walijumuishwa katika mkusanyiko ule wa viongozi wa TANU kama kichaka cha kuficha yale yaliyokuwa yakijadiliwa ili ionekane kuwa hapakuwa na kitu pale nyumbani kwa Abdul ila ni ndugu kutembeleana.

Ingia katika link hiyo hapo chini usikilize taharuki iliyokumba moja ya kikao kama hiki siku Mwalimu Nyerere alipougua ghafla baada ya chakula cha mchana na ikadhaniwa amelishwa sumu na maadui wa TANU.

Tunamkumbuka Mwalimu Julius and we. Je, tunamfahamu mama yake mzazi?
 
"Mag3, post: 36298808, member: 10873"]
Mohamed Said hataki katakata kumpa heshima stahiki mwanzilishi, kiongozi na Rais muasisi wa AA mwaka 1929, msomi Mwl Cecil Matola, Mtanganyika, Mkristo na Myao moja ya makabila mahiri ya kusini mwa Tanzania.
Ukimzunguzia Matola una 'adulterate'' nguvu ya Kleist. Lengo ni kuikuza Familia
Hamtaji kabisa, msaidizi wa Rais wa AA aliyepokea kijiti baada kifo cha ghafla cha Mwl Cecil Mtola na huyo si mwingine bali ni Ramadhani Ali , Mfanyabiashara, Muislaam na Mtanganyika kutoka kabila la Wazaramo.
Kwasababu alikuwa Mzaramo! Kumtaja Mzaramo kati kati ya Wazulu ni kama 'uhalifu''
Chuki hiyo ilikuwepo na iliendelea, mwaka 1960 Mohamed anasema Wazaramo na wenyeji wa Mzizima walisusia maulid ya Wazulu na Shemeji zao Wamanyema. Kutomtaja Ramadhani Ali ni chuki ya Wazulu dhidi ya Wazawa.
anadai muasisi wa AA alikuwa baba yake Abdulwahid Sykes, Kleist Sykes askari wa Wakoloni kutoka Afrika Kusini wa kabila ya Wazulu.
Bila kuanzia hapo Abdul Sykes hana nguzo ya kusimama. Lakini pia historia lazima ianze na Kleist ili kuficha unyama uliofanywa na Wazulu kwa Wazawa na Waislam kama Mkwawa na Abushiri
anatutaka tumpe hashima zote mjomba na mtoto wa Kleist Sykes, Abdulwahid Sykes, Mzulu na askari wa KAR kama muasisi wa TAA, kisa? Kuwatimua wazee wake ofisini kwa ngumi na mateke.
Nyerere alikuwa smart, alifahamu bila muongozo wahuni wanaweza kurudi ofisini kwake kama 1948 na hivyo akaandika katiba. Nyerere alijua bila muongozo organization inakuwa 'family business''. Nyerere akajua Uhuru si Wazulu lazima waende mikoani. Huko mikoani wakamtambua, Mohamed anaeleza Sheikh Chambera kumwalika Lindi. Hawa mashehe hayakuwahi kumwalika Abdul. Ndiyo maana nimeuliza sana kuhusu katiba na kadi ili watu waone kuwa hii ilikuwa 'family business'' haikuwa na muongozo hadi Julius alipoacha kazi na kuisimamia
Hataki kumpa heshima stahiki Mtanganyika na msomi Dr. Julius Nyerere, Rais muasisi wa TANU na Baba wa Taifa aliyetuunganisha Watanganyika kwa umoja na mshikamano hadi tukapata uhuru mwaka 1961.
Ukimtaja Nyerere , Abdul anakuwa mahali pagumu kidogo. Miaka 24 ya Sykes Dynasty hakuna katiba hakuna muongozo. Kazi kubwa anayofanya ni kumdhalilisha Nyerere, mara kaenda sokoni bila senti, mara alikuwa anakula mayai na mambo mengi tu yenye indhara na karha ambayo sidhani kama akina Abdul wangefurahi kuyasikia.
 
Ukimzunguzia Matola una 'adulterate'' nguvu ya Kleist. Lengo ni kuikuza Familia

Kwasababu alikuwa Mzaramo! Kumtaja Mzaramo kati kati ya Wazulu ni kama 'uhalifu''
Chuki hiyo ilikuwepo na iliendelea, mwaka 1960 Mohamed anasema Wazaramo na wenyeji wa Mzizima walisusia maulid ya Wazulu na Shemeji zao Wamanyema. Kutomtaja Ramadhani Ali ni chuki ya Wazulu dhidi ya Wazawa.
Bila kuanzia hapo Abdul Sykes hana nguzo ya kusimama. Lakini pia historia lazima ianze na Kleist ili kuficha unyama uliofanywa na Wazulu kwa Wazawa na Waislam kama Mkwawa na Abushiri
Nyerere alikuwa smart, alifahamu bila muongozo wahuni wanaweza kurudi ofisini kwake kama 1948 na hivyo akaandika katiba. Nyerere alijua bila muongozo organization inakuwa 'family business''. Nyerere akajua Uhuru si Wazulu lazima waende mikoani. Huko mikoani wakamtambua, Mohamed anaeleza Sheikh Chambera kumwalika Lindi. Hawa mashehe hayakuwahi kumwalika Abdul. Ndiyo maana nimeuliza sana kuhusu katiba na kadi ili watu waone kuwa hii ilikuwa 'family business'' haikuwa na muongozo hadi Julius alipoacha kazi na kuisimamiaUkimtaja Nyerere , Abdul anakuwa mahali pagumu kidogo. Miaka 24 ya Sykes Dynasty hakuna katiba hakuna muongozo. Kazi kubwa anayofanya ni kumdhalilisha Nyerere, mara kaenda sokoni bila senti, mara alikuwa anakula myai na mambo mengi tu yenye indhara na karha ambayo sidhani kama akina Abdul wangefurahi kuyasikia.
Nguruvi...
Lakini hao wazalendo wote unaowataja umewajua baada ya mimi kuwaandika katika kitabu cha Abdul Sykes.

Nazungumza dak. ya 40.

Mmoja wa mikutano nyumbani kwa Abdul Sykes 1955.
 
Nguruvi...
Lakini hao wazalendo wote unaowataja umewajua baada ya mimi kuwaandika katika kitabu cha Abdul Sykes.
Na ninatumia maandishi yako makusudi kuonyesha 'discrepancy'' .

Najua nje ya hapo hutakubali kama ni jambo la kweli. Ninatumia kitabu chako kukichambua na kuoyesha matundu.

Hii ni moja ya kazi za watu wenye weledi, wanachukua maandishi yako na kukuonyesha uchechefu.
Ni kwasababu nina weledi, simezi tu nzima nzima au vijana wanasema mazima.

Kumbuka mjadala ni maandishi yako na siwezi kuwa na Kleist mwingine, ni yule yule Mzulu ambaye wazazi wake walikuja kama mamluki na kufanya unyama kwa wazawa na Waislam.

Mohamed, Sheikh Chambera unayesema alimwalika Julius Nyerere si Kleist wala Abdul katika miaka 24 ya tawala
Hakuna lugha nyingine utakayoelewa isipokuwa lugha yako na ndiyo ninajaribu kuizungumza

Sasa unataka nitengeneze wazulu wengine na Wajerumani wengine!
 
Nazungumza dak. ya 40.

Mmoja wa mikutano nyumbani kwa Abdul Sykes 1955.
Ni kweli, si kila mara tunasema mikutano ya Tandamti, Kipata na kidongo chekundu!
Tuonyeshe mkutano wa Abdul nje ya Kariakoo au mikoani.
 
Hii ndiyo faida ya kunyanyua kalamu ukaandika kitabu.

Uzuri wa kitabu cha Abdul Sykes ni kuwa baada ya miaka 22 bado kinapandisha mori.
Ndiyo maana tunakwenda toleo la 4.

Unanisaidia sana kuwafikia na kugusa hisia za wale ambao hawakuwa wanajua kuwa kuna kitabu cha historia ya TANU.

Nashangaa sana hapa JF hakizungumzwi kitabu cha Mkapa wala Nyerere kinazungumzwa kitabu cha Abdul Sykes kilichochapwa mwaka wa 1998.

1642311500967.png
 
Nashangaa sana hapa JF hakizungumzwi kitabu cha Mkapa wala Nyerere kinazungumzwa kitabu cha Abdul Sykes kilichochapwa mwaka wa 1998.
Kwasababu hiki cha Kizulu kinapotosha umma
Watu waje kuwanyanyasa wazawa hasa Waislam halafu wavikwe joho la ushujaa
Wazaramo waliliona hili mapema sana!

Hivi ilikuwaje baada ya kifo cha Mwl C. Matola, Mwenyekiti hakuwa Kleist bali Ramadhani Ali?
 
Ni kweli, si kila mara tunasema mikutano ya Tandamti, Kipata na kidongo chekundu!
Tuonyeshe mkutano wa Abdul nje ya Kariakoo au mikoani.
Mkuu Nguruvi3, unajua mtu akiwa muongo kama alivyo Mohamed Said ni heri ajue na kutunza kumbukumbu. Mtu anayefuatilia hizi porojo za barazani alizosimuliwa na mjomba wake akiwa mtoto atagundua mara moja kuwa tangu aanze kupata upinzani imebidi afanye marekebisho mengi tu lakini uongo wake bado uko pale pale.

Kwa kuwa sote tunajua heka heka alizopitia kiongozi wa TAA Dr. Vedasto Kyaruzi hadi kuhamishiwa mikoani na Wakoloni na pia tunajua heka heka alizopitia Mwl. Julis Nyeyere na baadhi ya viongozi wa TANU mikononi mwa Wakoloni, atupe mifano michachae tu ya heka heka alizopata huyo mjomba wake mikononi mwa Wakoloni.

Hawa walowezi walitakiwa watuombe radhi kwa madhila waliyotufanyia Watanganyika wakishirikiana na wakoloni. Halafu bila aibu anatokea mmbea moja na kuanza kuwalisha wasioijua historia matango pori na kwa kutumia hila ya dini akijaribu kutugawa. Anachosahau ni kwamba wazawa walidai uhuru bila kubaguana kidini wala kikabila.
 
Mag3,
Kama unaona nimefanya marekebisho niwekee hapa.
Ikiwa unaona kitabu changu ni porojo hapana shida.

Kuwa mimi ni muongo hilo nakataa.

Kitabu kingekuwa ni porojo kisingeingia Cambridge Journal of African History na wala nisingepewa mwaliko kuzungumza Northwestwern University, Evanston Chicago na vyuo vingine.

Hivyo si viwanja vya porojo.
Mliokuwa na porojo ni wewe na Nguruvi.

Hamjaweza kuandika chochote kinachoweza kutambulika.
Mko hapa JF free for all.

Nina mswada katika Maktaba wa Dr. Kyaruzi, "The Muhaya Doctor."
Ningeweza kuuweka hapa lakini sina idhini.

Kitu kimoja nimekiona katika mswada.
Kamkwepa Abdul Sykes na Schneider Abdillah Plantan.

Nina notes katika Maktaba za Dr. Wilbard Mwanjisi.
Utachoka.

Ndiyo maana watafiti hawapungui kwangu.
Hawaji kwangu kusikiliza porojo kwa kuwa kama wangetaka porojo wanajua pa kuzitafuta.
 
"Mohamed Said, post: 36300127, member: 12431"]
Mag3,Kama unaona nimefanya marekebisho niwekee hapa.
Mwaka 2010 uliandika ''Mwanzilishi wa AA alikuwa Kleist Sykes''. Baada ya malumbano uliafiki bila shurti kuwa Mwenyekiti alikuwa C.Matola, na Kleist ni miongoni mwa waanzilishi lakini si mwanzilishi pekee. Huu ni mfano mmoja, na mingi ipo ukiwemo wa Abdul Kumpokea Nyerere ambao umejificha nyuma ya maandishi ya marofesa. ni kwa ufupi tu.
Kuwa mimi ni muongo hilo nakataa.
Kusema kwamba kwamba Abdul ameandika katiba ya TANU, hilo linahitaji darubini kulibaini. Mbona uongo ni mwingi tu, kwani wewe mwenyewe hakuna wakati unashtuka!
Mliokuwa na porojo ni wewe na Nguruvi.Hamjaweza kuandika chochote kinachoweza kutambulika.
Of course hukutegemea kukutana na hoja nzito kama hizi. Umezoea kukalisha watu kitako na kuupulizia ! hapana! kuna wakati unahitaji break. Unajua si wote wanameza tu,tupo tunaotafuna. Sasa unataka tuandike kitabu cha nini ikiwa Wazaramo walikuwepo Dar es Salaam. Wewe unaandika kuwakeza Wazulu waliokuja kuumiza watu wetu na hata Waislam
Mko hapa JF free for all.
Tena unapapenda sana, la sivyo wala usingehangaika nako. Hapa ndipo matundu yanaonyeshwa.

Tunashukuru sana JF kuwa free for all, hatuhitaji ruhusa au kupiga magoti kusoma barua za Abdul Sykes kwenye makabrasha.

Barua hizo zinazosadikiwa ni nyaraka haziwekwi wazi kwasababu maalumu, zina habari zisiotakiwa kufahamika kwa umma.

Wazaramo waliliona hili miaka ya 1960 wakagomea Maulid.

Sasa ni miaka 60 tangu Wazaramo wagomee wazulu nasi tunataka Wazulu Watuombe radhi kwa kuumiza watanganyika waliopinga udhalimu wa mkoloni.
 
Mohamed Said unaweza ukawadanganya baadhi ya watu nyakati zote, unaweza ukawadanganya watu wote baadhi ya nyakati lakini huwezi kuwadanganya wote nyakati zote...hii ni tahadhari tu kwako.

Najua unavyokwepa kujibu maswali lakini nakuomba kwa taadhima ujibu hili. Je Mwalimu Nyerere alifika jijini Dar kwa mara ya kwanza lini? Je wakati huo viongozi WAKUU wa TAA walikuwa ni akina nani?
 
Mwaka 2010 uliandika ''Mwanzilishi wa AA alikuwa Kleist Sykes''. Baada ya malumbano uliafiki bila shurti kuwa Mwenyekiti alikuwa C.Matola, na Kleist ni miongoni mwa waanzilishi lakini si mwanzilishi pekee. Huu ni mfano mmoja, na mingi ipo ukiwemo wa Abdul Kumpokea Nyerere ambao umejificha nyuma ya maandishi ya marofesa. ni kwa ufupi tu.
Kusema kwamba kwamba Abdul ameandika katiba ya TANU, hilo linahitaji darubini kulibaini. Mbona uongo ni mwingi tu, kwani wewe mwenyewe hakuna wakati unashtuka!
Of course hukutegemea kukutana na hoja nzito kama hizi. Umezoea kukalisha watu kitako na kuupulizia ! hapana! kuna wakati unahitaji break. Unajua si wote wanameza tu,tupo tunaotafuna. Sasa unataka tuandike kitabu cha nini ikiwa Wazaramo walikuwepo Dar es Salaam. Wewe unaandika kuwakeza Wazulu waliokuja kuumiza watu wetu na hata Waislam Tena unapapenda sana, la sivyo wala usingehangaika nako. Hapa ndipo matundu yanaonyeshwa.

Tunashukuru sana JF kuwa free for all, hatuhitaji ruhusa au kupiga magoti kusoma barua za Abdul Sykes kwenye makabrasha.

Barua hizo zinazosadikiwa ni nyaraka haziwekwi wazi kwasababu maalumu, zina habari zisiotakiwa kufahamika kwa umma.

Wazaramo waliliona hili miaka ya 1960 wakagomea Maulid.

Sasa ni miaka 60 tangu Wazaramo wagomee wazulu nasi tunataka Wazulu Watuombe radhi kwa kuumiza watanganyika waliopinga udhalimu wa mkoloni.
Nguruvi,
Hamaki zinakuchagiza.

Soma kitabu kuna orodha ya waasisi wa AA wote jina moja baada ya jingine.

Labda unakerwa na kuwa katika waasisi hao wote Kleist peke yake ndiyo aliyeandika kumbukumbu ya maisha yake na ndiyo iliyotupa historia hii ambayo wewe huitaki.
 
Mohamed Said unaweza ukawadanganya baadhi ya watu nyakati zote, unaweza ukawadanganya watu wote baadhi ya nyakati lakini huwezi kuwadanganya wote nyakati zote...hii ni tahadhari tu kwako.

Najua unavyokwepa kujibu maswali lakini nakuomba kwa taadhima ujibu hili. Je Mwalimu Nyerere alifika jijini Dar kwa mara ya kwanza lini? Je wakati huo viongozi WAKUU wa TAA walikuwa ni akina nani?
Mag...
Inanishangaza sana.

Makala yangu ya kwanza iliyochapwa na Africa Events (1988) ambamo nilimtaja Abdul Sykes na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika katika historia ya TANU toleo zima lilikusanywa.

Nakuelewa vizuri lakini kitabu ndiyo kipo na mimi baada ya kitabu hiki nikaingizwa katika miradi miwili yote Oxford University Press wakihusika na wamechapa kazi zangu mbili.

Bado unaniuliza hili mara lile.
Kitabu kina miaka 22 sokoni.

Hii haijapata kutokea popote pale.
 
Hicho kitabu unachokitukuza utadhani ni msahafu. Ushaambiwa wee mwongo, sasa bado unang’ang’ania kitabu! kitabu! Hivi nani mwenye akili zake asome uwongo wako kitabu kizima? Kwahiyo baada ya kusoma hicho kitabu chako ndiyo unaamini kila anayepinga simulizi zako atakuwa convinced na uwongo wako? Mzee Muddy upo illogical sana unajua?
 
Soma kitabu kuna orodha ya waasisi wa AA wote jina moja baada ya jingine.

Labda unakerwa na kuwa katika waasisi hao wote Kleist peke yake ndiyo aliyeandika kumbukumbu ya maisha yake na ndiyo iliyotupa historia hii ambayo wewe huitaki.
Hapana, kama angeandika katika ukweli haina shida, lakini kwamba yeye kaanzisha AA halafu wewe unakuja kumficha Mwl Matola si sawa.

Mohamed, Kleist aliacha kumbu kumbu zake si za chama. Hakuacha muongozo wowote, katiba n.k.
Ndivyo mwanae pia alivyofanya na wote kwa miaka 24 walikuwa na kikundi cha siasa
Mwelekeo ulibadilika alipokuja Mwl Julisu Nyerere!

Kwasasa Wazulu waombe radhi tu kwa unyama walioufanya kwa Watanganyika.
Wazaramo waliliona hili mapema sana!
 
Najua unavyokwepa kujibu maswali lakini nakuomba kwa taadhima ujibu hili. Je Mwalimu Nyerere alifika jijini Dar kwa mara ya kwanza lini? Je wakati huo viongozi WAKUU wa TAA walikuwa ni akina nani?
Hakujibu hata kwa bahti mbaya. Anajua fika jibu lake litatoa nini

Ukiona hataki kujibu kitu utasikia, mimi nimealikwa, mimi nipo , mimi nina, kitabu kipo miaka ....
Anasema kitabu kipo sokoni miaka 22 haijawahi kutokea! real! tunasoma vitabu vya 1800!!

Nani kamuuliza Oxford? Nani kamuuliza vyuo alivyotembelea? Nani kamuuliza ana nini Library?
Huu ujanja tumeoona, anakwepa hoja kwa kutumbukiza vitu '' irrelevant ''

Eti anasema ''watu wengi' wanasema Abdul alimpokea Nyerere! Watu wengi!
 
Nguruvi/Mag,
Haya ndiyo maajabu kuwa haki siku zote itasimama juu ya batil.

Huyu Abdul Sykes TANU chama alichokiunda kwa jasho lake kutoka African Association chama alichounda baba yake na yeye akakitumikia kama kiongozi baada ya kufa baba yake, TANU chama kilichomfuta katika historia yake leo Abdul anatajwa na kuhushishwa na historia ya TANU kisha kuingia katika Dictionary of African Biography (DAB) akitajwa yeye na mduguze pamoja na baba yao huu ni muujiza tosha.
 
Nguruvi/Mag,
Haya ndiyo maajabu kuwa haki siku zote itasimama juu ya batil.

Huyu Abdul Sykes TANU chama alichokiunda kwa jasho lake kutoka African Association chama alichounda baba yake na yeye akakotumikia kama kiongozi baada ya kufa baba yake, TANU chama kilichomfuta katika historia yake leo Abdul anatajwa na kuhushishwa na historia ya TANU kisha kuingia katika Dictionary of African Biography (DAB) akitajwa yeye na mduguze pamoja na baba yao huu ni muujiza tosha.
DAR ES SALAAM NA WAZALENDO WAKE

Kitabu hiki nimekiandika kwa makusudi ya kuwaadhiimisha wazalendo walioishi Dar es Salaam wengi wao Gerezani karne iliyopita.

Wazalendo hawa kwa njia moja au nyingine walishiriki katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika:

1. Abdallah Salum Matimbwa (Kipata na Msimbazi)
2. Ibrahim Hamisi (Kipata na Congo)
3. Clement Mohamed Mtamia (Kipata na Sikukuu)
4. Mzee Shebe (Kipata na Livingstone)
5. Kleist Sykes (Kipata na New Street)
6. Salum Abdallah Popo (Kipata na New Street)
7. Bi. Mruguru bint Mussa (Kipata na New Street)
8. Zuberi Mtemvu (Kirk na New Street)
9. Mwalimu Bakari Setkhabari (Kirk na Livingstone)
10. Mwingereza (Kinyozi) (Kirk na Sikukuu)
11. Saleh Muhsin (Kirk na Nyamwezi)
12. Dossa Aziz (Mbaruku)
13. Abdulwahid Sykes (Stanley na Sikukuu)
14. Max Mbwana (Stanley na Congo)
15. Mshume Kiyate (Tandamti na Sikukuu)
16. Sheikh Suleiman Takadir (Swahili)
17. Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (Kariakoo)
18. Shariff Abdallah Attas (Pemba)

Picha ya kwanza majengo kilipoanzia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam sasa ni majengo ya Elimu ya Watu Wazima.

Picha ya pili wa kwanza kulia ni Mshume Kiyate, Julius Nyerere, Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi mwaka wa 1962.

Picha ya tatu mwandishi akizungumza katika Gerezani Family Day akiwakumbusha WanaGerezani umuhimu wa kutunza historia ya Gerezani.

DAR ES SALAAM NA WAZALENDO WAKE.jpg
MSHUME, MAX MBWANA....jpg
GEREZANI FAMILY DAY 3.jpeg
 
Ukimzunguzia Matola una 'adulterate'' nguvu ya Kleist. Lengo ni kuikuza Familia

Kwasababu alikuwa Mzaramo! Kumtaja Mzaramo kati kati ya Wazulu ni kama 'uhalifu''
Chuki hiyo ilikuwepo na iliendelea, mwaka 1960 Mohamed anasema Wazaramo na wenyeji wa Mzizima walisusia maulid ya Wazulu na Shemeji zao Wamanyema. Kutomtaja Ramadhani Ali ni chuki ya Wazulu dhidi ya Wazawa.
Bila kuanzia hapo Abdul Sykes hana nguzo ya kusimama. Lakini pia historia lazima ianze na Kleist ili kuficha unyama uliofanywa na Wazulu kwa Wazawa na Waislam kama Mkwawa na AbushiriNyerere alikuwa smart, alifahamu bila muongozo wahuni wanaweza kurudi ofisini kwake kama 1948 na hivyo akaandika katiba. Nyerere alijua bila muongozo organization inakuwa 'family business''. Nyerere akajua Uhuru si Wazulu lazima waende mikoani. Huko mikoani wakamtambua, Mohamed anaeleza Sheikh Chambera kumwalika Lindi. Hawa mashehe hayakuwahi kumwalika Abdul. Ndiyo maana nimeuliza sana kuhusu katiba na kadi ili watu waone kuwa hii ilikuwa 'family business'' haikuwa na muongozo hadi Julius alipoacha kazi na kuisimamiaUkimtaja Nyerere , Abdul anakuwa mahali pagumu kidogo. Miaka 24 ya Sykes Dynasty hakuna katiba hakuna muongozo. Kazi kubwa anayofanya ni kumdhalilisha Nyerere, mara kaenda sokoni bila senti, mara alikuwa anakula mayai na mambo mengi tu yenye indhara na karha ambayo sidhani kama akina Abdul wangefurahi kuyasikia.
''Ilikuwa wakati huu alipokuwa Dar es Salaam ndipo Dr Agrrey alipokutana na Kleist. Dr Aggrey alimtunukia Kleist moja ya vitabu vyake na akakitia sahihi yake.

Hakuna hata mtoto mmoja wa Kleist ambae anakumbuka jina la kitabu hiki. Kleist alikithamini kitabu hiki na kilipamba shubaka lake la vitabu kwa miaka mingi.

Mafanikio ya Dr Aggrey kama Mwafrika yalimtia moyo Kleist.

Mwaka wa 1929 Kleist na baadhi ya rafiki zake wa karibu kama Mzee bin Sudi, ambaye wazazi wake walikuwa Wamanyema kutoka Belgian Congo, Ibrahim Hamis - Mnubi ambaye baba yake alitoka Daffur nchini Sudan, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima - Mzaramo, Suleiman Majisu, Raikes Kusi, Rawson Watts na Cecil Matola - Myao kutoka Masasi walianzisha African Association, Kleist akiwa katibu muasisi. ''
 
Back
Top Bottom