Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
..........................Je hao uliowaorodhesha hapo wanamzungumziaje huyu mama?wanajisikia fahari kiasi gani kuwa karibu na kufahamiana na first lady wa kwanza wa Taifa hili?sitegemei uniambie kwamba hawajawahi kumzungumza mbele yako!Sir...
Fanya staha.
Mama Maria hakuna haja ya kumuingiza katika kuitafuta historia ya TANU.
Ikiwa kama yeye mwenyewe anapenda kukumbuka historia ya siku za mwanzo walipofahamiana na Abdul Sykes, Mama Daisy, Bi. Chiku bint Said Kikusa na wanae Bi. Sakina na Bi. Fatna ataeleza.
Imani yangu wanamzungumzia kwa mema pia mabaya yake (usually binadamu tuna pande mbili hayupo aliye msafi) unaonaje uka-share hapa hisia zao kama unavyofanya kwa baba zao na kaka zao ili tujue mapema even yeye akibahatika kusoma hapa au kuhadithiwa sifa alizopewa ashukuru na yale mabaya aliyowatendea labda bila kujua atubu?
Kingine,mbona unanikanya kwamba nifanye staha,nimeandika tusi mimi hapo juu?au huyo niliem-quote ameandika tusi?kwani ni uwongo kwamba huandiki kumu-attack victim wako akiwa hai bali unasubiri afe ili umwage nyongo yako?kama huyu uliyemtuhumu hapa,siku tatu kaburini hana umeshaleta bandiko nikusema miaka yote unafanya uandishi wa hiki na kile ulikuwa busy kiasi hukuwahi kupata nafasi ndo umeipata sasa kuandika baada ya yeye kufa?au uandishi umeuanza leo?
Haiyumkiniki kabisa!!!