Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

Sir...
Fanya staha.

Mama Maria hakuna haja ya kumuingiza katika kuitafuta historia ya TANU.

Ikiwa kama yeye mwenyewe anapenda kukumbuka historia ya siku za mwanzo walipofahamiana na Abdul Sykes, Mama Daisy, Bi. Chiku bint Said Kikusa na wanae Bi. Sakina na Bi. Fatna ataeleza.
..........................Je hao uliowaorodhesha hapo wanamzungumziaje huyu mama?wanajisikia fahari kiasi gani kuwa karibu na kufahamiana na first lady wa kwanza wa Taifa hili?sitegemei uniambie kwamba hawajawahi kumzungumza mbele yako!

Imani yangu wanamzungumzia kwa mema pia mabaya yake (usually binadamu tuna pande mbili hayupo aliye msafi) unaonaje uka-share hapa hisia zao kama unavyofanya kwa baba zao na kaka zao ili tujue mapema even yeye akibahatika kusoma hapa au kuhadithiwa sifa alizopewa ashukuru na yale mabaya aliyowatendea labda bila kujua atubu?

Kingine,mbona unanikanya kwamba nifanye staha,nimeandika tusi mimi hapo juu?au huyo niliem-quote ameandika tusi?kwani ni uwongo kwamba huandiki kumu-attack victim wako akiwa hai bali unasubiri afe ili umwage nyongo yako?kama huyu uliyemtuhumu hapa,siku tatu kaburini hana umeshaleta bandiko nikusema miaka yote unafanya uandishi wa hiki na kile ulikuwa busy kiasi hukuwahi kupata nafasi ndo umeipata sasa kuandika baada ya yeye kufa?au uandishi umeuanza leo?

Haiyumkiniki kabisa!!!
 
..........................Je hao uliowaorodhesha hapo wanamzungumziaje huyu mama?wanajisikia fahari kiasi gani kuwa karibu na kufahamiana na first lady wa kwanza wa Taifa hili?

Imani yangu wanamzungumzia kwa mema pia mabaya yake (usually binadamu tuna pande mbili hayupo aliye msafi) unaonaje uka-share hapa hisia zao kama unavyofanya kwa baba zao na kaka zao ili tujue mapema even yeye akibahatika kusoma hapa au kuhadithiwa sifa alizopewa ashukuru na yale mabaya aliyowatendea labda bila kujua atubu?

Kingine,mbona unanikanya kwamba nifanye staha,nimeandika tusi mimi hapo juu?au huyo niliem-quote ameandika tusi?kwani ni uwongo kwamba huandiki kumu-attack victim wako akiwa hai bali unasubiri afe ili umwage nyongo yako?kama huyu uliyemtuhumu hapa,siku tatu kaburini hana umeshaleta bandiko nikusema miaka yote unafanya uandishi wa hiki na kile ulikuwa busy kiasi hukuwahi kupata nafasi ndo umeipata sasa kuandika baada ya yeye kufa?au uandishi umeuanza leo?

Haiyumkiniki kabisa!!!
Sir...
Haya unayosoma hapa yote nimeyapata kwa hao.

Mwalimu Sakina ni shangazi yangu na mama yake Mama Sakina Bi Chiku bint Kisusa mimi ni bibi yangu.

Wao ndiyo walionihadithia kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Mtaa wa Mchikichi na Livingstone ambalo baada ya Mwalimu kuhamia Magomeni duka likafunguliwa nyumbani kwa Ali Msham aliyefungua pia tawi la TANU hapo kwake.

Hawa kutoka kwao sijasikia lolote baya.

Mshangao mkubwa na huzuni kubwa kwao ni jinsi historia ya TANU kuandikwa Abdul Sykes hayumo kwani Abdul ndiye aliyewajulisha wao na Nyerere.

Nimekueleza kufanya staha kwa kuwa ikiwa wao wenyewe miaka yote wamekuwa kimya kuna haja gani kuwauliza historia hii?

Mkapa sijasubiri afe ndiyo niandike.

Soma kitabu cha Abdul Sykes utamkuta si yeye peke yake yuko pamoja na Martin Kiama aliyekuwa Mkurugenzi wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD).
 
Sir...

Hawa kutoka kwao sijasikia lolote baya.

Nimekueleza kufanya staha kwa kuwa ikiwa wao wenyewe miaka yote wamekuwa kimya kuna haja gani kuwauliza historia hii?

Mkapa sijasubiri afe ndiyo niandike.

Soma kitabu cha Abdul Sykes utamkuta si yeye peke yake yuko pamoja na Martin Kiama aliyekuwa Mkurugenzi wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD).

Nadhani haya ndiyo majibu sahihi ya hoja zangu!!!

Watazungumziaje kitu ambacho hawajaulizwa na hawana au hawaoni umuhimu wa kukizungumzia?wewe kama mwandishi msomi ipo hata siku moja umeenda kuomba ushirikiano wao wakakataa ili story yako isionekane ipo biasing?

Hiyo sentence ya mwanzo niliyoku-qoti nimei-save Mungu akitupa uzima ipo siku tutakuwa wote hapa tukibishana tena,haiwezekani wewe kama mwandishi unayetumia kalamu yako kuandika ili kuishi na kuelimisha jamii ushindwe kuandika kumuhusu huyu mama pamoja na kuwa upo karibu na watu ambao wangeweza kukupa taarifa zinazomuhusu.

Unaweza kuweka hapa soft copy au ku-screen shot kipande ktk kitabu chako kinachomzungumzia hayati Mkapa?nataka nione umeandika kwa ukali kama ulivyoandika hapa!
 
Kuna ambayo huyajui katika hii historia ya TANU ndiyo maana unapata tabu kuelewa tatizo lililojitokeza katika historia yake.

Haiwezekani kuandika historia ya TANU bila ya kumtaja Abdul Sykes.

Ukimtaja Abdul Sykes lazima umtaje baba yake Kleist Sykes na ukimtaja Kleist lazima uitaje African Association na ukiitaja African Association lazima uitaje Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika).

Kuna waliokuwa wanatabishwa na historia hii wakawa wanataka historia ya TANU iandikwe bila ya "background," hili likafanyika na ndiyo watu wakaamini kuwa hiyo ndiyo historia ya TANU.

Mimi nikasahihisha historia hii.

Watu wengi wakashtushwa na yale yaliyokuwa ndani ya kitabu changu hasa kuhusu mchango wa Waislam katika kuunda chama cha TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Lakini lililowavutia wasomaji wengi ni kufahamika kwa udugu wa Abdul Sykes na ndugu yake Ally na Nyerere kati ya mwaka wa 1952 - 1961 uhuru ulipopatikana.

Hii ilikuwa hadithi iliyowasisimua wasomaji wengi sana.

Mkapa anaingia katika sehemu ya tatu ya kitabu katika mgogoro wa East African Muslim Welfare Society (EAMWS).

Naingia Maktaba In Shaa Allah kukutafutia sehemu nilizomtaja.

Kuandika kwa ukali.
Niwekee hayo niliyoandika kwa ukali.
 
Abdulwahid Mbuwane, Kleist Mbuwane, na Ally Mbuwane . Ukoo wa Mbuwane kwanini walikatae jina lao la Kibantu la ukoo la Wazulu wa Afrika Kusini? Mzee Muddy una jibu?
 
Sir...
Kuna ambayo huyajui katika hii historia ya TANU ndiyo maana unapata tabu kuelewa tatizo lililojitokeza katika historia yake.

Haiwezekani kuandika historia ya TANU bila ya kumtaja Abdul Sykes.

Ukimtaja Abdul Sykes lazima umtaje baba yake Kleist Sykes na ukimtaja Kleist lazima uitaje African Association na ukiitaja African Association lazima uitaje Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika).

Kuna waliokuwa wanatabishwa na historia hii wakawa wanataka historia ya TANU iandikwe bila ya "background," hili likafanyika na ndiyo watu wakaamini kuwa hiyo ndiyo historia ya TANU.

Mimi nikasahihisha historia hii.

Watu wengi wakashtushwa na yale yaliyokuwa ndani ya kitabu changu hasa kuhusu mchango wa Waislam katika kuunda chama cha TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Lakini lililowavutia wasomaji wengi ni kufahamika kwa udugu wa Abdul Sykes na ndugu yake Ally na Nyerere kati ya mwaka wa 1952 - 1961 uhuru ulipopatikana.

Hii ilikuwa hadithi iliyowasisimua wasomaji wengi sana.

Mkapa anaingia katika sehemu ya tatu ya kitabu katika mgogoro wa East African Muslim Welfare Society (EAMWS).

Naingia Maktaba In Shaa Allah kukutafutia sehemu nilizomtaja.

Kuandika kwa ukali.
Niwekee hayo niliyoandika kwa ukali.
Kwahiyo, Mzee Muddy wataka kutuambia bila ya jitihada za familia ya Wazulu akina Mbuwane na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika, nchi hii isingepata Uhuru Desemba 9, 1961? Hizi “taasisi” mbili ndiyo chanzo cha Waingereza kuamua kuwapa madaraka ya kujitawala Watanganyika wote?
 
Na hapo ndipo unafiki, udini na uchochezi wa Mohamed Said unapojidhihirisha na nitatoa mfano moja tu...

Mohamed Said anakataa katakata kumtambua Field Marshal John Okelo, Mwenyekiti wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, kama kiongozi wa mapinduzi yaliyomtimua Sultani wa Zanzibar, Jamshid bin Abdullah na serikali yake iliyoongozwa na Waziri Mkuu Muhammad Shamte Hamadi.

John Okelo.jpg

Field Marshal John Okelo (katikati waliokaa), Mwenyekiti wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar 1964.​

Sababu kuu za kutomtambua mkombozi wa Zanzibar, Field Marshal John Okelo kulingana na Mohamed Said ni dai la mapinduzi yale kuwa haramu na pia (1) hakuwa Mzanzibar, (2) Hakuwa Muislaam na (3) Hakuwa na uwezo na alitumika tu na watu wa ndani na nje ya Zanzibar kuleta machafuko na mauaji.

Sasa tuje Tanganyika...tunakuta tofauti kabisa. mohamed anawaenzi walowezi walioletwa Tanganyika kwa lengo moja tu, kuudumisha utawala wa Kikoloni. Walowezi walioshirikiana na wakoloni kuwakandamiza Watanganyika eti ndio hao hao tunaaminishwa waliongoza vita vya kudai uhuru kutoka kwa wakoloni.

Hata ukiwa mjinga kiasi gani huwezi kuukubali upuuzi na uongo huu. Lakini wapo Watanzania wa leo wanameza hizi porojo za Mohamed Said bila hata kujiuliza kulikoni? Huko Zanzibar anakataa Field Marshal Okelo kwamba ni Mganda lakini huku Tanganyika anawakubali Wazulu, Manyema na Wanubi.

Hii itakuwa ni post yangu ya mwisho katika thread hii. Hata hivyo nawaasa Watanganyika wenzangu, Mohamed Said hawatetei Waislaam, anawatetea wazee wake katika jitihada zake za kuhalalisha kuwepo kwao nchini. Kwa ukumbuusho tu Field Marshal Okelo badala ya asante alirudishwa kwao.
 
View attachment 1535352

Hakika huu ni mfano mzuri sana wa unafiki uliokithiri na udini wa wazi wa Mzee Muddy
 
Hili Zee ni Liongo flani na Linafiki likubwa sana.

Tulishamfahamu lengo lake siku nyingi sana.
 
Mag3,
Ndugu yangu ghadhabu zimetangulia sana uchangiaji wako.

Hili la Okello tunaweza tukalijadili ikiwa utapenda.
 
Hakujibu hata kwa bahti mbaya. Anajua fika jibu lake litatoa nini

Ukiona hataki kujibu kitu utasikia, mimi nimealikwa, mimi nipo , mimi nina, kitabu kipo miaka ....
Anasema kitabu kipo sokoni miaka 22 haijawahi kutokea! real! tunasoma vitabu vya 1800!!

Nani kamuuliza Oxford? Nani kamuuliza vyuo alivyotembelea? Nani kamuuliza ana nini Library?
Huu ujanja tumeoona, anakwepa hoja kwa kutumbukiza vitu '' irrelevant ''

Eti anasema ''watu wengi' wanasema Abdul alimpokea Nyerere! Watu wengi!
Huyu mzee huwa anatumia njia hizo kama defensive mechanism kuficha ajenda yake ya siri na wengi tunaijua.

Hana jipya.
 
Hili Zee ni Liongo flani na Linafiki likubwa sana.

Tulishamfahamu lengo lake siku nyingi sana.
Sio tu liongo ni lizandiki.
Uongo wake umezeeka sasa anaamini utageuka kuwa ukweli very soon.
 
Huyu mzee huwa anatumia njia hizo kama defensive mechanism kuficha ajenda yake ya siri na wengi tunaijua.

Hana jipya.
Latrice,
Ikiwa hutaki kuwasikia Oxford University Press katika utafiti na uchapaji wa vitabu ulimwenguni nami nimetafiti na kuchapa vitabu kadhaa ambao wao ndiyo wamevichapa sasa unataka kusikia majina gani na hapa nini tunajadili?

Ukiwa hutaki kusikia vyuo vikuu ambavyo ndivyo vyanzo vya tafiti na elimu sasa hapa tunajadili kitu gani?

Hapana haja ya lugha za kuzomeana tufanye mjadala wenye adabu na heshima tuelezane yale tunayoyajua ili sote tunufaike na mjadala huu.
 
Na hapo ndipo unafiki, udini na uchochezi wa Mohamed Said unapojidhihirisha na nitatoa mfano moja tu...

Mohamed Said anakataa katakata kumtambua Field Marshal John Okelo, Mwenyekiti wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, kama kiongozi wa mapinduzi yaliyomtimua Sultani wa Zanzibar, Jamshid bin Abdullah na serikali yake iliyoongozwa na Waziri Mkuu Muhammad Shamte Hamadi.

View attachment 1535352
Field Marshal John Okelo (katikati waliokaa), Mwenyekiti wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar 1964.​

Sababu kuu za kutomtambua mkombozi wa Zanzibar, Field Marshal John Okelo kulingana na Mohamed Said ni dai la mapinduzi yale kuwa haramu na pia (1) hakuwa Mzanzibar, (2) Hakuwa Muislaam na (3) Hakuwa na uwezo na alitumika tu na watu wa ndani na nje ya Zanzibar kuleta machafuko na mauaji.

Sasa tuje Tanganyika...tunakuta tofauti kabisa. mohamed anawaenzi walowezi walioletwa Tanganyika kwa lengo moja tu, kuudumisha utawala wa Kikoloni. Walowezi walioshirikiana na wakoloni kuwakandamiza Watanganyika eti ndio hao hao tunaaminishwa waliongoza vita vya kudai uhuru kutoka kwa wakoloni.

Hata ukiwa mjinga kiasi gani huwezi kuukubali upuuzi na uongo huu. Lakini wapo Watanzania wa leo wanameza hizi porojo za Mohamed Said bila hata kujiuliza kulikoni? Huko Zanzibar anakataa Field Marshal Okelo kwamba ni Mganda lakini huku Tanganyika anawakubali Wazulu, Manyema na Wanubi.

Hii itakuwa ni post yangu ya mwisho katika thread hii. Hata hivyo nawaasa Watanganyika wenzangu, Mohamed Said hawatetei Waislaam, anawatetea wazee wake katika jitihada zake za kuhalalisha kuwepo kwao nchini. Kwa ukumbuusho tu Field Marshal Okelo badala ya asante alirudishwa kwao.
Mag3,
Bahati mbaya kuwa unajitoa katika mjadala.
 
James...
Mimi si mtu wa ubishi kwani ubishi haujengi mjadala bali unabomoa.

Hivi kwa nini wewe ushughulishwe na jambo la kupokelewa?

Kwani lina kipi kikubwa sana?

Kubwa kwa Nyerere wakati ule ni yeye kupelekwa na kujulishwa kwa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir na Abdul Sykes.

Hili ndilo kubwa katika historia ya Nyerere.
Mzee Saidi mimi sikupingi katika uandikaji wa historia ya wazee wako. Ila naona kama unawapa umuhimu sana kuliko watu wengine waliokuwa na umuhimu sawa au kuwazidi wazee wako. Hapa unasema kubwa kwa Nyerere ni kutambulishwa kwa wazee wako. Hapa mtu anayesoma kwa kufikiri kama asemavyo Nguruvi lazima atang'amua au atahisi una ajenda. Kwa mfano hiyo sentensi moja umeipa para nzima. Kwa mtu anayejiita au kuitwa muandishi nguli kama wewe ukitumia paragraph kwa sentensi moja maana yake unaweka uzito unaostahili kwa kusudio fulani.
 
Nyerere alikuwa mjamaa aliyetaka kujenga jamii isiyo na matabaka.

Hili alilisema wazi.

Ndiyo maana alivunja Uchifu. Kina Makwaia, Marealle, Kunambi, Fundikira mpaka kaka yake Edward Wanzagi wakabaki raia tu wa kawaida.

Sasa hapo Mohamed Said anataka huyo Nyerere mjamaa asiyetaka madaraja kati ya raia wa nchi yake aruhusu daraja la waanzilishi wa TANU liwe juu ya wengine?

Wawe na special status kama "waanzilishi wa TANU"?

Kama ni kuwapa props kina Sykes mbona Nyerere kashatoa hotuba kawataja wote hao kina Sykes mpaka Mzee Jumbe Tambaza walivyomkaribisha na kumkubali?

Kwa nini Mohamed Said anafanya kama vile Nyerere alificha mambo haya yasijulikane?
 
Hapa nimekaa nikifikiria nani yupo ktk list za article za Mzee Saidi kiasi kwamba mtu huyo akifa tutapata andiko la mabaya yake. Je ni Warioba? Joseph Butiku? Pius Msekwa? Maria Nyerere ? Mwinyi? Kikwete? And the list goes on... Ni heri uandike ili tuweze kuuliza nasi tusikie wanasemaje. Kwa mfano hiyo nukuu inayomtaja Nyerere kupokelewa na akina Sykes hapa Dar ktk hizi volume mpya za prof. Shivji, Shivji aulizwe huko twitter source yake ni nani ?
 
Nyerere alikuwa mjamaa aliyetaka kujenga jamii isiyo na matabaka.

Hili alilisema wazi.

Ndiyo maana alivunja Uchifu. Kina Makwaia, Marealle, Kunambi, Fundikira mpaka kaka yake Edward Wanzagi wakabaki raia tu wa kawaida.

Sasa hapo Mohamed Said anataka huyo Nyerere mjamaa asiyetaka madaraja kati ya raia wa nchi yake aruhusu daraja la waanzilishi wa TANU liwe juu ya wengine?

Wawe na special status kama "waanzilishi wa TANU"?

Kama ni kuwapa props kina Sykes mbona Nyerere kashatoa hotuba kawataja wote hao kina Sykes mpaka Mzee Jumbe Tambaza walivyomkaribisha na kumkubali?

Kwa nini Mohamed Said anafanya kama vile Nyerere alificha mambo haya yasijulikane?
Na hili ndo linamfikirisha kila mtu. Kwa mfano kila mtu ambaye fimilia yake ilihusika ktk Uhuru leo wadai national recognition hii nchi itakalika?

Kuna sehemu MS anadai Kleist Sikes hakupewa umuhimu ktk msiba wa Nyerere ila alienda tu akiwa kama mkurugenzi wa ATCL. Sasa unajiuliza ina maana familia zote zilizoshiriki ktk Uhuru zinatakiwa zipate upendeleo wa kitaifa?

Jibu la mwerevu ni hapana. Hivyo anachofanya MS ni kuilinda mada ya Nyerere kuishi kwa Sykes na kuthibitisha kwa sarakasi nyingi kuwa familia ya Sykes ina mchango mkubwa kuliko familia za akina Mangi au za machifu na ma Mwami ambao wao hawakuishi na Nyerere nyumbani kwao au kumlisha Nyerere mayai.
 
Back
Top Bottom