Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

Haahahaah hakika yanipasa kuufuata huo muongozo ulionipa mkuu
 
naaam itakusaidia sana'' kuweza kupata marafiki wapya"mtakao kuwa mna share ideas na wewe kuweza kuamnika
kweli mkuu maana nimeanza kuwa mdau wa JF mwaka 2012 na kisha kujiunga rasmi january 7 2014 ila hadi leo nipo kama mgeni wakati kuna watu wamejiunga January mwaka huu ila wanaaminika na kufahamika zaidi yangu..... Aisee ninasikitisha sana napaswa kubadirika
 
umeona sasa"!!!!?
 
2 chronicles
15:13 That whosoever would not seek the LORD God of Israel should be put to death, whether small or great, whether man or woman. 2 Chronicles

Quran 9:5
And when the sacred months have passed, then kill the polytheists wherever you find them and capture them and besiege them and sit in wait for them at every place of ambush
nawashirikina inamaana tofauti na wasio waislam, mfahamishe awe makini anopotafsiri vifungu vya biblia au quran
 


mtu anaweza kuwa siomuislamu na asiwe mshirikana/ polytheists vilevile.
 
Aliusambaza kwa mahubiri au kwa upanga?
Huyu alivamia mji na baada ya kuupiga anawasilimisha kwa lazima kama hutaki unachinjwa kwa staili hiyo akafuta ukristo nchi ya uturuki ilihali ilikuwa kitovu cha ukristo enzi za paulo

Ila mbinu hii haikutumika na waislam tu hata wakristo walivamia nchi kama poland,Lithuania,estonia,albania za sasa na kuwalazimu wabatizwe na waliogoma walichinjwa so naona ilikuwa tabia ya dini zote tu na sio uislam pekee
 
Mleta mada..

1. Mtawala Suleiman the great alikuja baada ya tawala mbili after mehmed; Bayezid na Selim 1 ambapo huyo Selim 1 alikuwa mshua wake..

2. Ni kweli. Mehmed na Suleiman ndio watawala wababe na muhimu zaidi kwenye historia ya Ottoman.. Aliyekuja kumrithi Suleiman (Selim 2) ambaye alikuwa ni mwanae alizingua maana yeye alipenda pombe na wanawake kupita kiasi..

NB: Siku hizi kuna tamthiliya inaitwa Sultan pale Azam Two naona inajaribu kugusa gusa japo uhuni mwingi sana ule. Imekaa kipropaganda zaidi..
 
Si unajua haya yanayotokea leo kwa Boko haram,Al qaeda,Alshabaab na Isis to mention a few yanareflect kwa asilimia mia what happenned kwenye enzi za mtume na maswahaba wake!
Dola ya Kiislam
 
Hii umeitoa wapi wewe
 
Hispania ilikuwa nchi ya Kiislam, ilikombokewa baadae katika vita ya Msalaba. Sina uhakika na historia ya Ureno ingawa ninafahamu mji wa Fatima uliopo Ureno ulipata jina lake kutokana na mfalme kumpa mji ule binti yake kama zawadi.

Mama Sky Eclat unaweza kudadavua hao wahispania walikombolewa kivipi katika hiyo vita ya msalaba kwamba waliuawa au walipewa neno la kweli wakawa wakristo embu dadavua kidogo tupate maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…