Nini kilisababisha Kufa kwa “Kupatana”

Nini kilisababisha Kufa kwa “Kupatana”

Tena wakainunua hadi Zoom Tanzania ikawa chini yao. Shida matapeli ndo wameiharibu. Na wanunuzi nao ni mazombie sana hivi unawezaje kununua kitu kwa mtu aliye mbali na mkoa uliopo afu unamtumia hela kabisa ilhali mzigo haujauona bado. Usalama wa hela yako ni mdogo.
 
Tena wakainunua hadi zoom tanzania ikawa chini yao. Shida matapeli ndo wameiharibu. Na wanunuzi nao ni mazombie sana hivi unawezaje kununua kitu kwa mtu aliye mbali na mkoa uliopo afu unamtumia hela kabisa ilhali mzigo haujauona bado.
Mimi walivounganisha na zoom ndo nikaona imekua ya kindezi
 
Back
Top Bottom