Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kwanini Aliexpress, Ebay, Amazon zipo hadi leo? Kwasababu mteja amehakikishiwa usalama wa pesa yake. Hizi platform za kuuza bidhaa lazima kuwe na mtu wa kati anayelinda maslahi ya wote, muuzaji na mnunuzi.KUNA JAMAA ANASUKA SOCIAL NETWORK YAKE KAENI MKAO WA KULA, AMEWEKA MPAKA SEHEMU YA MARKETING
Si ndio wahuni huwa haturuhusu arudie popoteMm kuna jamaa tulikuwa tunatest mitambo na jamaa wangu, kuhusu mabando mwamba ana matangazo ya bando GB30 15,000. Mm nikajisema hii kitu haiwezekan🤣.
Nikamchek mwanangu fln ivi tutest mitambo. Mwamba akakubal kutia hela. (Mind you, apo jamaa tushamfatilia Insta tunaona wateja wanamshkuru sana, nika Mdm dada fln akaniambia uyu jamaa yuko makini) Alooo. Tumelizwa
Uyu jamaa nimesema lazma aingie 18 zangu. Tunamzibua.
Anajiita fahe_bundles IG km unasoma hii post kimbia dar. Umekula pesa ndogo but gharama itakuw kubwa kumbe unaliza wengi
Walikua hawana namna ya kuingiza helaMatangazo ndani ya matangazo.
App imejaa intrusive Google Ads, hata ukiwa unasikiliza kitu kinakata inaplay matangazo yasiohusika
Kwann hawashughulikiwiMm kuna jamaa tulikuwa tunatest mitambo na jamaa wangu, kuhusu mabando mwamba ana matangazo ya bando GB30 15,000. Mm nikajisema hii kitu haiwezekan🤣.
Nikamchek mwanangu fln ivi tutest mitambo. Mwamba akakubal kutia hela. (Mind you, apo jamaa tushamfatilia Insta tunaona wateja wanamshkuru sana, nika Mdm dada fln akaniambia uyu jamaa yuko makini) Alooo. Tumelizwa
Uyu jamaa nimesema lazma aingie 18 zangu. Tunamzibua.
Anajiita fahe_bundles IG km unasoma hii post kimbia dar. Umekula pesa ndogo but gharama itakuw kubwa kumbe unaliza wengi
Hizi feedback huwa hawazipatiKupatana ilikufa mara baada ya kubadilisha mfumo wakidhani wanaboresha na kumbe wanaboa watumiaji. Ilivyo kuwa na mfumo wa zamani ilikuwa rahisi sana kuitumia hivi sasa app yao ni nzito sana na kama iko oudated hivi kwa kukosa simplicity. Sasa hivi wengi tumehamia facebook market.
Jamaa Wana njaa Kali App yao inamatangazo ya adsence na admib wameweka matangazo yaWalikua hawana namna ya kuingiza hela
Nadhan walichemka strategy za ku capitalise appJamaa Wana njaa Kali App yao inamatangazo ya adsence na admib wameweka matangazo ya
Kwenye swala hili mwanasheria anahitajika bila hivyo wateja na wafanyabiashara watashikana mashati kila sikuUnajua kwanini Aliexpress, Ebay, Amazon zipo hadi leo? Kwasababu mteja amehakikishiwa usalama wa pesa yake. Hizi platform za kuuza bidhaa lazima kuwe na mtu wa kati anayelinda maslahi ya wote, muuzaji na mnunuzi.
Nikiuziwa bidhaa tofauti na yaliyoandikwa kwenye description ninaweza kucomplain na nikafanyiwa refund. Nikituma hela sijapata mzigo uhakika wa kupata pesa yangu ipo.
Sijui jamaa yako amejipangaje ila akae akumbuke hata uwe na site yenye interface nzuri kiasi gani kama hakuna ulonzi wa pesa ya mteja ni sawa sawa na bure. Site itapoteana kama walivyopoteana kupatana.
KwakweliKwenye swala hili mwanasheria anahitajika bila hivyo wateja na wafanyabiashara watashikana mashati kila siku
Mkuu mbona huwa tunanunua kikuu, Alibaba n.k na mizigo unafika?!Tena wakainunua hadi Zoom Tanzania ikawa chini yao. Shida matapeli ndo wameiharibu. Na wanunuzi nao ni mazombie sana hivi unawezaje kununua kitu kwa mtu aliye mbali na mkoa uliopo afu unamtumia hela kabisa ilhali mzigo haujauona bado.
Mkuu mbona huwa tunanunua kikuu, Alibaba n.k na mizigo unafika?!
hii siijuiWalipobadili mfumo wa malipo yao kutumia selcom pekee