Nini kilisababisha na kinakufanya usiwaamini wapinzani kwa chochote?

Nini kilisababisha na kinakufanya usiwaamini wapinzani kwa chochote?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Huenda ulikuwa unawakubali mno awali, lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa.

Nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisa wapinzani na kwamba ni watu wasioaminika tena?🐒
 
huenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..

nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?🐒
Nimeikatia CCM tamaa kuliko wapinzani
 
huenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..

nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?🐒
Ka usubiri kubeba
Anza kujibeba mwenyewe
 
huenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..

nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?🐒
Jinsi Chadema walivyomsema vibaya kweli Hayati Mzee Lowassa hadi wakamuingiza kwenye "List of Shame". Aliponyimwa kugombea Urais kupitia CCM akageuka kuwa MUNGU wao!
 
VIongozi wa ccm walikuwa wanafahamika kwa sifa kubwa za WIZI na UFISADI, sasa wameongeza na sifa ya ulawiti, pole Tusiime
wakakahamia upinzani na kuwa watakatifu na wakawa wasio wizi wala mafisadi tena, bali wakawa wasafi na weupe kama pamba, right?
upinzani ni kiwanda cha kusafisha wezi na mafisadi right?:pedroP:
 
Kwangu mimi,nimekuwa na itikadi za mrengo wa kushoto dhidi ya serikali,nimesoma sana magazeti ya ya MwanaHalisi na Tanzania Daima yalikuwa na upinzani mkubwa dhidi ya serikali. Wanasiasa kina Slaa,Zito Kabwe,Kafulila,Mnyika,Mchungaji Msigwa,Prof Kitila Mkumbo,Prof Mwesiga Baregu na wengineo walikuwa wananikosha sana Na Agenda kubwa ya Ufisadi katika Serikali. Mara tuliyeaminishwa ni fisadi mkuu akaingia Chadema,akawa mgombea uraisi,tulioamini wanajua zaidi tukawasikiliza wakabadili kauli,Lowasa sio Fisadi. Kwangu ilikuwa ngumu kumeza,nilikataa kuwa bendera fuata upepo. Imani yangu kwa Chadema na itikadi zao ikaishia hapo.
 
Yani tusiwaamini watu nnaowasajili kwa dau kubwa na wakija kwenu mnawapa namba muhimu huku wakwenu wakikaa benchi. Hope unatania.
 
Upinzani hawakuwahi kushika nchi katika ngazi yoyote kubwa ya maamuzi, binafsi ccm ndio siwaamini toka uhuru ahadi ni zile zile 🐒.
ili kushuka dola lazima uaminike,

lakini pia,
ili uaminike,
lazima uwe mwaminifu mwenye maono, mipango, ushawishi wenye sera za kuvutia wananchi, lakini pia lazima uwe mwenye bidii na weledi kwenye kufanya maamuzi magumu ya kuwaunganisha wananchi:pedroP:

hata hivyo,
ahadi za upinzani ni zipi tangu mfumo wa vyama vingi kanzishwa:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom