Nimeikatia CCM tamaa kuliko wapinzanihuenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..
nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?π
Ka usubiri kubebahuenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..
nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?π
Jinsi Chadema walivyomsema vibaya kweli Hayati Mzee Lowassa hadi wakamuingiza kwenye "List of Shame". Aliponyimwa kugombea Urais kupitia CCM akageuka kuwa MUNGU wao!huenda ulikua unawakubali mno awali,
lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa..
nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisaa wapinzani na kwamba ni watu wasio aminika tena?π
wakakahamia upinzani na kuwa watakatifu na wakawa wasio wizi wala mafisadi tena, bali wakawa wasafi na weupe kama pamba, right?VIongozi wa ccm walikuwa wanafahamika kwa sifa kubwa za WIZI na UFISADI, sasa wameongeza na sifa ya ulawiti, pole Tusiime
π sawa kadakua jasiri amini Mungu ipo siku utatoboa tu
ili kushuka dola lazima uaminike,Upinzani hawakuwahi kushika nchi katika ngazi yoyote kubwa ya maamuzi, binafsi ccm ndio siwaamini toka uhuru ahadi ni zile zile π.