Mvua za Elinino.....Huenda ulikuwa unawakubali mno awali, lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa.
Nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa kabisa wapinzani na kwamba ni watu wasioaminika tena?π
Hiki kimstari kimoja tu kimekuelezea vya kutosha wewe ni mtu wa aina gani. I have very low regard for such individuals."Tuishi nao kwa akili" sometimes hii kauli isitumike tu kwa wanawake inastahili kwa watu kama hawa wenye mihemko
Huelewi inasemaje?gentleman,
kwani mada inasemaje
Maana ya vitisho ni nini. Kuna vitisho zaidi ya kushinda hapa JF ukiweka takataka za kuvuruga akili za watu?sure,
dah, jamaa ana vitisho vya kizamani sana aisee
Ni hivi, kama bado huelewi. Ukija kilevi utakutana na ulevi. It's all season upande huu.kwamba umenitisha au umenihubiria?
ushauri ni mzuri ila mshauri mwenyewe sasadah
wewe huna upande bana uko hivyo hivyo ulivyoeleza, hubadiliki wala huna fikra wala mawazo mbadala dhidi ya hoja yangu ya misingi πNi hivi, kama bado huelewi. Ukija kilevi utakutana na ulevi. It's all season upande huu.
Wewe humu ndani ya JF huna "hoja ya msingi" yoyote, kazi yako inafahamika.wewe huna upande bana uko hivyo hivyo ulivyoeleza, hubadiliki wala huna fikra wala mawazo mbadala dhidi ya hoja yangu ya misingi π
unanifurahisha tu sasa hivi π€£
sasa ghadhabu za nini, kwa mfano π€£Maana ya vitisho ni nini. Kuna vitisho zaidi ya kushinda hapa JF ukiweka takataka za kuvuruga akili za watu?
Hopeless Kabisa.
maadam kazi inayo kuleta humu imekwisha julikana, ni jukumu langu kupambana nawe. It's as simple as that!sasa ghadhabu za nini, kwa mfano π€£
Kwan unalazimishwa kusoma au kuchangia mada yoyote humu jukwaani? unababaika na vinavyokukera ili ujulikane kwamba ni hodari wa kuporomosha matusi au kutukana, right?π€£
Yes,Wewe humu ndani ya JF huna "hoja ya msingi" yoyote, kazi yako inafahamika.
Huna lolote la kuelimisha mtu , bali kutumikia hao wanaokutuma.Yes,
kazi yangu ni kuelimisha na mimi kujifunza na kuongeza uealewa na ufahamu wa masuala mbalimbali ya kijamii kisiasa na kiuchumi yanayoibuliwa na wangwana, watu muhimu sana familia ya JF...
Kwan kuna kitu mbaya hapo π
yaani ni wajibu wako kuporomosha matusi right?π€£maadam kazi inayo kuleta humu imekwisha julikana, ni jukumu langu kupambana nawe. It's as simple as that!
Huu ni wajibu kwangu. Kwa hiyo elewa hivyo.
Huwezi na huna uwezo wa kunichagulia njia nitakayotumia.yaani ni wajibu wako kuporomosha matusi right?π€£
mbona kazi ngumu sana aise umechagua π
Nikizuia takataka ni kwa faida ya kila mtu hapa.kama wew huhitaji kupata elimu, ufahamu na uelewa wa ziada tuliza mihemko bas wengine wajifunze,sio Lazima π
EEEeeenHEEEeee!yaani mimi nibabaike na kupoteza muda wangu kuchungulia njia unayotumia kuporomisha matusi π€£
kwanini kama pamba ?akawa tena sio fisadi bali ni malaika msafi kama pamba, dah