Jamaa alikuwa na wake wawili, kwahyo huyu akawa watatu, wakati mi sikuwa hata na mmoja ndo nltaka kumfanya awe mke, ila mwamba akapita naye.Sasa Mkuu dada si alikuwa free kuolewa?[emoji1787][emoji1787]
Yupo sahihi maana mwanamke alitaka ndoa na siyo kutumika kama mchepukoDaaah ni stori ndefu, siku nikiipata wasaa nitashusha kisa kizima, ila Kwa ufupi fala kaoa shemeji yake (mchepuko wangu) ilihali alikuwa anajua kila kitu.
Fala namchukia kila siku, kibaya zaidi nilimtumia pesa ya kuchukulia mzigo wa biashara jamaa ndo akafanya ya kuolea.
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Kwa upande wangu, mshikaji wangu tulikuwa tunaishi maeneo yanayokaribiana. Tulikuwa na utaratibu wa kuambiana kuwa nakuja maeneo ya kwenu utanikuta baa fulani. Sasa siku moja nikamwambia hivyo kuwa nipo mitaa yake hivyo atanikuta baa fulani. Mwenzangu alikuwa anajenga mahala pengine ili baada ya kumaliza ujenzi ahamie huko (sikuwa nalijua hili). Kumbe siku namwambia nipo mitaa yake, mwenzangu amehama kama wiki imepita. Ila akaniambia nimsubiri anakuja. Nilikaa hapo mpaka usiku mkubwa. Nikaondoka. Siku za baadaye nikaja sikia kuwa alihama na siku ile aliyoniweka mitaa aliyohama hakuwa mitaa hiyo. Umbali ulitusaidia kuuvunja ushikaji.Kwema team MMU?
Marafiki ni watu muhimu na wenye manufaa makubwa kwetu, japokuwa wakati mwingine anaweza kuwa kichomi akavuruga maisha yako?
Mimi na rafiki yangu mmoja urafiki ulikufa sababu hakulipa deni langu, kila nikimdai anatafuta vijisababu vya kunikwepa, jamaa ananikwepa mpaka kesho.
Kwa upande wako nini kilisababisha urafiki wako na besti yako/mshkaji wako kufa?
Hii ni changamoto sana miaka hiiMimi na rafiki yangu mmoja urafiki ulikufa sababu hakulipa deni langu
Kama mwanamke haukumkuta bikira huyo ni malayaMwamba alinit*mbea dem wangu wa kihaya