elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
- #41
Usiniambie kuwa abydady na kiba haziivi kwa sasa.Ndo hivyo, na producer akiwaringia tu wanahama. Tatizo hata maproducer wenyewe hawana umoja wala ushirikiano wowote. Wanaburuzwa na wasanii
- Hebu fikiria Alikiba eti anakosana na Abydady kwa kuwa kawarekodia Wasafi ( Mavoko ) yaani mtu ana biashara yake kwaajili yake na familia yake halafu hutaki ahudumie baadhi ya wateja wakati wewe mwenyewe unarekodi bure!
Basi kwa mwendo huo diamond hawezi record kwa man walter pia.