elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
-
- #41
Usiniambie kuwa abydady na kiba haziivi kwa sasa.Ndo hivyo, na producer akiwaringia tu wanahama. Tatizo hata maproducer wenyewe hawana umoja wala ushirikiano wowote. Wanaburuzwa na wasanii
- Hebu fikiria Alikiba eti anakosana na Abydady kwa kuwa kawarekodia Wasafi ( Mavoko ) yaani mtu ana biashara yake kwaajili yake na familia yake halafu hutaki ahudumie baadhi ya wateja wakati wewe mwenyewe unarekodi bure!
Abydady na Kiba hawapikiki chungu kimoja tangu enzi za KokoroUsiniambie kuwa abydady na kiba haziivi kwa sasa.
Basi kwa mwendo huo diamond hawezi record kwa man walter pia.
Hii imetoka kuwa biashara na kuwa vita.Abydady na Kiba hawapikiki chungu kimoja tangu enzi za Kokoro
- Kuhusu Wasafi kurekodi kwa Man Water hilo haliwezekani kwa sasa maana Man Water mwenyewe amekuwa FRONT TeamKiba anaongea na Media na kutumia mitandao kurusha vijembe kwa wasafi tena kwa chuki kalii kwasababu tu ya ukaribu wake na Kiba
Maproducer Kukaa Neutral ndo hawawezi wanaona kama watachukiwa na msanii kama ilivyotokea kwa Abydady, kwasababu ukimrekodia mmoja mwingine anaweka beefHii imetoka kuwa biashara na kuwa vita.
Sema producers wangekaa neutral bila upande
Itawacost maana biashara yangu na yako kama haingiliani hauko label kwanini nisiwe neutralMaproducer Kukaa Neutral ndo hawawezi wanaona kama watachukiwa na msanii kama ilivyotokea kwa Abydady
Yaani kuna maproducer wanafanya kazi nzuri lakini wanaishi kwa hisani ya wasanii ( Wao ndo wanajisikia wakutoe kiasi gani )Itawacost maana biashara yangu na yako kama haingiliani hauko label kwanini nisiwe neutral
Kitambo nilishasikia master jay analalamika kuwa wao kama wao hawana ushirikiano.Yaani kuna maproducer wanafanya kazi nzuri lakini wanaishi kwa hisani ya wasanii ( Wao ndo wanajisikia wakutoe kiasi gani )
Ndo hivyo Msanii anambeba Prodyuza ndo maana wanaringa. Msanii akiwa anarekodi kwa prodyuza mchanga, huyo prodyuza anakuwa mkubwa.Kitambo nilishasikia master jay analalamika kuwa wao kama wao hawana ushirikiano.
Ukikataa kumrekodia mtu bure au kwa bei chee kesho anaenda studio ya huko uswahilini unashangaa katoa wimbo ume hit na bure kabisa na wasanii wote wanahamia huko
Uwa wanazichomolea nini maana sijawah kuskia wanetumia beats zetuNdo hivyo Msanii anambeba Prodyuza ndo maana wanaringa. Msanii akiwa anarekodi kwa prodyuza mchanga, huyo prodyuza anakuwa mkubwa.
- Laizer ni prodyuza mchanga na wa kawaida tu ila kwakuwa anawarekodia wasanii wakubwa basi anaonekana kama bonge la prodyuza kama ilivyo kwa Shedy Clever, Na wengi huwa wanatafuta FURSA hiyo. Hata Nahreel alikuwa na BEATS anawasikilizisha kina AKA, KO, PATORANKING anawashawishi awarekodie hata BURE akuze jina !
Hata haijawahi kufahamika sababu. Labda hawawaaminiUwa wanazichomolea nini maana sijawah kuskia wanetumia beats zetu
Hapa umenena aiseeHii imetoka kuwa biashara na kuwa vita.
Sema producers wangekaa neutral bila upande
Hapana mkuu maproducer ndo wana wadekeza wasanii wakubwaKwa hiyo wasanii wana tamaa na kutopenda mafanikio ya producers...maana hawataki kulipia ila wanataka watoke kwa mteremko au mgongo wa producers af wao wakapige hela sana na shiws. Thats not ok......not at all....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafanya rap mkuu zaman nilikuwa nafanya ngumu sana lakin saiv nimelegeza kidogoUnaimba miondoko gani nikupe ushauri wangu kuhusu uende wapi
Nahreel naye saiv kaweka bei maalum kama huna hiyo hela pita kushotoYap, nasikia ndio kisa cha kumkimbia Nahreel, ila sio waungwana kabisa yaani zile beat za Nahreel zilivyowang'arisha wao wanachukulia poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu hakuna studio ya kurecod 2m kwa hapa bongo wasikudanganyeAnataka 2M per single!