Nini kilitokea B-hits

Wapi Lamar Talk of the town? Kuna kipindi karibu kila msanii mkubwa alifanya naye kazi, sijui what happened hadi kazimika mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Hammy kwenye beat wa kawaida sana, kwa b-hitz mnyama alikuwa Pancho, refer ngoma kama Dar es salaam Stand up ya Chid. Sema Hammy huko kwenye mastering ndio yuko vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inawezekana ila nadhani harakati zake na mdogo wake Amani vile alivyokuwa amewabana FA na Ay watu waliona hii hatari just imagine V money, mabeste, Weusi, na wengine kukimbia hapa ndo nakumbuka Fid anavyosema wabongo hatupendani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vip mkuu...P funk Majani umemsahau.....huyu jamaa hakuna wa kufananisha nae katika beats kali...Bongo Records
 
Wapi Lamar Talk of the town? Kuna kipindi karibu kila msanii mkubwa alifanya naye kazi, sijui what happened hadi kazimika mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa na style ya peke yake sana. Sema kila ngoma aliyorekodi alikuwa lazima auze sura. Mzee wa Fishcrab Cockout !
 
Jamaa alikuwa na style ya peke yake sana. Sema kila ngoma aliyorekodi alikuwa lazima auze sura. Mzee wa Fishcrab Cockout !
Yap alikuwa na mabiti flan hivi kama crank, na kuna mtu anaitwa Dunga naye mbaya sema hanaga kazi nyingi sijui kwanini. Yeye naye ukienda kurekodi kwake lazima atiepo voko hata kama haimbi, ni kama Lamar alivyokuwa anapenda kuuza nyago

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fid Q sijui wabongo walimfanya nini maana hata kwenye wimbo wa JAHMAN Mabundi karap "Mbongo mbongo maneno ya shombo nje nje"
 
Vip mkuu...P funk Majani umemsahau.....huyu jamaa hakuna wa kufananisha nae katika beats kali...Bongo Records
Hapo ndo unajua uwezo huwa unaisha, P FUNK ana MABEAT YA KUFA PUNDA hakuna bongo hii.

- Pamba nyepesi ( Babu Inspector )
- Mikasi ( Ngwair )
- She got gwan ( Ngwair )
- Nikusaidieje/Bombocrat (Prof J/ Chameoleon )
- Jirushe ( Ferooz )
 
Mie ninaunga Mkono producers kuweka kuweka kiwango cha kurekodi
Ingebidi wote waungane.
 
wasanii wanazingua...kama vp watengeneze wenyewe beats zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…