Nini kilizingatiwa katika kumteua Amos Makalla kuwa katibu Mwenezi wa CCM?

Nini kilizingatiwa katika kumteua Amos Makalla kuwa katibu Mwenezi wa CCM?

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Makalla hana :-
1. Hoja na hajui kujenga/kupangua hoja (argumentative ability)

2. Mvuto kwa watu na hawezi kuiteka hadhira anapoongea.

3. Uwezo wa kutangulia mbele ya hoja yake na kuangalia athari za anachotaka kukiongea.

Kwasababu hiyo Amos Makalla amekuwa akiongea vitu vidogo sana (petty issues) visivyoendana na nafasi na hadhi yake.

Mambo ya kuongelewa na UVCCM ngazi ya kata ndiyo anayaongea katibu katibu mwenezi.

Amos Makalla ameshindwa kuvaa viatu vya Polepole na Nape.

Aibu naona mimi.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
 
Moderator nibadilishie heading hapo, isomeke katibu mwenezi, siyo katibu mkuu
Wanaokulipa wapunguze ujira. Umekuja kuandika ujinga Kisha ukawaambia Maboss zako kuwa kazi tayari, lahaula!! wanakuja kutazama wanakuta Makala kapewa cheo cha SG🤣🤣🤣 Mnaotumia hizi kondomu za bei nafuu msizinunue kwa bei ghali kisa mna nyege tu, ona zinavyopasuka hovyo katikati ya mnyanduano.
 
Makalla hana :-
1. Hoja na hajui kujenga/kupangua hoja (argumentative ability)
2. Mvuto kwa watu na hawezi kuiteka hadhira anapoongea.
3. Uwezo wa kutangulia mbele ya hoja yake na kuangalia athari za anachotaka kukiongea.

Kwasababu hiyo Amos Makalla amekuwa akiongea vitu vidogo sana (petty issues) visivyoendana na nafasi na hadhi yake. Mambo ya kuongelewa na UVCCM ngazi ya kata ndiyo anayaongea katibu katibu mwenezi.

Amos Makalla ameshindwa kuvaa viatu vya Polepole na Nape.

Aibu naona mimi.
Alikuwa mfadhili mkuu wa FM ACADEMIA, alifanikiwa sana kuwanunulia pombe Wanamuziki
 
Back up ya msoga
Pili mashavu makubwa
3 alifukuzwa na mkewe na kufokewa kma mtoto pale mkindo turiani
4 alikuwa na madeni mengi sana Bank FURANI alipewa chansi hyo ili awezekulipa madeni
Ili apambane kumfyeka kija mzee wa KVC
 
Back
Top Bottom