Nini kilizingatiwa katika kumteua Amos Makalla kuwa katibu Mwenezi wa CCM?

Nini kilizingatiwa katika kumteua Amos Makalla kuwa katibu Mwenezi wa CCM?

..ndio ukweli wenyewe.

..mnaelekea kupoteza imani na wananchi.

..Na mkifika huko hata hayo makombo mnayopewa kutokana na uchawa watayasitisha.
Naandikia Nipashe ya Jumapili na Mwananchi ya Jumatano, pia nina kipindi Channel Ten kila Jumapili saa 3:00 usiku, nifuatilie and be honest kama kuna uchawa!.
P
 
Makala ni guru wa logistix za kupandisha wanafunzi malori wakajaze mikutano ya ccm. hiyo ni sifa kubwa ulitaka kuwa kiongozi wa ccm ya zama hizi kwa renki ya makala
 
Back
Top Bottom