Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Msituhukumu waandishi wote wa habari kwa mtindo wa samaki kwenye tenga la samaki, mmoja akioza, wote wameoza!...Tume Huru tuliyoletewa sio ile ambayo wadau wakiwemo viongozi wa Dini walishauri serikali iilete.
..Pia muswada umeelekeza kuandikwa kwa sheria ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaosimamiwa na Tume Huru.
..Waandishi wa habari hamjabeba jukumu lenu la kusimamia ukweli kwamba serikali imefanya ulaghai ktk suala hili.
..Kwa kweli waandishi wa habari hamfanyi kazi yenu. Sijui ni kwasababu ya elimu ndogo, au mmeamua kuwa Machawa.
..Watu wanaanza kukosa imani na waandishi na vyombo vya habari. Jambo hili likiendelea hao Ccm mnaowategemea hawatakuwa na muda na nyinyi.
P.