- Thread starter
- #21
Mkuu nimekuelewa kuliko maelezo.Mleta mada jiulize swali moja dogo....utajisikiaje iwapo mwanao au mkeo atakuzidi katika kujenga hoja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimekuelewa kuliko maelezo.Mleta mada jiulize swali moja dogo....utajisikiaje iwapo mwanao au mkeo atakuzidi katika kujenga hoja!
Alaaa kumbe!! Kija kama kijaIli apambane kumfyeka kija mzee wa KVC
CCM ni ileileMakalla hana :-
1. Hoja na hajui kujenga/kupangua hoja (argumentative ability)
2. Mvuto kwa watu na hawezi kuiteka hadhira anapoongea.
3. Uwezo wa kutangulia mbele ya hoja yake na kuangalia athari za anachotaka kukiongea.
Kwasababu hiyo Amos Makalla amekuwa akiongea vitu vidogo sana (petty issues) visivyoendana na nafasi na hadhi yake. Mambo ya kuongelewa na UVCCM ngazi ya kata ndiyo anayaongea katibu katibu mwenezi.
Amos Makalla ameshindwa kuvaa viatu vya Polepole na Nape.
Aibu naona mimi.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
Chawa wa Mbowe katika ubora wako.Alikuwa mfadhili mkuu wa FM ACADEMIA, alifanikiwa sana kuwanunulia pombe Wanamuziki
Wanajiita watoto wa mjini, na ndio sifa yao ya kuteuliwa yeye na yule mwenzake aliyekuwa RC wa Chuga.Makalla hana :-
1. Hoja na hajui kujenga/kupangua hoja (argumentative ability)
2. Mvuto kwa watu na hawezi kuiteka hadhira anapoongea.
3. Uwezo wa kutangulia mbele ya hoja yake na kuangalia athari za anachotaka kukiongea.
Kwasababu hiyo Amos Makalla amekuwa akiongea vitu vidogo sana (petty issues) visivyoendana na nafasi na hadhi yake. Mambo ya kuongelewa na UVCCM ngazi ya kata ndiyo anayaongea katibu katibu mwenezi.
Amos Makalla ameshindwa kuvaa viatu vya Polepole na Nape.
Aibu naona mimi.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi
Makalla hana :-

Kitu kizuri kumhusu Makala, yuko very social, mimi sihitaji
Appointment kuzungumza nae
View: https://youtu.be/tmqRwQA2FUs?si=w6m-WJuL5c4GJeUh
Watu social wa kihivi, wanakisaidia chama kupendwa na watu wa kawaida.
P

Kama ulivyosema hapa..katika kongamano hilo Zitto Kabwe aliwaomba waandishi wa habari mtumie majukwaa yenu kuihimiza serikali na bunge kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 unasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Mambo yetu yepi na mienendo gani iliyozoeleka?Naona ombi hilo la Zitto Kabwe waandishi wa habari mlilipuuza mkaendelea na mambo yenu na mienendo yenu iliyozoeleka.
Ni kweli ila sio wote!Kwa kweli waandishi wa habari wa Tanzania hamjui wajibu wenu kwa wananchi ni nini.
Kama ulivyosema hapa
View: https://youtu.be/tmqRwQA2FUs?si=vLh-pgbosNEFee-A Zitto aliomba, mtu akiomba ni ama hukubaliwa, ama hukataliwa.
Mambo yetu yepi na mienendo gani iliyozoeleka?
Ni kweli ila sio wote!
karibu mitaa hii na unisikilize kwa makini nimeshauri nini kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025
Kwa wale ambao bundle sio issue, kipindi chenyewe ni hiki
View: https://youtu.be/owBvx8H2H68?si=2kaPHEBJkcQoObcS
Ila pia mimi ni Mtanzania mzalendo, naijua hali ya uchumi ya Watanzania wengi kuhusiana na bundle, wengi bundle ni issue hivyo hawawezi kutazama kipindi chote, hivyo nimewadondolea baadhi ya dondoo zake muhimu.
1. JJ. Mnyika ametoa maoni ya jumla ya Chadema, wametaka miswada yote iondolewe kwanza, serikali ilete kwanza marekebisho madogo ya katiba, minimum reforms, katiba ifanyiwe mabadiliko kwanza ndipo miswada hiyo iletwe.
View: https://youtu.be/CRLiQjOQpro?si=6xgfm7aBX7Lvo0wQ
2. JJ Mnyika amethibitisha jinsi maridhiano na CCM yalivyo isaidia Chadema, ambapo mwanzo waligoma kuutambua uchaguzi na kuyatambua matokeo, lakini kupitia maridhiano sasa Chadema inautambua uchaguzi, inayatambua matokeo ya uchaguzi, inamtambua mshindi halali wa uchaguzi huo, inalitambua Bunge na kumtambua Mbunge wake mmoja tuu, Aida Kenani.
View: https://youtu.be/x5yFws4dc1U?si=Vi0dqREdT7AIhtme
3. Kufuatia Chadema kumtambua rasmi Mhe. Aida Khenani kama mbunge wake rasmi, JJ. Mnyika ameomba Mhe. Aida apewe muda wa kutosha kuchangia, na maoni yake yazingatiwe kama maoni ya kambi rasmi ya upinzani
View: https://youtu.be/r-SmiYZUOXc?si=HOrGl7qHppPYeF5v
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee
View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_
View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V
View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn
View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh
View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z
View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX
View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU
View: https://youtu.be/_iDRrF9NqwA?si=OxgR5lV99EecYTyg
Baba Polisi Mama AskariAmos Makalla ameshindwa kuvaa viatu vya Polepole na Nape.
Tusiandikie mate, Mkuu JokaKuu karibu mitaa hii..kwa hiyo waandishi wa habari hamuungi mkono wazo la Tume Huru kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.
..badala yake mnataka uchaguzi wa serikali za mitaa usimamiwe na Tamisemi inayoongozwa na mkwe wa Mwenyekiti wa Ccm?
..mkiendelea kujiegemeza kwa watawala, na kuacha kusimamia haki, na ukweli, huko mbeleni wananchi wataanza kuwapuuza.
Kwa vile msingi mkuu na matatizo makuu ya uendeshaji wa siasa zetu yako kwenye katiba, katiba ndio kichwa cha yote na mengine yote ni kiwiliwili.
Kwa vile kuna mchakato wa katiba mpya utakaanza hivi karibuni, lakini kwa minaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025, tuanze na mabadiliko ya katiba hii hii iliyopo kwa kuibadilisha kwa hati ya dharura, ndipo tuje kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi na kurekebisha Tume ya Uchaguzi tuunde Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi.
Wanabodi,
.
Tupendekeze sheria nzuri ya uchaguzi na Tume huru na Shirikishi ya uchaguzi, naamini kabisa Rais Samia ni Rais msikivu na tutasikilizwa na mwisho wa siku tutabadili kwanza katiba kuondoa ubatili, kisha tutaunda Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi, Tutabadili sheria yetu ya uchaguzi kuleta sheria mzuri ya haki ya uchaguzi ambayo itasawazisha uwanja wa siasa, a level playing field, tutafanya uchaguzi wa Rais, Wabunge, Madiwani na serikali za mitaa, hivyo utafanyika kwa siku moja na utasimamiwa na Tume moja Huru ya Uchaguzi na uchaguzi Mkuu wa 2025 utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki!.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Tusiandikie mate, Mkuu JokaKuu karibu mitaa hii
Ukweli lazima usemwe...Tanzania kwa sasa hakuna waandishi....niwe mkweli kwa kifupi nafuatilia sana news za nje kuliko ndani kwa sababu za ndani hazina mpango wowote.....kwa hiyo waandishi wa habari hamuungi mkono wazo la Tume Huru kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.