Nini kilizingatiwa katika kumteua Amos Makalla kuwa katibu Mwenezi wa CCM?

CCM ni ileile
 
Reactions: G4N
Wanajiita watoto wa mjini, na ndio sifa yao ya kuteuliwa yeye na yule mwenzake aliyekuwa RC wa Chuga.
 
Reactions: G4N

..unamlaumu Mwenezi, hivi umewahi kumsikiliza Mwenyekiti?

..kati ya Mwenyekiti, na Mwenezi, yupi amemzidi uwezo mwenzake?
 
Kitu kizuri kumhusu Makala, yuko very social, mimi sihitaji
Appointment kuzungumza nae

View: https://youtu.be/tmqRwQA2FUs?si=w6m-WJuL5c4GJeUhWatu social wa kihivi, wanakisaidia chama kupendwa na watu wa kawaida.

P

..katika kongamano hilo Zitto Kabwe aliwaomba waandishi wa habari mtumie majukwaa yenu kuihimiza serikali na bunge kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 unasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Naona ombi hilo la Zitto Kabwe waandishi wa habari mlilipuuza mkaendelea na mambo yenu na mienendo yenu iliyozoeleka. Kwa kweli waandishi wa habari wa Tanzania hamjui wajibu wenu kwa wananchi ni nini.
 
..katika kongamano hilo Zitto Kabwe aliwaomba waandishi wa habari mtumie majukwaa yenu kuihimiza serikali na bunge kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 unasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi.
Kama ulivyosema hapa
View: https://youtu.be/tmqRwQA2FUs?si=vLh-pgbosNEFee-A Zitto aliomba, mtu akiomba ni ama hukubaliwa, ama hukataliwa.
Naona ombi hilo la Zitto Kabwe waandishi wa habari mlilipuuza mkaendelea na mambo yenu na mienendo yenu iliyozoeleka.
Mambo yetu yepi na mienendo gani iliyozoeleka?
Kwa kweli waandishi wa habari wa Tanzania hamjui wajibu wenu kwa wananchi ni nini.
Ni kweli ila sio wote!
karibu mitaa hii na unisikilize kwa makini nimeshauri nini kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025

Kwa wale ambao bundle sio issue, kipindi chenyewe ni hiki
View: https://youtu.be/owBvx8H2H68?si=2kaPHEBJkcQoObcS
Ila pia mimi ni Mtanzania mzalendo, naijua hali ya uchumi ya Watanzania wengi kuhusiana na bundle, wengi bundle ni issue hivyo hawawezi kutazama kipindi chote, hivyo nimewadondolea baadhi ya dondoo zake muhimu.

1. JJ. Mnyika ametoa maoni ya jumla ya Chadema, wametaka miswada yote iondolewe kwanza, serikali ilete kwanza marekebisho madogo ya katiba, minimum reforms, katiba ifanyiwe mabadiliko kwanza ndipo miswada hiyo iletwe.
View: https://youtu.be/CRLiQjOQpro?si=6xgfm7aBX7Lvo0wQ
2. JJ Mnyika amethibitisha jinsi maridhiano na CCM yalivyo isaidia Chadema, ambapo mwanzo waligoma kuutambua uchaguzi na kuyatambua matokeo, lakini kupitia maridhiano sasa Chadema inautambua uchaguzi, inayatambua matokeo ya uchaguzi, inamtambua mshindi halali wa uchaguzi huo, inalitambua Bunge na kumtambua Mbunge wake mmoja tuu, Aida Kenani.
View: https://youtu.be/x5yFws4dc1U?si=Vi0dqREdT7AIhtme
3. Kufuatia Chadema kumtambua rasmi Mhe. Aida Khenani kama mbunge wake rasmi, JJ. Mnyika ameomba Mhe. Aida apewe muda wa kutosha kuchangia, na maoni yake yazingatiwe kama maoni ya kambi rasmi ya upinzani
View: https://youtu.be/r-SmiYZUOXc?si=HOrGl7qHppPYeF5v


View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee



View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_

View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V

View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn

View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh

View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z

View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX

View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU
View: https://youtu.be/_iDRrF9NqwA?si=OxgR5lV99EecYTyg
 
Jamaa anaidhalilisha CPA T yake
Yaani anaongea kama Mlevi aliyepoteza fahamu

Makala RC wa Dsm
Ni tofauti kabisa na huyu wa sasa ambaye si tu kituko,Bali amekuwa kama ana wazimu.
 


..kwa hiyo waandishi wa habari hamuungi mkono wazo la Tume Huru kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.

..badala yake mnataka uchaguzi wa serikali za mitaa usimamiwe na Tamisemi inayoongozwa na mkwe wa Mwenyekiti wa Ccm?

..mkiendelea kujiegemeza kwa watawala, na kuacha kusimamia haki, na ukweli, huko mbeleni wananchi wataanza kuwapuuza.
 
Tusiandikie mate, Mkuu JokaKuu karibu mitaa hii
  1. Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?. nilisem
  2. Hapa nakumwagia mzigo mzima wa uchaguzi
  3. Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?
  4. Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa?
    1. Sheria ya Uchaguzi ni mbovu! Kuendelea kuitumia sio Ujinga? Kuwabebesha masikini gharama za Uchaguzi sio Dhambi?
    2. Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?
    3. Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
    4. Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!.
    5. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
    6. Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
    7. Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
    8. Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
    9. Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?
    10. Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?
    11. Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?
    12. Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa
    13. Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki
    14. Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!
    15. Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria! last para nilisema
Sina uhakika kama kuna mwana jf mwingine yeyote anayepigania uchaguzi huru na wa haki kama mimi, ila kwa vile wengi humu wanatumia majina ya kificho, usikute wapiganaji tuko wengi ila hatuwajui ila mimi napigana kwenye fronts 4
1. Humu jf, kila wiki napandisha mabandiko mawili ya Kwa Maslahi ya Taifa
2. Kwenye Gazeti la Nipashe la kila Jumapili nina safu yangu ya makala ya Fikra Mbadala
3. Kwenye Gazeti la Mwananchi kila Jumatano nina safu yangu ya makala ya Taamuli Huru
4. Kwenye Channel Ten kila Jumapili saa 3:00 usiku nina kipindi changu cha KMT
5. Kila nikialikwa kwenye mikutano ya siasa, nazungumza physically kama hapa
View: https://youtu.be/PBpjDhH2XiA?si=jyJTiAeS5wXb3qFm
View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=wi7LRVA9cpOXDnBP
View: https://youtu.be/lBC3xKODSvY?si=di0l_sUUGSuAxvt4Na kwa vile sasa mimi sio tuu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, bali pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kama ni kuandika, nimeandika sana, na kama ni kutangaza nimetangaza sana, the last and final front ni legal redress, bado naitafakari kwa kina kauli hii ya Rais Samia
View: https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=m-gvoJMRyq8gylYFNisije kuonekana niko kinyume nikawa bared
P
 
Kuna vitu vitatu vilizingatiwa mkuu
1. U
2. CHA
3. WA
 

..Tume Huru tuliyoletewa sio ile ambayo wadau wakiwemo viongozi wa Dini walishauri serikali iilete.

..Pia muswada umeelekeza kuandikwa kwa sheria ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaosimamiwa na Tume Huru.

..Waandishi wa habari hamjabeba jukumu lenu la kusimamia ukweli kwamba serikali imefanya ulaghai ktk suala hili.

..Kwa kweli waandishi wa habari hamfanyi kazi yenu. Sijui ni kwasababu ya elimu ndogo, au mmeamua kuwa Machawa.

..Watu wanaanza kukosa imani na waandishi na vyombo vya habari. Jambo hili likiendelea hao Ccm mnaowategemea hawatakuwa na muda na nyinyi.
 
Ukweli lazima usemwe...Tanzania kwa sasa hakuna waandishi....niwe mkweli kwa kifupi nafuatilia sana news za nje kuliko ndani kwa sababu za ndani hazina mpango wowote...
Kinachoendelea ni kujipendekeza tu ...sema njaa mwanaharamu..na wana njaa kweli kweli...
With due respect....Pascal ninaemkubali ni yule wa Kipindi cha JPM ambae alimpiga swali mpaka akaitwa njaa..ila huyu wa sasa hakuna kitu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…