Nini kilizingatiwa katika kumteua Amos Makalla kuwa katibu Mwenezi wa CCM?

Msituhukumu waandishi wote wa habari kwa mtindo wa samaki kwenye tenga la samaki, mmoja akioza, wote wameoza!.

P.
 
Mkuu Iron dome
Tembelea hizo nondo then be honest, kweli zote ni pumba tupu hakuna mchele hata chenga tuu?
Tusiandikie mate, Mkuu JokaKuu karibu mitaa hii
  1. Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?. nilisem
  2. Hapa nakumwagia mzigo mzima wa uchaguzi
  3. Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?
  4. Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa?
    1. Sheria ya Uchaguzi ni mbovu! Kuendelea kuitumia sio Ujinga? Kuwabebesha masikini gharama za Uchaguzi sio Dhambi?
    2. Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?
    3. Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?
    4. Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!.
    5. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
    6. Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
    7. Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
    8. Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
    9. Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?
    10. Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?
    11. Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?
    12. Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa
    13. Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki
    14. Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!
    15. Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria! last para nilisema
Sina uhakika kama kuna mwana jf mwingine yeyote anayepigania uchaguzi huru na wa haki kama mimi, ila kwa vile wengi humu wanatumia majina ya kificho, usikute wapiganaji tuko wengi ila hatuwajui ila mimi napigana kwenye fronts 4
1. Humu jf, kila wiki napandisha mabandiko mawili ya Kwa Maslahi ya Taifa
2. Kwenye Gazeti la Nipashe la kila Jumapili nina safu yangu ya makala ya Fikra Mbadala
3. Kwenye Gazeti la Mwananchi kila Jumatano nina safu yangu ya makala ya Taamuli Huru
4. Kwenye Channel Ten kila Jumapili saa 3:00 usiku nina kipindi changu cha KMT
5. Kila nikialikwa kwenye mikutano ya siasa, nazungumza physically kama hapa
View: https://youtu.be/PBpjDhH2XiA?si=jyJTiAeS5wXb3qFm
View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=wi7LRVA9cpOXDnBP
View: https://youtu.be/lBC3xKODSvY?si=di0l_sUUGSuAxvt4Na kwa vile sasa mimi sio tuu ni mwandishi wa habari na mtangazaji, bali pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kama ni kuandika, nimeandika sana, na kama ni kutangaza nimetangaza sana, the last and final front ni legal redress, bado naitafakari kwa kina kauli hii ya Rais Samia
View: https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=m-gvoJMRyq8gylYFNisije kuonekana niko kinyume nikawa bared
P
 
Ni mwanachama hai wa CCM. uliza swali lingine.
 
Kila akihutubia lazima amnange tundulisu asa sjui nini kinaendelea huko
 
What are you implying?
That, Her Excellency has selected someone with low capacity to match her level?
Tafadhari mpe heshima yake kidogo.
Mleta mada jiulize swali moja dogo....utajisikiaje iwapo mwanao au mkeo atakuzidi katika kujenga hoja!
 
Kwasababu hiyo Amos Makalla amekuwa akiongea vitu vidogo sana (petty issues) visivyoendana na nafasi na hadhi yake.
Sipiei Amos alifanya vizuri alipokuwa mkuu wa mkoa DSM.
 
What are you implying?
That, Her Excellency has selected someone with low capacity to match her level?
Tafadhari mpe heshima yake kidogo.
That is your perspective, but how did you conclude that I was being disrespectful to Her Excellency and not to her vice or someone else in their party? Perhaps it’s time to address your own inferiority complex.
 
Hiyo idara haijawahi kupata mtu smart kama Polepole.
 
Kwa sasa vigogo wakubwa wanaiona ccm kama chombo cha kutumia kushika dola tu kwa manufaa yao binafsi. Mwenzao wakikosa pa kumuweka ndio wanamtupa ccm. Makala kiukweli hafai kua kwenye nafasi aliyowekwa ccm. Kiitikadi na hali yake halisi hawezi kutetea wananchi kwa misingi ya haki na usawa wa kijamaa. Wanamapinduzi ndani chama cha mapinduzi tunajua bado ccm rasmi ni chama cha kijamaa japo mabwanyenye na wapinga maendeleo kwa sasa wamejimilikisha.
 
CCM hakuna cheo hicho
 
Kitu kizuri kumhusu Makala, yuko very social, mimi sihitaji
Appointment kuzungumza nae

View: https://youtu.be/tmqRwQA2FUs?si=w6m-WJuL5c4GJeUhWatu social wa kihivi, wanakisaidia chama kupendwa na watu wa kawaida.

P
Pascal hakika umeandika makala nyingi sana, ubarikiwe kwa kuelimsha watanzania keep it up. Ww hiyo ni taaluma Yako, sisi wengine tuna taaluma zingine kwa hiyo ni ngumu sana kuandika majina yetu halisi, kutokana utamaduni wa inchi yetu ya kutokuwa majasili wa kusema ukweli. Ila tupo pamoja
 
Makala anasigia huu upuuzi kuwa ni mafanikio!
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-22-22-46-03-402_com.instagram.android.jpg
    482.2 KB · Views: 1
Uchawa
 
" CPA Pedeshee baba Gadi Amos Makala namupenda" -- FM Academia wazee wa Ngasuma kwenye wimbo wa Anna 😁
 
MAKALLA NI MSOMI WA ILI DARASA ...TAZAMA SITI YA MBALE UTAMWONA NA SAMIA YUPO NA LUKASI MSAMBWANDA UTAMUONA SITI YA NYUMA KABISA..

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/james.mbewe.1293/videos/1545283682824315/?app=fbl
 
Tangu Ccm waingie duniani huyu ndie mwenezi wa hovyo kuliko wote. Hana hoja, hana jipya yuko kama yuko tuu. Alicho baki nacho ni kuwa msemaji wa Chadema, mara Chadema kuna mgogoro mara mwenyekiti haielewemi na makamu wake yaani ujinga mtupu
 
Reactions: G4N
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…