Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

Umero/uroho uliokithiri. Toto la kike linafuta kilo nzima ya kitimoto peke yake huku likishushia na safari kadhaa.

Kufakamia pombe hasa za ofa.

Uvivu wa kufanya shughuli hata za nyumbani.

Kujishindilia midonge ya majira ili isishike mimba ikinjunjana.
Uwiii ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿคญ
 
Majibaba yenye wake wenye vitambi kuyaacha yanaona noma yatakosa uaminifu kwenye ndoa. Yanaona bora wakimbilie vibinti vya chuo visivyo na vitambi, vi model, vi portable easy to cary, easy to handle on the platform of 6ร—6
 
Kwa hiyo tushindane na baraka za Mungu kwa kutupa kitambi mi siwezi kufanana na nyoka kwa kweli๐Ÿค“๐Ÿค“
IMG_4415.jpeg
 
Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
Mwili unakuja wenyewe
 
Back
Top Bottom