Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
Tuvumilieni tu.
Vingine vya kurithi, hata kwa miujiza na ushuhuda havitoki.
 
Nina kitambi japo si kikubwa, sijawahi kutumia vidonge vya majira, hata sisi hatujui Huwa vinaletwa na nini, Mimi nadhani watu wa zamani walitafuta pesa Kwa jasho Kwa sababu walienda makazini bila kupanda boda na bajaji, watu wa sikuhizi ukitoka tu nyumbani unampigia boda akufuate, Kwa Hali hii utatembea saa ngapi ili kitambi kitoke?
 
Vipi ulaji wako wa kitimoto rosti, michemsho na bia kwa wingi kama wadau wengine wanavyodai?
 
Vinapunguza hamasa na kuchosha pia.
Ila sisi wenyewe wabebaji havituchoshi mjue.
Halafu kwa sisi wanawake, kuna baadhi ya mishono ya nguo huwa haikai vizuri mwilini mpaka ishikiliwe na kitambi.
Hivyo vitambi vina umuhimu wake wakati mwingine.
 
Imagine wewe una kitambi na Mr. wako anacho cha kushato pia, hapo mnafanyaje mambo yenu ya kupeana utamu?!
 
Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
Kwashiakor
 
Mimi binafsi mwanamke mwenye kitambi hata akivua nguo hapo naona mauza uza tu.....

Yale mabonde mabonde na mamilichilizi ukijumlisha na hilo tumbo ndio stimu zinapotea moja kwa moja......

Kwa kweli wenzangu sijui wanawezaje kulalana na mwanamke wa hivyo.......
 
Imagine wewe una kitambi na Mr. wako anacho cha kushato pia, hapo mnafanyaje mambo yenu ya kupeana utamu?!
Mr. ana pesa, hivo sioni kama kuna uzito juu ya hili suala.
Si unajua pesa ni sabunibya roho eee
Pia kuna style karibia mia za ufanyaji wa mapenzi kwa vibonge na wenye maumbile madogo, ni kuzifuata tu hizo style
 
Uroho wa kupenda kulakula ovyo,nisikilizie kukoroma sasa usiku na kuachia hewa...
 
Ila sisi wenyewe wabebaji havituchoshi mjue.
Halafu kwa sisi wanawake, kuna baadhi ya mishono ya nguo huwa haikai vizuri mwilini mpaka ishikiliwe na kitambi.
Hivyo vitambi vina umuhimu wake wakati mwingine.
😀😀😀😀
 
Mimi binafsi mwanamke mwenye kitambi hata akivua nguo hapo naona mauza uza tu.....

Yale mabonde mabonde na mamilichilizi ukijumlisha na hilo tumbo ndio stimu zinapotea moja kwa moja......

Kwa kweli wenzangu sijui wanawezaje kulalana na mwanamke wa hivyo.......
Wewe ni kama mimi. Minyama imepelepweta jumlisha michirizi stimu lazima zikate, na wengi wao huwa wanakuaga na harufu za ajabu ajabu kule ndani
 
Nina Binti yupo kidato Cha tatu; anasoma shule ya kata huko kijijini iliyo kama kilometa 6 hivi zinazomlazimisha kutembea kwenda na kurudi Kila siku plus makazi kibao ya shule......anachakarika Binti si mchezo, hata matokeo yake ya kidato Cha pili si haba kwani aliambulia div II. Ulaji ni hivi vyakula vya kawaida visivyo na chochote......kisamvu, meongi, mchicha na samaki ndo mbaga kuu. Ajabu ni kwamba anakitambi kikubwa tu mwanangu huyu, sijui tatizo ni nini?!!! Mnapowaongelea vibaya mjue Kuna wengine si kwa uzembe wao.
 
Hajaanza kumeza P-2 uyo? mfatilie vizuri nyendo zake.
 
Back
Top Bottom