Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

Kingine ni kwamba wanawake wa zamani walikuwa wanakula nyumbani pamoja na watoto na familia. Hawa ilikua ni lazima wale kwa kiasi maana wanaangalia na watoto wapate, baba apate nk.

Tangu wanawake nao waanze kutoka nje kwenda kwenye mihangaiko, tatizo ndio limeanzia hapo. Kiuhalisia wanawake wanapenda sana vitu vitam vitam na akiwa na hela ni ngumu sanaa kujizuia kufakamia vitu kama;
  • kitimoto
  • coke baridi
  • ice cream
  • chocolate
  • kuku roast
  • chipsi
  • sambusa
  • mishkaki
  • chapati
  • bia /savanna/ flying fish
 
Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
Na wanawake wengi ile sehemu ya uchi karibia na kiuno imetuna sijui kwanini? Je, kuna dawa pia zinahusika?
 
Hasa mdada lunch tu anapiga kilo kiti moto,chips na serengeti tano lazima apigwe mimba ya gas ya bia na mafuta.
 
Mimi binafsi mwanamke mwenye kitambi hata akivua nguo hapo naona mauza uza tu.....

Yale mabonde mabonde na mamilichilizi ukijumlisha na hilo tumbo ndio stimu zinapotea moja kwa moja......

Kwa kweli wenzangu sijui wanawezaje kulalana na mwanamke wa hivyo.......
Kwangu kitambi kidogo muhimu bana,akiwa hana kitambi kabisa afu hana tako anakuwa kama bondia wa light weight.
 
Umero/uroho uliokithiri. Toto la kike linafuta kilo nzima ya kitimoto peke yake huku likishushia na safari kadhaa.
Zamani watoto wa kike walikuwa wanakula kwa staha. Siku hizi wana matonge kama makuli.

Kufakamia pombe hasa za ofa.

Uvivu wa kufanya shughuli hata za nyumbani. Hata kitandani ni wavivu, jitu linalala kama gogo mawazo yote yapo kwenye VICOBA na upatu.

Kujishindilia midonge ya majira ili isishike mimba ikinjunjana ovyo wakati wa kutafuta pesa za VICOBA
Umeongea kwa hisia kali mkuu 🤣🤣, kuna mmoja aliniambia yy anapenda kuwa bonge mweny minyama zaid ya alivyo sasa hapend kuwa mwembamba ni anakula sijapata ona oyaa eenh kuna wadada wanajua kula jaman
 
Back
Top Bottom