Tuvumilieni tu.Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
All the buttocks going to the chest and chest going to the buttocks, kikikikiKwa hiyo tushindane na baraka za Mungu kwa kutupa kitambi mi siwezi kufanana na nyoka kwa kweliπ€π€View attachment 3271367
Vipi ulaji wako wa kitimoto rosti, michemsho na bia kwa wingi kama wadau wengine wanavyodai?Nina kitambi japo si kikubwa, sijawahi kutumia vidonge vya majira, hata sisi hatujui Huwa vinaletwa na nini, Mimi nadhani watu wa zamani walitafuta pesa Kwa jasho Kwa sababu walienda makazini bila kupanda boda na bajaji, watu wa sikuhizi ukitoka tu nyumbani unampigia boda akufuate, Kwa Hali hii utatembea saa ngapi ili kitambi kitoke?
Ila sisi wenyewe wabebaji havituchoshi mjue.Vinapunguza hamasa na kuchosha pia.
Imagine wewe una kitambi na Mr. wako anacho cha kushato pia, hapo mnafanyaje mambo yenu ya kupeana utamu?!Ila sisi wenyewe wabebaji havituchoshi mjue.
Halafu kwa sisi wanawake, kuna baadhi ya mishono ya nguo huwa haikai vizuri mwilini mpaka ishikiliwe na kitambi.
Hivyo vitambi vina umuhimu wake wakati mwingine.
Siyo kweli, warahisi sana hawa, michomo mitatu tuu, dΓ wasa mwaaaaa!Haya majimama yenye vitambi ni shughuli kuyanyandua
KwashiakorVitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
Ntajaribu mkuu. Ila kula kidogo ndio inakuwaje sasa π€£π€£π€£π€£π€£Hembu jaribu kula kidogo na kwa afya kama kitambi hakitaondoka
Mr. ana pesa, hivo sioni kama kuna uzito juu ya hili suala.Imagine wewe una kitambi na Mr. wako anacho cha kushato pia, hapo mnafanyaje mambo yenu ya kupeana utamu?!
ππππIla sisi wenyewe wabebaji havituchoshi mjue.
Halafu kwa sisi wanawake, kuna baadhi ya mishono ya nguo huwa haikai vizuri mwilini mpaka ishikiliwe na kitambi.
Hivyo vitambi vina umuhimu wake wakati mwingine.
Sana...ππππ
Wewe ni kama mimi. Minyama imepelepweta jumlisha michirizi stimu lazima zikate, na wengi wao huwa wanakuaga na harufu za ajabu ajabu kule ndaniMimi binafsi mwanamke mwenye kitambi hata akivua nguo hapo naona mauza uza tu.....
Yale mabonde mabonde na mamilichilizi ukijumlisha na hilo tumbo ndio stimu zinapotea moja kwa moja......
Kwa kweli wenzangu sijui wanawezaje kulalana na mwanamke wa hivyo.......
Hajaanza kumeza P-2 uyo? mfatilie vizuri nyendo zake.Nina Binti yupo kidato Cha tatu; anasoma shule ya kata huko kijijini iliyo kama kilometa 6 hivi zinazomlazimisha kutembea kwenda na kurudi Kila siku plus makazi kibao ya shule......anachakarika Binti si mchezo, hata matokeo yake ya kidato Cha pili si haba kwani aliambulia div II. Ulaji ni hivi vyakula vya kawaida visivyo na chochote......kisamvu, meongi, mchicha na samaki ndo mbaga kuu. Ajabu ni kwamba anakitambi kikubwa tu mwanangu huyu, sijui tatizo ni nini?!!! Mnapowaongelea vibaya mjue Kuna wengine si kwa uzembe wao.