Nini Kimeibadili Arusha Toka "Arusha Hakuna Fala Hadi Ufala 100%"?

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,034
Reaction score
74,732
Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.

Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?

Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
 
Attachments

  • officialzungu_-AQPtt5vTGZ6zQdLBTWU3H61kt3EQONMg7Gn1ka5d0a_ehwwnn85V3PaqqMdz-HQPCbV9y59yHc4SXD-...mp4
    28.3 MB
ukksema njaa unanikumbusha dogo wa chadema aliyehamia ccm. sikakumbuki jina. na sasa kako bungeni
 
Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.

Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?

Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
View attachment 3539384
nonsense
 
Arusha wamegeuka machoko, Bashite kawanyofoa korodani zao.
 
Mkuu Arusha iko vilevile hadi sasa, ila mbogamboga wanalazimisha ionekane Arusha ni ngome yao. Hata huu wizi wa kura wa kishenzi unaoendelea sasa, Arusha ni sehemu iliyochangia Ccm wajitoe ufahamu. Na lengo la kifanya huu wizi ni ili kuhadaa umma kuwa ccm inakubalika.
 
Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.

Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?

Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
View attachment 3539384
Chief, kama taifa bado tuna safari ndefu, wewe jiji lenyewe limekuwa dominated na wavuta bangi wanojiita WADUDU, ni nini kimebaki?
 
Hapana Arusha hawajaunga mkono ujinga hawa ni minority tu wanasherekea ila walio wengi hawawezi iunga mkono CCM na hata M029 Arusha walikiwasha kweli kuanzia huko maji ya chai palichafuka sio kidogo. Mikoa iliyolala ni ile ambayo haikuandamana M029 kama Mtwara, Lindi, Singida n.k
 
Back
Top Bottom