Nini Kimeibadili Arusha Toka "Arusha Hakuna Fala Hadi Ufala 100%"?

Jamaa anawatengeneza vijana kutoka maeneo nje ya hapo wanakuja mjini na ukiwachanganya na baadhi watakaochukua hela ya siku ya boda boda wanaenda huko ila sidhani kama mioyo yao ipo kwa jamaa wanachoangalia hao wahuni ni mpunga tu kwa sasa na kumbuka jamaa akiomba kikosi kutoka kituo cha boda wasipoenda wanaweza kuhamishwa hilo eneo.
 
Ni kweli r chuga ya zamani sio hii ya sasa
madogo wanajidunga pombe kali na ganja kwa pamoja
Akili lazima ichanganyikiwe

Ni kosa kubwa kumix ganja na pombe!
 
Arusha wamegeuka machoko, Bashite kawanyofoa korodani zao.
Sidhani kama ni wana Arusha wote wanafanya huo upuuzi, bali ni maigizo ya Makonda anayafanyia Arusha akishirikisha wajinga wanaojiita wadudu pamoja na wana mboga wengine wasiojitambua.
Itakuwa ni kuikosèa heshima Arusha na watu wake unapoamua kuihukumu kisa tu kuna wapuuzi wanafanyia maigizo kwenye mji huo.

Uigizaji huu hauna tofauti yoyote na wa yale maandamano ya wakatoliki bandia wa kutoka Yombo.
 
Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.

Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?

Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
View attachment 3539384
Arusha sasahivi wanakusanywa kwa kulishwa nyama eti?

Kweli upumbavu umekuwa kipaji Arusha.
 
Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.

Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?

Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
View attachment 3539384
Watu wa zamani tumehama arusha, na huwa nawashangaa sana ndugu zangu waliobaki arusha maana hawana tofauti na watu wa huko kwa konde Gang....
 
Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.

Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?

Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
View attachment 3539384
Baada ya Makondd kuwa Mkuu wa Mkoa hapo, Arusha pamekuwa mahali pa hovyo sana. Eti wadudu ndiyo nembo ya Arusha
 
Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.

Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?

Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
View attachment 3539384
Wale ******* waliokuwa wanawashanbikia wakuitwa wadudu
 
Hapana Arusha hawajaunga mkono ujinga hawa ni minority tu wanasherekea ila walio wengi hawawezi iunga mkono CCM na hata M029 Arusha walikiwasha kweli kuanzia huko maji ya chai palichafuka sio kidogo. Mikoa iliyolala ni ile ambayo haikuandamana M029 kama Mtwara, Lindi, Singida n.k
Mtwara, lindi sidhani kama kuna watu. Huko
 
Kwa sasahv Bashite anaogopa hata kuteremka kwenye gari pale Arusha mjini tangu vijana watake kwenda kuchoma moto nyumba aliyokuwa akiishi🤣
Siasa haina rafiki wa kweli
 
Back
Top Bottom