Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Hivi visungura ni pombe auNyama za bure na visungura vya ofa
Ni pombe kali inapicha ya sunguraHivi visungura ni pombe au
Mtoto wa kishuaHivi visungura ni pombe au
Sidhani kama ni wana Arusha wote wanafanya huo upuuzi, bali ni maigizo ya Makonda anayafanyia Arusha akishirikisha wajinga wanaojiita wadudu pamoja na wana mboga wengine wasiojitambua.Arusha wamegeuka machoko, Bashite kawanyofoa korodani zao.
Arusha sasahivi wanakusanywa kwa kulishwa nyama eti?Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.
Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?
Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
View attachment 3539384
Watu wa zamani tumehama arusha, na huwa nawashangaa sana ndugu zangu waliobaki arusha maana hawana tofauti na watu wa huko kwa konde Gang....Ni kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.
Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?
Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
View attachment 3539384
Baada ya Makondd kuwa Mkuu wa Mkoa hapo, Arusha pamekuwa mahali pa hovyo sana. Eti wadudu ndiyo nembo ya ArushaNi kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.
Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?
Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
View attachment 3539384
Nasary wa Arumeru .ukksema njaa unanikumbusha dogo wa chadema aliyehamia ccm. sikakumbuki jina. na sasa kako bungeni
Wale ******* waliokuwa wanawashanbikia wakuitwa waduduNi kweli hapo zamani, tena sio zamani sana bali miaka isiyozidi 7 nyuma Arusha ilikuwa jiji la wajanja na wenye kujitambua.
Lakini siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya ajabu na kufedhehesha ikiwamo watu kukusanywa ili kuchomewa nyama bure kwa maslahi ya wachache kisiasa utadhani ni kama wako huko kusini kusiko na nyama bali "Samaki nchanga tuu"
Nini kimetokea? Au wale wazamani hapo Arusha wamehama na waliopo ni type Ile ya wadudu?
Hata juzi, wakati bado watu wanaomboleza ha hawajui hatima ya ndugu zao walio uwawa M029 eti Arusha wanafanya maandamano kumpokea Bashite kwa "ushindi" wa ubunge?
View attachment 3539384
Kweli Kabisa Arusha utafikir Jamaica,mirungi na bangi inatumika mchana kweupe hadharaniNi kweli r chuga ya zamani sio hii ya sasa
madogo wanajidunga pombe kali na ganja kwa pamoja
Akili lazima ichanganyikiwe
Ni kosa kubwa kumix ganja na pombe!
Mtwara, lindi sidhani kama kuna watu. HukoHapana Arusha hawajaunga mkono ujinga hawa ni minority tu wanasherekea ila walio wengi hawawezi iunga mkono CCM na hata M029 Arusha walikiwasha kweli kuanzia huko maji ya chai palichafuka sio kidogo. Mikoa iliyolala ni ile ambayo haikuandamana M029 kama Mtwara, Lindi, Singida n.k
Ni ChaiHivi visungura ni pombe au
Kuna WaogaMtwara, lindi sidhani kama kuna watu. Huko