econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Chadema kama Mandonga tu maneno mengi utadhani wako serious hawana wanachogambania kama Mandonga yeye mechi za kirafiki tu hawana sera wanafuata trending kama Mandonga tu anaalikwa kupigana kama sherehe ya harusi tu. Miaka yote hiyo mpaka leo hujui wanasimamia nini tofauti na CCM.
Mnawaita chadema mandonga, ila mlizuia mikutano kuwaogopa na siku ya kupiga kura 2020 mkazima mtandao wa internet.