Nini kimeiua CHADEMA? Walikosea wapi? Vyama vingine vya upinzani vijifunze kuepuka kibri cha kupendwa


Mnawaita chadema mandonga, ila mlizuia mikutano kuwaogopa na siku ya kupiga kura 2020 mkazima mtandao wa internet.
 
Mlishakalili ayo ayo tu kwan hakunaga point zingne imekuwa as if mashairi jmnii kwan chadm si imeanza zamni kabla ya magu kuingia madarakani mbna mlikuwaga ivo ivo 2 toka enzi kwaiy nie toka mmeanzishaga chama chenu mnaibiwaga tu kura na kuonewa miaka yote iyoo hamjashika nchiii basi tutawaona na apa kwa samia
 
Mbona ccm inetawaka miaka 61 sasa? Kichaa nani hapo?
Wakijibu hili pls naomba Nami unitaarifu, nini ccm wameifanyia nchi yetu wakati wamekiri kuwa bado ujinga, umasikini, maradhi na rushwa vimeshamiri nchini?nini sasa ccm watafanya TOFAUTI na walivyokua wanafanya for the last 61yrs?,day by day Tanzania inazidi kwenda south!,tatizo utawala mbovu wa Chama dola, ccm bila dola ni wepesi kama doli la mtoto wa 2yrs
 

Acha uongo. Lowassa kaleta kura milioni 6 ambazo hazijawahi kupatikana na pia kaleta wabunge wengi haijawahi kutokea. Kama kifo kingeonekana pale kwenye kura. Mpaka ccm wakakubali kupata asilimia 58 sio mchezo, ina maana waliiba sana kura.

Magufuli kwa kuiogopa chadema isije pata influence ikamtoa madrakani akazuia mikutano ya siasa hadi ya ndani kwa miaka mitano, na hata uchaguzi ulipofika 2020, akaengua wagombea robo tatu wa chadema, kama haitoshi akazima internet siku ya kupiga kura 2020.

Kama chadema ilikufa kwanini magufuli alihangaika hivyo?. Kama chadema ingekuwa imekufa wasingeleta ujinga wa kuzuia mikutano au kuenguwa wagombea wake.
 
Hakuna ukomo wa chama kushika madaraka ya nchi. CDM kuna ukomo wa kuwa mwenyekiti?

Elewa swali langu, kama kuna uhalali wa CCM kutawala milele nchi ya Tanzania, kwanini iwe shida kwa chama kuongozwa na mtu kwa muda wanaotaka wanachama?.

Kama nchi ambayo ni kubwa na ya muhimu zaidi inatawaliwa na chama kimoja miaka 61, iweje muone nongwa kwa chama ambacho hata hakiko madarakani kuwa na mwenyekiti kwa miaka ishirini?
 
Kama unaona ni halali mtu mmoja kuwa na madaraka bila ya ukomo kwenye jamii ya kidemokrasia, kama unaamini hivyo, safari tunayo ndefu sana.
 

Usijisahaulishe kwamba magu aliwazuia chadema kufanya siasa miaka mitano. Uchaguzi wa 2019 na 2020 ulitia fora. Unaenguaje robo tatu ya wagombea wa chadema? Halafu siku ya kupiga kura akazima na mitandao ya internet ili aibe vizuri.

Magu alikosea sana, huwezi wazuia chadema wasifanye mikutano miaka tano halafu muda wa uchaguzi unafanya ujinga kama ule. Ule uchaguzi ndio chanzo cha kifo cha magufuli.
 

Kweli kabisa mkuu, wanalingia dola. Siku dola ikikubali kuwa neutral kama Kenya, ccm itakwisha.
 
Kama unaona ni halali mtu mmoja kuwa na madaraka bila ya ukomo kwenye jamii ya kidemokrasia, kama unaamini hivyo, safari tunayo ndefu sana.

Sijakwambia nina amini. Ila ninachosema kama wananchi tubaona halali chama kimoja kututawala miaka mia ijayo, inakuwaje tunaumia na uongozi wa chama ambacho hakipo bungeni wala serikalini , huo ni unafiki.

Ungeleta hiyo mada kwa kenya ningekuunga mkono maana kenya wamebadilisha vyama vitano sasa madarakani. KANU, NARC, PNU, JUBILEE na sasa UDA. Sisi tumebakia ccm itawale milele, lakini tunainyoshea mikono chadema kisa mwenyekiti kakaa muda mrefu. Tupunguze unafiki.
 
Chama kikiwa ni mwendelezo wa kiupinzani tuuu miaka na miaka bila ya kushika dola, Hata kama kikiwa na sera nzuri na mikakati mizuri kiasi gani, lazima kitachokwa tuu!

Chadema kinachokwa na mambo mengi. Miongoni mwake ni pamoja na hayo
Kwa hiyo wewe unashauri kibadili mwelekeo na kuingia msituni?
Wakati mwingine kama hamna uelewa wa mambo ya siasa endeleeni na mambo yenu ua kina Zuchu na Diamond inatosha

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Makasiriko ya nn? Njaa mbaya sana na hampati madaraka ngo'😂😂

Uzuri wewe sio Mungu. Kuna watu walikuwa na kiburi zaidi yako dhidi ya chadema. Wameondoka wameiacha chadema. Tujifunze kutoka kwa mtu aliyeiba uchaguzi akijiona ana ikomoa chadema kumbe mauti yake.
 
Uzuri wewe sio Mungu. Kuna watu walikuwa na kiburi zaidi yako dhidi ya chadema. Wameondoka wameiacha chadema. Tujifunze kutoka kwa mtu aliyeiba uchaguzi akijiona ana ikomoa chadema kumbe mauti yake.
😂😂Tuongozwe na chadema uko serious kabisa? Haiwezekani ni utapeli
 
Watu gani hao ,CCM wanaachiwa au wanapora?
 
Thread ya kwanza ya kipumbavu kutoka Kwa mfuasi was kimambuzi na chawa! Unaacha kulala unaposti ujinga saa Saba usiku?
Mkuu hiki Chama Cha Mambuzi ubongo [emoji3447] wao uko katika [emoji706] kiasi kwamba eti kwa kutumia fedha za umma wameanzisha "idara" ndani ya Chama kwa sherehe kubwa inaitwa Chawa wa Mama, na viongozi wanaacha kazi za umma wanaenda kwenye hiyo sherehe! Upumbaf mtupu!


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
😂😂Tuongozwe na chadema uko serious kabisa? Haiwezekani ni utapeli

Mbona tumetapeliwa miaka sitini sasa mpaka deni la nje limefika trilioni 92? Tumetapeliwa kagoda, EPA, ESCROW, pesa za Radar, Richmond, Trilioni 1.5 za magufuli, mabilioni yanayoibwa kwenye ripoti ya CAG kila mwaka etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…