Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

Nadhan mfumo wa vyama vingi Tanzania Umekosa Tija. Itafutwe njia mmbadala. Kwa nje ni kama tunamfumo wa vyama vingi lakini kwa ndani ,vyama vya upînzani havitakiw
Kabisa
AChaneni na maigizo, jikomboeni kwa kuunda majeshi kama m23 na tuzichape hasa, Syria walimkimbuza mkoloni Asad sasa wana jadiliana namna bora ya kuiendesha Syria.
 
AChaneni na maigizo, jikomboeni kwa kuunda majeshi kama m23 na tuzichape hasa, Syria walimkimbuza mkoloni Asad sasa wana jadiliana namna bora ya kuiendesha Syria.
Tupe way forward tuna yaunda vipi ?
 
Inakuwaje linatumika na kikundi cha watu bila kusimamia weledi wake?
 
Usemavyo ni kweli ila inatukosti mno kila kukicha....jeshi gani linakaa kimya hivi kutetea ufisadi ikiwa wanajuwa kabisa nchi haiko salama?
 
JCCM
 
Usikariri mambo ukadhani kwakuwa huoni hapa kwetu ukadhani ni Sheria.
Hapa kwetu ni budget na udogo wa uchumi ilikuwa unafanya iwe hivyo.
Wewe ulijua Jeshi wanaweza kutumia Youtong si ulijua labda wao ni Leyland tu au Polisi si ulijua zao ni Landrover tu ay Magereza zao ni Karandika kumbe hata Youtong wafungwa wanapanda
 
Updates.

Ndege zilizonunuliwa na JWTZ kutoka Ufarasha nazo zinatumika kwenye Kampeni za CCM.

JWTZ limeoza kwa kweli.
 
Sio jeshi la wananchi tena bali ni UVCCM,hatari sana
 
Usenge wa karne
 
Aisee wewe jamaa.

Acha uongo. Hizo helicopter hazifanani kabisa.

Sijui unanufaika na nini kudanganya watu wakati na wewe ni mtumishi wa uma na upo hapo brela.
 
Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwenye suluhishi la hakika!
Ingawa tukubali siasa zetu na utawala wake ni mkongwe sana kiasi kwamba kabla hujaamsha kichwa ni kimekatwa.
Cha kuomba kwa sasa ni 'majambazi' wadhulumiane wavurugane wauane
Raia baki hamna kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…