Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

Kuhusu kuwepo au kutokuwepo sijui. Ila kuhusu kuwepo Mi17 zinazotumika na mashirika binafsi ya kiraia zipo karibu Kila kona duniani.

Hivyo kuwepo Bado bila KUWA na ushahidi wa kushiba hatuwezi kusema ndio hiyo au wamekodi kwingineko. Kimsingi binafsi huwa sipendi kuamini hearsay. Labda kama Kuna kilimganishi maana ile imeJaa stickers tunajuaje mzee
 
Mkuu hivi unaelewa kweli ulichokijibu hapo? Huyo kasema Jw hawana hiyo helicopter, wewe ukasupport ni kweli hawana. Mm nikaja kukuambia ipo na hutumika hata na mawaziri nikakueletea waziri ulega akiwa anaitumia. Sijui umeelewa?
 
 
Nchi yetu haipo salama tena.Haipo salama kwa kiwango kikubwa
 
Nikusahihishe kwanza hiyo si Mil Mi-17

Na hiyo ni wizara, hapo waziri ameenda kama represenantive wa serikali si chama

Umeshaona hiyo helicopter ikitumika kwenye shughuli za ccm? Chama?
Mkuu hiyo ni aina gani ya helicopter?

Pili, sijasema waziri kuitumia ni tatizo, nilichlfanya nimeweka kielelezo tu
 
Mkuu hivi unaelewa kweli ulichokijibu hapo? Huyo kasema Jw hawana hiyo helicopter, wewe ukasupport ni kweli hawana. Mm nikaja kukuambia ipo na hutumika hata na mawaziri nikakueletea waziri ulega akiwa anaitumia. Sijui umeelewa?
Hujasoma vizuri ninachoandika.
Soma upya. Sijasema hawana au wanayo.
Nilichosema ni kuwepo KWA M17 za kiraia kwenye nchi nyingi duniani.
Nikatoa na mfano Cuba, Hadi North Korea Kuna mashirika ya kiraia yanazo KWA ajili ya usafiri ( Air Koryo). Hivyo nimeunga hoja yake KUWA Wenda Uganda au Kenya zikawepo za kiraia wakakodi kama Chama.

Hivyo KWA hoja zangu hata kama IPO jamaa alikuwa hajui, Bado unaacha mwanya wa kutokuwa sio hiyo. Kama ni hiyo zitolewe facts zisizo na shaka mkuu. Na ka ni hiyo Thibitisha tutakubaliana.
 
Hakuna jeshi Tanzania, kuna UVCCM wenye bunduki
 
Mimi hoja yangu haikua ni hiyo hiyo iliyotumika kwenye kampeni. Hoja yangu ni huyo aliyesema kuwa JWTZ hawana hizo helicopter

Kuhusu kuwa ni hiyo hiyo waliyotumia ccm au walikodi kutoka nchi nyingine. Hapa ni sasa inabidi kutumia akili na kujiongeza tu
 
Pole pole ni chizi flani kama wewe na ndio maana kapuuzwa anasikilizwa na wehu wa Chadomo tu.
Thibitisha Wewe ni mweu mtu akitaka kuongea mnafungia mitandao Wewe binadamu kamili kweli au uko kwenye mabadiliko ya kua binadamu kamili nani kakwambia kila mtu anakua na mawazo tofauti ni Chadema huu Upumbavu ukome maana hata Ukikosoa chadema wanasema Wewe CCM mtu huwezi kua na mawazo huru pumbavu kabisa
 
Yule kima kama wewe hana madhara ..mnapenda kiki za ******* mbwa nyie.
 
Yule kima kama wewe hana madhara ..mnapenda kiki za ******* mbwa nyie.
Uko kwenye mabadiliko ya kua binadamu kamili siwezi kubisha na Wewe siku ukiwa binadamu kamili Utakua huru
 
Jeshi limeingizwa kwenye siasa. Unajua kwanini mapinduzi ya kijeshi yakifanyika wale wenye vyeo vya Juu Huwa hawawezi kuongoza nchi.? Moja ya sababu ni hiki kinachofanyika Tanzania.
 
Kuna kitu sijaelewa.
Mnataka kusema CCM inatumia jeshi, polisi na mahakama kumkabili mpinzani wao Salum Mwalimu.
Sote twajua Lissu na Mpina hawapo kwenye hizo mbio, CUF na wengine hata mafuta ya kuweka kwenye V8 hawana.
Sidhani kama hata jeshi la mgambo linahitajika kumshinda Salum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…